MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,744
- 48,385
Watanzania wamefungua nyuzi humu wakilalamika kwanini Wakenya wanafuatilia rais Magufuli, ila nataka kuwaambia taarifa zinazotoka Tanzania za mambo anayoyasema rais wenu aisei ni za kipekee hadi inabidi afuatiliwe tu Afrika yote.
Kwa mfano nimeona tovuti ya Ghana ambapo humo kuna taarifa za Magufuli kukiri huwa anadukua simu za mawaziri wake na kuskliza wanapowasiliana, yaani hiyo kauli ni ya kipekee haijawahi kusemwa na rais yeyote hadharani maana hayo huwa mambo ya usalama wa taifa, sasa tunaposoma taarifa kama hizo kwa kweli lazima tufuatilie maana kama movie vile.
Hii hapa tovuti ya Ghana inayomjadili Tanzania’s President Spies on His Ministers and other Top Government Officials’ Phones