Rais Magufuli anahangaika na watanzania wasioipenda nchi yao na rasilimali zao

Kufuatia juhudi kubwa inayofanywa na Rais Magufuli ktk kuhakikisha rasilimali za nchi hii zinawanufaisha watanzania wote lakini baada ya sakata la madawa ya kulevya na hili la mchanga wa dhahabu kushika kasi ktk vyombo vya habari na mitandao ktk kupinga kinachofanywa na Serikali.

Ni moja kwa moja Rais Magufuli anahangaika na watanzania ambayo kumbe hawaipendi nchi yao na rasilimali zao wao kuibiwa ni sawa tu kwao.

Ukisoma comment utafikiri wanaotoa hizo comment si watanzania.

Kwa mantinki hii inaonyesha ni jinsi gani nchi hii tunapenda mambo ya kuibaiba Sasa kwa awamu hii Mwisho umefika.

Mtaenda kwenye mahakama za kimataifa hiyo mtajua wenyewe ila wizi wa rasilimali Sasa basi na yoyote Mwenye channel hiyo kichwa chake halali yetu.Hakuna kurudi nyuma.

Tutakutoa meno na koleo au macho na sindano au korodani na moto wa gas hiyo siku ikifika utajua.

Wizi wa rasilimali za Tanzania Mwisho ni awamu ya Tano.
Anza na Tundu Lisu
 
Ni makosa yanayoambatana na usaliti wa nchi yako

copy and paste: Basi ngoja nikusaidie kuelewa ni kosa gani ni jinai.. tunaelimishana na siyo kuwa na ubishi wa ushabiki wa chama

UKIFANYA HAYA UTAKUWA UMETENDA UHAINI.

( a ) Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya muungano au popote akajaribu kumuua rais atakuwa ametenda uhaini.

( b ) Pia mtu yeyote aliye ndani ya Jamhuri ya muungano au popote na akaanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya muungano atakuwa naye ametenda kosa la uhaini.

( c ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri, kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, au kufungwa kwa rais atakuwa ametenda uhaini.

( d ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondoa rais madarakani visivyo halali atakuwa ametenda uhaini.

( e ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondolea rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali atakuwa ametenda kosa la uhaini.

( f ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama atakuwa ametenda kosa la uhaini.
 
Hizi ni hasira sasa hao sio waizi walikuja kisheria na kutia sign mikataba kisheria sasa huwezi kumuita mwizi, kama wamevunja vipengele vya mikataba ziko terms and conditions. mtu akisema ukweli sio kukosa uzalendo ni vizuri lazima tuwe na hoja tofauti maana miaka ya ujamaa wa fikra moja mbona tulishindwa vibaya. ukiwa kiongozi lazima ukubali kukosolewa kama hutaki basi wewe hufai kuongoza serikali maana nchi ya wote na hoja yenye nguvu itashinda tu ila kwenye hili mahakama za kimataifa tutapigwa chini vibaya. kuna watu wanasema shauri yao na mahakama zao jamani tuacheni ushabiki kama wa simba na Yanga tutabanwa kama hatujapelekwa ICU kama Zimbabwe. hapo Kenya kama nawaona wanachekelea tu maana watafaidikia wao. Ni kama vita vya Syria na Egypt ikawapa faida Dubai ya 30 Billion new invest sababu ya maafa ya wenzao.
 
1.Uamuzi wa mahakama ndio unanipa uhakika kuwa walistahili kulipwa fidia!Au uhakika ulitaka niupate wapi?Kama mahakama huiamini,unataka uhakika kutoka chombo kipi?Je,wewe una uhakika pasi na shaka kuwa alihamishwa wizara ili atafutiwe kashfa?????Usije ukawa unaomba kupewa uhakika wakati wewe mwenyewe unaleta story za vijiweni
2.Umeshasema serikali ilikuwa corrupt,halafu hapo hapo unauliza mbona hakuchukuliwa hatua yeyote!Unajicontradict mwenyewe!
Soma vizuri, nimesema "viongozi waliowengi" walikuwa corrupt na JPM hakuwa mmoja wao.

Mahakama wakati huo ilifanyakazi kisiasa zaidi na kukidhi haja za viongozi corrupt serikalini.

Uvuvi haramu ulibarikiwa na viongozi corrupt serikalini kama ilivyo kwa Richmond, IPTL, mikataba ya madini na mengine mengi

Kwa hali hiyo usingetarajia mahakama kutenda kinyume na matakwa ya viongozi corrupt serikalini

Ndio maana nikauliza una uhakika gani pesa iliyolipwa kama fidia ilistahili kulipwa?

Hakuna mahali nilipo ji-contradict zaidi ya wewe kutonielewa vizuri
 
Tume huru idaiwe mapema Tanzania ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.
 
Kufuatia juhudi kubwa inayofanywa na Rais Magufuli ktk kuhakikisha rasilimali za nchi hii zinawanufaisha watanzania wote lakini baada ya sakata la madawa ya kulevya na hili la mchanga wa dhahabu kushika kasi ktk vyombo vya habari na mitandao ktk kupinga kinachofanywa na Serikali.

Ni moja kwa moja Rais Magufuli anahangaika na watanzania ambayo kumbe hawaipendi nchi yao na rasilimali zao wao kuibiwa ni sawa tu kwao.

Ukisoma comment utafikiri wanaotoa hizo comment si watanzania.

Kwa mantinki hii inaonyesha ni jinsi gani nchi hii tunapenda mambo ya kuibaiba Sasa kwa awamu hii Mwisho umefika.

Mtaenda kwenye mahakama za kimataifa hiyo mtajua wenyewe ila wizi wa rasilimali Sasa basi na yoyote Mwenye channel hiyo kichwa chake halali yetu.Hakuna kurudi nyuma.

Tutakutoa meno na koleo au macho na sindano au korodani na moto wa gas hiyo siku ikifika utajua.

Wizi wa rasilimali za Tanzania Mwisho ni awamu ya Tano.
Piga debe ila angalizo usitukane wakunga na uzazi ungalipo
 
Kwa makosa ya ripoti hile ata sisi tuliowahi kuchima madini huko mgodini tunashangaa; ngoja niwe kimya nisubiri tume ya Pili kwa ripoti yao.

Taadhari na ushauri kwa rais wetu mpendwa jiandae kwa kujilipua kwa kutoa mkataba nje kwa ajili ya review pamoja na kuwashitaki au kuwaambia waTanganyika hadharani matatizo yaliopo kwenye mkataba namna ile ile tume ilivyosoma ripoti hadharani.

Usipokua muazi kwenye mikataba haya najua hatutakusamee make tayari umeshaanza kusign mikataba kwa idadi ndo zinataja ila hatujui yaliyopo na baada ya miaka 18 tutakuja kuyataja hapa matatizo yao.

Naomba mheshimiwa ufute kauli ile kua hutafukua makaburi Pili kuna dude linaitwa IPTL inanyonya damu zaidi ya mchanga lakini uko kimya tu; bora mchanga production and extraction ni expensive.

Mungu ibariki Tanganyika Mungu ibariki wasemaji ukweli na Mungu ibariki wanafiki pia.
 
Ninani aliyewaleta hao WEZI na nani aliyepitisha Mikataba ya hovyo.....hao unajifanya huwajui?, huyo Shizonje alikuwa wapi kipindi hicho?, Anasemaje kuhusu mi hiyo mikataba? Mbona haiweki mezani anaichungulia vichochoroni?.
Lowasa mnamwita msafi si mnasema kaacha Yale maovu?
Nizambi kwa Raisi wetu kusahihisha pale walipokosea wenzake?
 
Hizi ni hasira sasa hao sio waizi walikuja kisheria na kutia sign mikataba kisheria sasa huwezi kumuita mwizi, kama wamevunja vipengele vya mikataba ziko terms and conditions. mtu akisema ukweli sio kukosa uzalendo ni vizuri lazima tuwe na hoja tofauti maana miaka ya ujamaa wa fikra moja mbona tulishindwa vibaya. ukiwa kiongozi lazima ukubali kukosolewa kama hutaki basi wewe hufai kuongoza serikali maana nchi ya wote na hoja yenye nguvu itashinda tu ila kwenye hili mahakama za kimataifa tutapigwa chini vibaya. kuna watu wanasema shauri yao na mahakama zao jamani tuacheni ushabiki kama wa simba na Yanga tutabanwa kama hatujapelekwa ICU kama Zimbabwe. hapo Kenya kama nawaona wanachekelea tu maana watafaidikia wao. Ni kama vita vya Syria na Egypt ikawapa faida Dubai ya 30 Billion new invest sababu ya maafa ya wenzao.
Lakini all in all hawa jamaa wanatupiga lazima tufahamu hilo Hata waligonga mlango na kufunguliwa lakini ktk hili lazima tuwe ngangari tu kwasababu hawa jamaa wameshajua udhaifu wetu uko wapi miaka 17 sio mchezo.
 
Sina haja ya kuprove kwako,ila elewa tu hivyo!Subiri majibu ya tume ya pili(kama watukwa na guts kutoa report hadharani)!
Nina chanzo ninachikiamini,nikichanganya na zangu basi ndio zinaenea hizo 100%
Mwanzo umesema una uhakika 100% kuwa taarifa ya tume kwanza si sahihi. Kwa maneno mengine huna imani na tume ya Rais!

Sasa hivi unasema tusubiri majibu (taarifa) ya tume ya pili kama itatoa hadharani kama ilivyo. Kwa maneno mengine una imani na tume ya pili ya Rais!

1. Nipe sababu za kutokuwa na imani na tume ya kwanza wakati huohuo una imani na tume ya pili na zote zimeundwa Rais?

2. Ikitokea tume ya pili ikatoa taarifa yake hadharani kama ilivyo, utakuwa tayari kutuonyesha uongo au ukweli wa taarifa hiyo kwa ushahidi?
 
Wao wenyewe ndio wameleta majanga yote haya....
Kwani wakati yanapitishwa wao hawakuwepo....?
Nikweli walioleta matapeli hawa wapo wengine wamekumbatiwa na CDM tena ndio watendaji wakuu wa shughuri za selikari za kila siku na walikuwa wanajua watz tunaibiwa lakini hata siku moja hawajawahi kusema lolote kuhusu huu wizi
 
Anza na Tundu Lisu
Tundu Lissu ndugu yangu wote njia moja unamjua vizuri na hili ameshakiri kuwa jamaa wanatupiga kweli na nimemsihi tu awe mzalendo kulitetea Taifa hali ni tete.Rais hawezi kuona tunaendelea kuibiwa tu na wengine wanashiriki huo wizi na wengine wanafurahia huo wizi
 
Mimi sipo ktk sheria wala sipo ktk mambo ya siasa kikazi.

Kuhusu issue ya kesi maarufu kama samaki wa Magufuli pale kiukweli udhaifu ilikuwa ni tuliowapa dhamana wale wachina ni kweli wana makosa lakini namba kesi yao ilivyofunguliwa na taratibu zote kufanyika mpaka hukumu Kuna mapungufu mengi yalikuwepo ktk mwenendo mzima wa ile kesi na ndiyo maana rufaa ilikuwa rahisi sana na hatimaye kuwa huru na kudai fidia.

Ajabu Hata kidhibiti tulishindwa kukitunza ile meli ya uvuvi ilitoboka na kuzama bandarini.Onyesha meli tuliyokuwa tunavulia huna meli ya kuonyesha kwanini watu wasishinde kesi kiulaini.

Kwahiyo watu kutokuwa committed kunachangia mambo mengi kutokwenda sawa na hujuma inaingia humohumo
Sasa ndugu ulichoeleza hapa ndio hoja ya tulio wengi mnaoona kana kwamba hatuitakii mema nchi. Kwanza mnakosea sana mnapohusisha wanaokosoa baadhi ya maamuzi ya serikali na upinzani. Wengine wanaokosoa ima ccm au hawako affiliated na chama chochote. Sote tunakubaliana kuwa kwa namna fulani hawa watu wanatupiga tena parefu, lakini tunatofautiana kwenye utaratibu unaotumika. Ukiungalia utaratibu wa kesi ya samaki, exactly ni sawa na kesi hii ya makinikia. Tutashindwa kwasababu ya pupa, sifa na kutotaka kuelekea upande wa shetia na taratibu.

Lakini pia, serikali hii imepoteza utamaduni wa kujenga utamaduni kwa watu kupitia kauli na matendo yake. Ni wajibu wa serikali kuwajengea matumaini raia wake hata pale inapoona ni nje ya uwezo wake kwa muda huo. Serikali ya leo imekuwa serikali ya kibabe tu kwa kila kitu. Kuna watu wanapokea mishahara kama take hom 1/5 ya basic zao. Why? Kwasababu serikali inafanya ubabe hata kwenye jasho la watu.

Sasa mmeacha utamaduni huu kiasi cha watu kuamini serikali yao si mfariji wa shida zao. Wananchi wakifikia hatua ya kuiona serikali kama adui yao, definitely watafurahi wakiona adui yao anataabika.

Haya mambo mkae mkayaelewa vizuri tena vizuri sana ili mbadilike. Duniani kote hakuna serikali ya kiraia inayoendesha nchi kimakanika.

Suala la ACACIA wengi wao wanaona kuna tatizo la approach kwa sababu mambo haya ni tofauti na kumuuliza bashite "nimtumbue nisimtumbue" kisha wananchi -tumbuaaa! Unaibuka unaamua "nimekufukuza", no. Hili jambo ni tofauti, ni cross border issue.
 
Yeye alivyopiga kura ya ndio na kupitisha sheria za ovyo alikua anaipenda Ccm zaidi ya Tanzania.
Acha avune alichopanda na wenzake.
Mwanao kapata ujauzito form two na bado anataka kusoma na wewe ndiyo baba yake utasema basi sikusomeshi tena nenda kaolewe kwasababu tu alipata ujauzito na nia na juhudi ya kusoma anayo na yuko fit darasani!!
 
copy and paste: Basi ngoja nikusaidie kuelewa ni kosa gani ni jinai.. tunaelimishana na siyo kuwa na ubishi wa ushabiki wa chama

UKIFANYA HAYA UTAKUWA UMETENDA UHAINI.

( a ) Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya muungano au popote akajaribu kumuua rais atakuwa ametenda uhaini.

( b ) Pia mtu yeyote aliye ndani ya Jamhuri ya muungano au popote na akaanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya muungano atakuwa naye ametenda kosa la uhaini.

( c ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri, kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, au kufungwa kwa rais atakuwa ametenda uhaini.

( d ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondoa rais madarakani visivyo halali atakuwa ametenda uhaini.

( e ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondolea rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali atakuwa ametenda kosa la uhaini.

( f ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama atakuwa ametenda kosa la uhaini.
Ulichokifanya ni uhaini kwa mujibu wa kipengere (e) kwa kushawishi watu kutoiamini taarifa ya tume iliyoundwa na Rais bila bila kutoa ushahidi

Kwa hiyo umeshusha heshima ya jina la Rais ambaye ni viongozi Mkuu wa serikali, amri jeshi Mkuu na Mkuu wa nchi
 
Soma vizuri, nimesema "viongozi waliowengi" walikuwa corrupt na JPM hakuwa mmoja wao.

Mahakama wakati huo ilifanyakazi kisiasa zaidi na kukidhi haja za viongozi corrupt serikalini.

Uvuvi haramu ulibarikiwa na viongozi corrupt serikalini kama ilivyo kwa Richmond, IPTL, mikataba ya madini na mengine mengi

Kwa hali hiyo usingetarajia mahakama kutenda kinyume na matakwa ya viongozi corrupt serikalini

Ndio maana nikauliza una uhakika gani pesa iliyolipwa kama fidia ilistahili kulipwa?

Hakuna mahali nilipo ji-contradict zaidi ya wewe kutonielewa vizuri
Hayo maelezo yako yote una ushahidi nayo au uko based na story za kahawani?Back up ur story with distinct standard of proof,una question kilichoamuliwa na mahakama kwa maelezo yasiyo na ushahidi!
 
Hiyo taarifa sahihi iko wapi, ilete hapa

Tafit hupingwa kwa tafit
Correction,ule ni uchunguzi na si utafiti!
Hiyo report iko wapi?Kwann imefichwa na haijawekwa wazi zaidi ya kupewa hints tu?
 
Ni lini ukaiweka nyuma nchi yako hata kama njia inakosewa, unatakiwa kujua lengo kuu hasa ni mini na hata kama ni kukosoa na kushauri si kwa aina hii mnayoitumia. Tunashindwa kuwaelewa wenzetu nyie ni watanzania wa wapi. Kukosea kupo ndo maana tunakosea lakini haikupi nafasi ya kukashifu na kuponda kama zezeta, vi siasa hivi uchwara visiwafanye mkafika sehemu ya kuiona nchi yenu kama kinyesi.
. Unasema kukosea kupo, huku hutaki kukosolewa. Kama tunakoenda ni Mashariki, na wewe unatupeleka kwa uelekeo wa Magharibi na kuktutaka tutulie tu eti tutafika kwa kuwa unaendesha mbio, hizo ni akili?

Msijitie upofu. Funza hawamalizwi kwa kukamua miguu, safisha mazingira. Bunge lipo lakini tunapelekwa kwa maamuzi ya mtu mmoja. Kwa maamuzi ya mtu mmoja tumeibiwa, na sasa kwa maamuzi ya mtu mmoja tunakaribia kumlipa fidia mwizi.

We endelea kujitekenya na kucheka kwa kuwa hamu unayo, ila tunaolipa kodi zetu na kutoa rambi rambi tunaona muelekeo sio sahihi. Baadae tutasikia kuwa mikataba ni mali ya jeshi ili tusiijadili.
 
Back
Top Bottom