jaruri
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 716
- 459
Mwaka 2015 kulifanyika uchaguzi wa Rais,wabunge na madiwani.Kila chama kilinadi sera zake na kuptia sera hizo wananchi walichagua viongozi walio ona wanawafaa.
CHADEMA walimsimamisha Mheshimiwa Lowasaa ambae alishindwa vibaya sana na Dr Magufuli baada ya wananchi kupima sera za CHADEMA na mgombea wao na kuona hatoshi kuwa Rais.
Mara baada ya Rais kuingia madarakani kikukweli kafanya mambo yale haswaaa tulomtuma akatufanyie watanzania.Lakini siku zote binadamu huwa tuna tabia ya kutokubali kushindwa hata kama saababu za kushindwa kwetu tunazijua wazi wazi.Katika hali ya kuonesha uwepo wao wapinzani hasa CHADEMA wamekuwa wakipinga kila jema analolifanya Rais ili alimradi waonekane kuwa wapo,,,Hizi ndio kelele zinazo itwa za MFA MAJI.
Ukiangalia kundi linalo mpinga Rais ni watu wachache wanao nufaika na ruzuku ya vyama vyao,huku wananchi katika majimbo wanayo wakilisha wana muunga mkono mheshimiwa Rais.Rais anatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi ambayo inyagusa maisha ya wananchi moja kwa moja kupitia elimu,afya,maji na miundo mbinu,wakati wapinzani wao wamekalia kukosoa kusiko kuwa na tija kwa taifa.