Rais Magufuli anahangaika na watanzania wasioipenda nchi yao na rasilimali zao

Bado hatujajua kesi ya samaki iliishaje halafu unatutonesha vidonda. Watu wanaipenda nchi hii sana ndo maana wanajaribu kusaidia viongozi kwa kutumia vifungu vya sheria za kitaifa na kimataifa ili kusaidia. Hebu fikiria kese tulizo nazo mahakamani kwa sasa kuhusu hii mikataba Mlau wewe kama ni mwanasheria tusaidie bila kuwa biased na mambo ya siasa maana wengine siasa na sisi mbali mbali. How are you going to win the appeal of masamaki and then win Tannesco and now the accasia while it was our government which endosed all these bogus contracts and signed them. Waliosign ni majini?
Base ya hoja yako iko vizuri na imeeleweka.

Tunajua wote kuwa ni viongozi kadhaa wabinafsi ndio waliotufikisha hapa tulipo.

Ili tutoke hapa tulipo tunahitaji viongozi wasio wabinafsi na wenye maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa

Katika kuhakikisha hatuingii kwenye mgogoro mwingine wa kisheria serikali imeunda tume mbili ili kubaini ukweli, kutathimini madhara na nini kifanyike

Tume ya kwanza ya watalaam wabobezi wa madini (geologists) tayari imeshatoa taarifa yake na wote tumeisikia

Tume ya pili ya wataalamu wabobezi wa sheria na uchumi ikimaliza kazi yake itakuja na taarifa ya nini kilitokea, madhara yake kiuchumi na mapendekezo ya nini kifanyike ili haki isipotee kama IPO.

Kwa hiyo serikali ya awamu ya tano ina nia njema ya kutoendeleza ubinafsi uliotufikisha hapa tulipo na kutafuta njia muafaka ya kuokoa rasilimali za taifa bila kuleta athali za uchumi kwa manufaa ya watanzania wote.

Tuweni wavumilivu na tumuunge mkono Rais wetu na serikali yake kwa uthubutu wa kutenda jambo ambalo kwa kweli ni vita ya kiuchumi kama alivyosema Rais wetu
 
Kwani alipopiga Bilioni nane na kuleta kivuko kibovu aliwafikiria Watanzania au tumbo lake??

UVCCM bwana poleni.
Tusiingize siasa ktk mambo ya msingi ambayo siyo ya siasa.Kama kivuko kilinunuliwa na hitilafu nadhani kitengo cha ununuzi cha wizara husika kinatakiwa mujibu hilo.
 
Ninani aliyewaleta hao WEZI na nani aliyepitisha Mikataba ya hovyo.....hao unajifanya huwajui?, huyo Shizonje alikuwa wapi kipindi hicho?, Anasemaje kuhusu mi hiyo mikataba? Mbona haiweki mezani anaichungulia vichochoroni?.
itakuchukua muda gani kuielewa hiyo koment yangu..? bado unahitaji shule na mi sio mwalimu!
 
Yeye alivyopiga kura ya ndio na kupitisha sheria za ovyo alikua anaipenda Ccm zaidi ya Tanzania.
Acha avune alichopanda na wenzake.
 
Swala ni kuwa vyombo husika vilikuwa wapi wakati haya yakitokea? Au sensor zao ni active kwenye mikutano ya opposition parties pekee? Watawala walikuwa wapi? Nini kitafanyika kwa wahusika ambao tumeapa kuwatetea kwa nguvu zote?
 
Kuna watu hata wakisikia Tanzania inapigana vita na Rwanda,wao watakuwa upande wa Rwanda.

Miongoni mwao ni akina Salary slip,Swiss me,Mkwepa kodi,Paul Alex nk nk
 
1. Unauhakika gani usio na shaka kuwa waliolipwa fidia ya sakata la samaki walistahili malipo hayo?

2. Na kama aliyekuwa waziri mwenye dhamana(JPM) alikurupuka mbona na kusababisha hasara kiasi hicho mbona hakuchukuliwa hatua yoyote?

Unapojibu maswali yangu hayo zingatia yafuatayo;

- utawala wa awamu ya nne viongozi waliowengi walikuwa mafisadi akiwemo JK mwenyewe

- viongozi wazalendo akiwemo JPM hawakupendwa kutokana na misimamo yao ya kulinda rasilimali za taifa hivyo waliwindwa kila kukicha(kumbuka JPM alikuwa akihamishwa wizara bila sababu za msingi hata kama utendaji wake ni vizuri ili atafutiwe kashfa)
1.Uamuzi wa mahakama ndio unanipa uhakika kuwa walistahili kulipwa fidia!Au uhakika ulitaka niupate wapi?Kama mahakama huiamini,unataka uhakika kutoka chombo kipi?Je,wewe una uhakika pasi na shaka kuwa alihamishwa wizara ili atafutiwe kashfa?????Usije ukawa unaomba kupewa uhakika wakati wewe mwenyewe unaleta story za vijiweni
2.Umeshasema serikali ilikuwa corrupt,halafu hapo hapo unauliza mbona hakuchukuliwa hatua yeyote!Unajicontradict mwenyewe!
 
Proof kwamba uko 100% sure kwamba taarifa ya tume si sahihi vinginevyo tunakufungulia mashitaka kwa kosa la uhaini
Sina haja ya kuprove kwako,ila elewa tu hivyo!Subiri majibu ya tume ya pili(kama watukwa na guts kutoa report hadharani)!
Nina chanzo ninachikiamini,nikichanganya na zangu basi ndio zinaenea hizo 100%
 
Ni lini ukaiweka nyuma nchi yako hata kama njia inakosewa, unatakiwa kujua lengo kuu hasa ni mini na hata kama ni kukosoa na kushauri si kwa aina hii mnayoitumia. Tunashindwa kuwaelewa wenzetu nyie ni watanzania wa wapi. Kukosea kupo ndo maana tunakosea lakini haikupi nafasi ya kukashifu na kuponda kama zezeta, vi siasa hivi uchwara visiwafanye mkafika sehemu ya kuiona nchi yenu kama kinyesi.
Waliwaona mmekosea tangu mwanzo ndiyo maana waliwaambia mikataba ni mibaya na miswada inayopitishwa bungeni si rizki hamkuwasikiliza, wakatoka nje ya bunge kushinikiza mkawabeza na kuwazomea, sasa mjue wote ni WaTz na nchi hii inamuuma kila moja.

Ni bora kuwa mzalendo kwa taifa (nchi) hata kama siungi unafki wa serikali kujiona wao wazalendo zaidi
 
Kuna watu hata wakisikia Tanzania inapigana vita na Rwanda,wao watakuwa upande wa Rwanda.

Miongoni mwao ni akina Salary slip,Swiss me,Mkwepa kodi,Paul Alex nk nk
Kabisa na hao wakipatikana hakuna kesi ni execution tu.
 
Swala ni kuwa vyombo husika vilikuwa wapi wakati haya yakitokea? Au sensor zao ni active kwenye mikutano ya opposition parties pekee? Watawala walikuwa wapi? Nini kitafanyika kwa wahusika ambao tumeapa kuwatetea kwa nguvu zote?
TISS wanaotoa taarifa ya kila jambo linavyofanyafika wapi,na nani na muda gani with evidence hapo ni issues chini ya Ofisi ya Rais ya kuamua waanzie wapi.Mimi TISS Si wezi kuwalaumu Hata Mara moja kazi wanafanya vizuri tu.

Kazi IPO kwa mamlaka nyingine. Nchi siyo ya TISS kama ambayo watu wanavyotaka kujenga dhana tukawawabebesha mzigo yote wao.

Kila mmoja akifanya kazi yake kwa mujibu wa sheria yote yatakuwa sawa tu.
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom