Rais Magufuli anadidimiza uzalendo wa wataalamu na vijana kwa ujumla

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,080
103,310
Nimepitia andiko la Dr. Mwele ambaye aliwahi kufukuzwa kazi na rais Magufuli. Huyu ni mtaalamu mahiri wa afya

Nikapitia andiko la dada anayesakamwa kwa sasa mrembo Dr. Nyambura. Nikafanya consultation kwa wataalam wengi mahiri wa afya kuhusu stori ya papai kupimwa corona. Nimejiridhisha kuwa watu hawa hawajaridhika na alichokifanya rais Magufuli. Hii ina madhara makubwa sana kama nchi. Magufuli anachakachua uzalendo wa wataalamu. Siwezi kusema kwamba hashauriwi vizuri ila naweza kusema hana time ya kutafuta ushauri.

Nimuombe tu apunguze jazba na ajenge umoja. Yeye ni rais atapita, lakini Tanzania itabaki. Alikuwepo Nyerere alipita, Kikwete amepita na kabaki stori. Tanzania itaendelea kuwepo.

Tweet.jpg

Nyambura.jpg

EXLE4_XXsAEokLL.png

 
Acheni kuingiza Siasa kwenye afya nyie Chadema

Mnatapata sana lkn lazima mfe tu
 
Back
Top Bottom