Mie ninafikiri Magufuli alichozuia ni mchanga upimwe kuona kama hakuna dhahabu ndani ya mchanga huo. Hizo smelter waliokuwa wanapeleka mchanga nje ni kwa smeltering ya madiini mengine yaliyomo ndani ya mchanga ambayo hayawezi tengenanishwa hapa tz.
Magufuli anachotaka kuona humo kwenye makontena ni kama hakuna dhahabu. Kutenganisha dhahabu na mchanga inafanywa hata na wachimbaji wa mkono.
Tunachotaka kuona kwenye makontena hayo je ni kweli hakuna Dhahabu? Uchimbaji wa element ya gold huwa inapatikana ktk pure form haihitaji kufanya electrolysis wala blast furnace.
Huo mchanga uliokuwa unapelekwa nje ni nafikiri walikuwa wanasingizia wanaenda kutengeneza chuma wakati ndani wameficha dhahabu, ndiyo maana Rais anataka upimwe dunia ione.
Naomba kusahihishwa na keweka record sahihi.