Rais Magufuli ana jipya gani? Nilijua tu rangi yake halisi itaonekana kabla ya 2020

afya yake ilienda inadhoofika kadri mda unavyoenda..ukiangalia sura yake katika picha tangu december hadi feb siku ile amesimama kanisani st peter utaona mabadiliko makubwa..wenye jicho la tatu tulijiuliza kulikon mh anazid kudhoofika kila kukicha na waliomzinguka hawaoni hali hii?...siku ile anamuaga kijazi alipoingia pale kalimjee nikamwbia rafiki yangu mmoja kuwa pamoja na msiba huu mzee hayuko sawa iko shida kubwa inamsumbua..kwa nini wasaidiz wake waliacha hali hii huku wakijua kuwa huyu Mkuu wa nchi..kama walimshaur akatibiwe akakataa kwa nini hawakutumia utaratibu unaofaa kumfanya akatibiwe?..mana watu baki tulikiwa tunaona kabisa mzee hayuko sawa..lakini pia kingine yeye mwenyewe kwa nini hakujali afya yake wakat hali halisi ilikiwa inajionyesha?..aliweka nchi mbele kuliko afya yake..ona sasa kabla hajafika chato kuzikwa tayari kiti kilikuwa kimeshapata mtu wa kukali!!!...je walikiwa wanamuogopa kumwambia ukweli..hawakujua shida iliyokuwa mbele yake?...shida ya moyo kwa zaidi ya miaka kumi bila checkup!

2..Magufuli alikiwa anaongoza watu amabo yeye akiwaangaloa machoni anawaona kama ni watu watiifu sana wenye kutii kila asemacho..lakini ukweli ni kwamba waliokiwa karibu nae na wengi waliokuwa wakiimba mapambio ya kumsifu na kumuabudu wengi walikuwa wameshamuasi kifikra..wengi walikuwa upande wake kulinda maslah yao na hili linaonekana wazi hasa wiki mbili hiI baada ya kuzikwa...wengi hawakupenda sera zake na namna anavyoongoza nchi bila kujali kujali katiba
Mzee wangu mmoja alinipa lift kwenye gari yake akaniambia jambo ambalo nimelitafakari baada ya kifo chake..mzee alisema magufuli ni kiongozi anayejenga nchi na sio taifa..iko tofauti kubwa kato ya nchi na taifa akaemdelea kusema ..hii itampa kazi sana katika kujenga nchi hii na akumbuke kuwa nchi hii hakuikuta ikiwa jangwa kwamba yeye ndie anaanza kuijenga kana kwamba wenzake waliotangulia hawakufanya kitu..nikamuuliza kwa vipi baba..mzee akasema kwa sasa huwez kujua ila utajua baadae ila nachokwambia anachokijenga hakitamfikisha popote..mzee akaishia hapo
Lakini pia magufuli hakuwa anazijua beacon za nchi hii..wapo wanaojua beacon za nchi hii yawezekana wako ndan au nje ya nchi..aproach nyingi za magufuli hazikiwavutia wengi kwenye inner cycle...maneno mengi ya kunanga watanguliz wake ,lugha za kibabe na kibaguzi(mfano mkichagua wa chama kile sileti maji..sikuleta maana hapa mlichagua wa chama kile nk)..waliompandisha kufika hapo wengi aliwakanyaga na kuwatupa nje..lakin pia wasaidizi wake wa karibu walikuwa nakaz ya ziada...njoo kwenye hili la corona alitumia ligha za hovyo wakat mwingine na kukatisha tamaa..watu nyeti sana wamepukutika..huko jeshin na ndan ya Tiss wazee kibao wamekifa na corona lakin yeye kama mkuu wa nchi hakutaka kutoa kauli yenye uelekeo..jana samia kachukua point tatu muhim..ubabe ubabe wake haukuwa na tija..
Siku ile mwaka jana amekufa mkapa kuna kitu nilijiuliza sana...maana nadhan fomula iliyotumika ni kumpiga mchungaji na kondooo watanyike ili tuwapate kirahisi.sasa angalia trend tangu amekufa mkapa..lakini pia vifo vya hawa wasaidizi wake waliotangulia kufa kwa kufatana sana na mwisho akafa yeye..binafsi nimekataa kuwa ni corona iliwaondoa wale kwa haraka haraka au corona ilitumika kama cover...vile vifo vya wasaidizi,wake na jamaa zake vilimpa wakat mgumu sana..sijui kama kuna mwingine aliyekuwa karibu nae atakufa baada ya kufa yeye akitokea hapo ikulu...deep state wanajua namaanisha nini..ila sisi wengine tunaoishi kwenye hii dunia ya chai na sukar hatuwez kujua lolote..so huenda akawa fixed maana sasa unaweza kuona kwa haraka kabla ya 40 sera zake zikibadilishwa..watu wakionyesha wazi waz alivyokuwa hayuko fair katika kaz zake..full ubabe..kuna kauli ameitoa Mh.Rais wa sasa jana iliyoonyesha huko ndan wakat wa hayati akiwa kwenye kiti mambo hayakuwa shwari..huwez kuendesha nchi kwa misingi ya kidikteta wakat umeshika madaraka toka kwenye sanduku la kura..ingekuwa kashika madaraka kwa mtutu kidogo ingesaidia..he was not safe...
Mienendo yake ya uongoz haikuashiria mwisho mzuri na ndio maana hata humu jf kuna thread ziliwekwa mwaka 2017,2018,2019 zote kutabiri kiwa huyu mwamba asingetoboa miaka 10 ya uongoz..

3..mataifa ya nje ushirika wao sidhan kama upo sana japo wengi hawakupenda sera zake...na kama upo basi wamewatumia watu wake wa karibu walioasi kifikra ili kumpata ila binfsi naona uhusika mkubwa wa humu ndan na yeye mwenyewe kutokisoma alama za nyakati na kutokujali afya yake..huwez kuwa na maradhi ya moyo halafu unakuwa mtu wa dizaini ile halafu uaeme utaishi maisha marefu yenye fanaka...
Ninarudi pale pale kwa yule mzee wangu..huwez kujikita kujenga nchi badala ya kujenga taifa halafu ukawa salama..taifa hili lina misingi yake..
Bwashee hii nondo nimeipenda sana
 
ATCL - Dreamliner
View attachment 1058876

BRT
c9d96029-8dde-409b-ae07-fe0c94b3079c-jpeg.1050765

Sekta ya Afya
m42.jpg

m4.jpg

Upasuaji wa moyo

VcfuvxS72cXfrqLCQWof15-4DZ9bHTR7cjQ4Vob9H0e0FzUPrLErpMpdyfmGQNRddzKe11RiTBMPDBEYs15uPqIjOx7EtmJvyI4lzX4kXlzvNPVTWE3aFXDMo0q-=s0-d

Upanuzi wa Bandari

qQzrvWd.jpg

Nsdgk4e.jpg

Ujenzi wa reli ya Kisasa

DziA-leWwAU8X1N.jpg

Bwawa la Umeme 2100MW

View attachment 1069477
Upanuzi wa barabara

maxresdefault-jpg.985004

Madaraja ya juu

tazara5.jpg

Ukarabati wa reli

View attachment 1069470

View attachment 1069471

Terminal 3

6528d9e1-464b-47d0-b843-fb7cf899f694-jpeg.1056191

8ae8f790-5a08-4b20-9288-f0fff115e386-jpeg.1056190

img_8873-jpg.1053802

img_8877-jpg.1053803

img_8876-jpg.1053804

img_8874-jpg.1053806

View attachment 1058899

Hayo ni mambo yako ya kufikirika, ila uhalisia ni kuwa tunajenga reli, bwawa la umeme, tunanunua mashine za CT, Umeme mpaka vijijini, Kwenye afya tuanpasua mpaka mioyo, ndege ndo usiseme n.k. Haya ni baadhi ila kama huoni kuwa haya ni maendelo basi sijui tukusaidieje.
Miradi ya Kikwete hiyo usitudanganye
 
Waswahili wanasema "pembe la ng'ombe halifichiki ndivyo ilivyo kwa bwana huyu wa magogoni
.
.
Keshafail nasema ashukuriwe mungu kwa kuonyesha rangi yake halisi maana mara ya kwanza alijikaza kuficha twabia yake lakini mungu kadhihirisha

Hana jipya kwasababu
1.Ufisadi upo palepale trilioni 1.5+trilioni 1.9+1 trilioni za kangi lugola yaani ufisadi ni ule ule tu wa awamu zote sema sahv wameupaka rangi tu ni kama gari bovu uipake rangi tena wa sasa hivi unatisha tukiruhusu ukaguzi huru nina hakika kwa miaka mitano tutaanika ufisadi wa zaidi trilion 10
2.Uchumi unapumulia gesi angalieni dollar pamoja na kufunga bureau de change maskini holaaah shilingi inazidi kuporomoka

3.Rais wa wanyonge kageuka kuwanyonga wanyonge angalieni vitambulisho vya ujasiriamali

4.Miradi ya mwendokasi keshafali

5.Mandege kwa cash badala ya kuwa faida yamegeuka hasara na ufisadi wa kutupwa ndege hazijaingiza faida hata mia ni hasara kila mwaka tu wanajiendesha kwa hasara hilo tunalijua hamtaambiwa ila ipo siku litafichuka maana ukaguzi na manunuzi ya ndege kahamishia ikulu

5.Ajira vijana wanakufa mtaani bila ajira

6.Wafanyabiashara wamefunga biashara

7.Watoto wa maskini wanaumizwa na utawala huu

8.Kukosekana kwa democracy

9.kukurupuka

10.Wakulima wa korosho wamedhulumiwa wanaishi kama mashetani

11.Tanzania ya viwanda imegeuka vi-wonder jee viwanda vinajengwa kwa tulivyokua tunahubiriwa?ndoto ya viwanda imekufa kifo cha mende

12.Amezalisha maadui wengi kuliko rais yoyote yule siku yake itafika tu kama atakaa madarakani vipindi viwili ashukuriwe mungu ngoja tuone maana mungu hapendi dhulma huyu hatodumu miaka 10 kama wenzie

13.Umaskini wa watu uko palepale

14.Kutojiendesha kwa uwazi serikali yake imejitoa open government

15.mikataba ya ujenzi bila idhini ya bunge

16.Mikataba ya usiri ya miradi mikubwa yenye harufu ya ufisadi na kandarasi za kifamilia (mayanga) angalia daraja la busisi la bilioni 700 na ule wa chato

17.Ukabila na ukanda na uchama na chuki dhidi ya vyama vingine kuleta ukabila na kutoa vyeo kikabila kabila tu

18.Vijana wanaishi bila ajira mikopo ya riba kubwa ya chuo isiyolipika

19.Kuchezea pesa za umma na kulitia taifa hasara na madeni

10.kukataa miradi isikaguliwe na kukopa kwa siri huku deni la taifa likikua

Mimi nauliza hana jipya?kama lipo basi nijulishwe maana sie tukimwangalia tunamcheka tu anavyotapatapa kwenye kina cha maji....

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kimsboy nimekuvulia kofia, hatimaye ulioyasema 2019 yametimia 2021.
 
Kwa watu wa aina yako. Ningekuwa na uwezo ningewapoteza wote kama kizazi cha kora kilivyopotea kule jangwani sabbu ki ukweli mlizaliwa kimakosa sana kuwepo katika dunia hii.
Kama huoni ukiwa na macho ukiwa kipofu utatwambia uharo gani mwingine?..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama yote aliyoyaandika jamaa March 2019 yamepita mule mule.
 
Washauri walikuwepo lakini hakutaka kuwasikiliza, huyu mtu alikuwa NYAPARA lakini ni dhahiri bin shayiri alihitaji MENEJA wa kumpangia vipaumbele ili mambo yafanyike kwa mpangilio mzuri!
Hakutaka ushauri wa aina yeyote, yeye alikuwa anajua kila kitu. Kuna kipindi anabisha na wakandarasi live akiwaelekeza yeye cha kufanya
 
Waswahili wanasema "pembe la ng'ombe halifichiki ndivyo ilivyo kwa bwana huyu wa magogoni
.
.
Keshafail nasema ashukuriwe mungu kwa kuonyesha rangi yake halisi maana mara ya kwanza alijikaza kuficha twabia yake lakini mungu kadhihirisha

Hana jipya kwasababu
1.Ufisadi upo palepale trilioni 1.5+trilioni 1.9+1 trilioni za kangi lugola yaani ufisadi ni ule ule tu wa awamu zote sema sahv wameupaka rangi tu ni kama gari bovu uipake rangi tena wa sasa hivi unatisha tukiruhusu ukaguzi huru nina hakika kwa miaka mitano tutaanika ufisadi wa zaidi trilion 10
2.Uchumi unapumulia gesi angalieni dollar pamoja na kufunga bureau de change maskini holaaah shilingi inazidi kuporomoka

3.Rais wa wanyonge kageuka kuwanyonga wanyonge angalieni vitambulisho vya ujasiriamali

4.Miradi ya mwendokasi keshafali

5.Mandege kwa cash badala ya kuwa faida yamegeuka hasara na ufisadi wa kutupwa ndege hazijaingiza faida hata mia ni hasara kila mwaka tu wanajiendesha kwa hasara hilo tunalijua hamtaambiwa ila ipo siku litafichuka maana ukaguzi na manunuzi ya ndege kahamishia ikulu

5.Ajira vijana wanakufa mtaani bila ajira

6.Wafanyabiashara wamefunga biashara

7.Watoto wa maskini wanaumizwa na utawala huu

8.Kukosekana kwa democracy

9.kukurupuka

10.Wakulima wa korosho wamedhulumiwa wanaishi kama mashetani

11.Tanzania ya viwanda imegeuka vi-wonder jee viwanda vinajengwa kwa tulivyokua tunahubiriwa?ndoto ya viwanda imekufa kifo cha mende

12.Amezalisha maadui wengi kuliko rais yoyote yule siku yake itafika tu kama atakaa madarakani vipindi viwili ashukuriwe mungu ngoja tuone maana mungu hapendi dhulma huyu hatodumu miaka 10 kama wenzie

13.Umaskini wa watu uko palepale

14.Kutojiendesha kwa uwazi serikali yake imejitoa open government

15.mikataba ya ujenzi bila idhini ya bunge

16.Mikataba ya usiri ya miradi mikubwa yenye harufu ya ufisadi na kandarasi za kifamilia (mayanga) angalia daraja la busisi la bilioni 700 na ule wa chato

17.Ukabila na ukanda na uchama na chuki dhidi ya vyama vingine kuleta ukabila na kutoa vyeo kikabila kabila tu

18.Vijana wanaishi bila ajira mikopo ya riba kubwa ya chuo isiyolipika

19.Kuchezea pesa za umma na kulitia taifa hasara na madeni

10.kukataa miradi isikaguliwe na kukopa kwa siri huku deni la taifa likikua

Mimi nauliza hana jipya?kama lipo basi nijulishwe maana sie tukimwangalia tunamcheka tu anavyotapatapa kwenye kina cha maji....

Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza soup mkuu ntalipa sukumia na chapati shoo yote nasimamia
 
Kwa watu wa aina yako. Ningekuwa na uwezo ningewapoteza wote kama kizazi cha kora kilivyopotea kule jangwani sabbu ki ukweli mlizaliwa kimakosa sana kuwepo katika dunia hii.
Kama huoni ukiwa na macho ukiwa kipofu utatwambia uharo gani mwingine?..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa watu wa aina yako. Ningekuwa na uwezo ningewapoteza wote kama kizazi cha kora kilivyopotea kule jangwani sabbu ki ukweli mlizaliwa kimakosa sana kuwepo katika dunia hii.
Kama huoni ukiwa na macho ukiwa kipofu utatwambia uharo gani mwingine?..

Sent using Jamii Forums mobile app
msamehe ase ameshaedit vizuri
 
Fact
afya yake ilienda inadhoofika kadri mda unavyoenda..ukiangalia sura yake katika picha tangu december hadi feb siku ile amesimama kanisani st peter utaona mabadiliko makubwa..wenye jicho la tatu tulijiuliza kulikon mh anazid kudhoofika kila kukicha na waliomzinguka hawaoni hali hii?...siku ile anamuaga kijazi alipoingia pale kalimjee nikamwbia rafiki yangu mmoja kuwa pamoja na msiba huu mzee hayuko sawa iko shida kubwa inamsumbua..kwa nini wasaidiz wake waliacha hali hii huku wakijua kuwa huyu Mkuu wa nchi..kama walimshaur akatibiwe akakataa kwa nini hawakutumia utaratibu unaofaa kumfanya akatibiwe?..mana watu baki tulikiwa tunaona kabisa mzee hayuko sawa..lakini pia kingine yeye mwenyewe kwa nini hakujali afya yake wakat hali halisi ilikiwa inajionyesha?..aliweka nchi mbele kuliko afya yake..ona sasa kabla hajafika chato kuzikwa tayari kiti kilikuwa kimeshapata mtu wa kukali!!!...je walikiwa wanamuogopa kumwambia ukweli..hawakujua shida iliyokuwa mbele yake?...shida ya moyo kwa zaidi ya miaka kumi bila checkup!

2..Magufuli alikiwa anaongoza watu amabo yeye akiwaangaloa machoni anawaona kama ni watu watiifu sana wenye kutii kila asemacho..lakini ukweli ni kwamba waliokiwa karibu nae na wengi waliokuwa wakiimba mapambio ya kumsifu na kumuabudu wengi walikuwa wameshamuasi kifikra..wengi walikuwa upande wake kulinda maslah yao na hili linaonekana wazi hasa wiki mbili hiI baada ya kuzikwa...wengi hawakupenda sera zake na namna anavyoongoza nchi bila kujali kujali katiba
Mzee wangu mmoja alinipa lift kwenye gari yake akaniambia jambo ambalo nimelitafakari baada ya kifo chake..mzee alisema magufuli ni kiongozi anayejenga nchi na sio taifa..iko tofauti kubwa kato ya nchi na taifa akaemdelea kusema ..hii itampa kazi sana katika kujenga nchi hii na akumbuke kuwa nchi hii hakuikuta ikiwa jangwa kwamba yeye ndie anaanza kuijenga kana kwamba wenzake waliotangulia hawakufanya kitu..nikamuuliza kwa vipi baba..mzee akasema kwa sasa huwez kujua ila utajua baadae ila nachokwambia anachokijenga hakitamfikisha popote..mzee akaishia hapo
Lakini pia magufuli hakuwa anazijua beacon za nchi hii..wapo wanaojua beacon za nchi hii yawezekana wako ndan au nje ya nchi..aproach nyingi za magufuli hazikiwavutia wengi kwenye inner cycle...maneno mengi ya kunanga watanguliz wake ,lugha za kibabe na kibaguzi(mfano mkichagua wa chama kile sileti maji..sikuleta maana hapa mlichagua wa chama kile nk)..waliompandisha kufika hapo wengi aliwakanyaga na kuwatupa nje..lakin pia wasaidizi wake wa karibu walikuwa nakaz ya ziada...njoo kwenye hili la corona alitumia ligha za hovyo wakat mwingine na kukatisha tamaa..watu nyeti sana wamepukutika..huko jeshin na ndan ya Tiss wazee kibao wamekifa na corona lakin yeye kama mkuu wa nchi hakutaka kutoa kauli yenye uelekeo..jana samia kachukua point tatu muhim..ubabe ubabe wake haukuwa na tija..
Siku ile mwaka jana amekufa mkapa kuna kitu nilijiuliza sana...maana nadhan fomula iliyotumika ni kumpiga mchungaji na kondooo watanyike ili tuwapate kirahisi.sasa angalia trend tangu amekufa mkapa..lakini pia vifo vya hawa wasaidizi wake waliotangulia kufa kwa kufatana sana na mwisho akafa yeye..binafsi nimekataa kuwa ni corona iliwaondoa wale kwa haraka haraka au corona ilitumika kama cover...vile vifo vya wasaidizi,wake na jamaa zake vilimpa wakat mgumu sana..sijui kama kuna mwingine aliyekuwa karibu nae atakufa baada ya kufa yeye akitokea hapo ikulu...deep state wanajua namaanisha nini..ila sisi wengine tunaoishi kwenye hii dunia ya chai na sukar hatuwez kujua lolote..so huenda akawa fixed maana sasa unaweza kuona kwa haraka kabla ya 40 sera zake zikibadilishwa..watu wakionyesha wazi waz alivyokuwa hayuko fair katika kaz zake..full ubabe..kuna kauli ameitoa Mh.Rais wa sasa jana iliyoonyesha huko ndan wakat wa hayati akiwa kwenye kiti mambo hayakuwa shwari..huwez kuendesha nchi kwa misingi ya kidikteta wakat umeshika madaraka toka kwenye sanduku la kura..ingekuwa kashika madaraka kwa mtutu kidogo ingesaidia..he was not safe...
Mienendo yake ya uongoz haikuashiria mwisho mzuri na ndio maana hata humu jf kuna thread ziliwekwa mwaka 2017,2018,2019 zote kutabiri kiwa huyu mwamba asingetoboa miaka 10 ya uongoz..

3..mataifa ya nje ushirika wao sidhan kama upo sana japo wengi hawakupenda sera zake...na kama upo basi wamewatumia watu wake wa karibu walioasi kifikra ili kumpata ila binfsi naona uhusika mkubwa wa humu ndan na yeye mwenyewe kutokisoma alama za nyakati na kutokujali afya yake..huwez kuwa na maradhi ya moyo halafu unakuwa mtu wa dizaini ile halafu uaeme utaishi maisha marefu yenye fanaka...
Ninarudi pale pale kwa yule mzee wangu..huwez kujikita kujenga nchi badala ya kujenga taifa halafu ukawa salama..taifa hili lina misingi yake..
 
afya yake ilienda inadhoofika kadri mda unavyoenda..ukiangalia sura yake katika picha tangu december hadi feb siku ile amesimama kanisani st peter utaona mabadiliko makubwa..wenye jicho la tatu tulijiuliza kulikon mh anazid kudhoofika kila kukicha na waliomzinguka hawaoni hali hii?...siku ile anamuaga kijazi alipoingia pale kalimjee nikamwbia rafiki yangu mmoja kuwa pamoja na msiba huu mzee hayuko sawa iko shida kubwa inamsumbua..kwa nini wasaidiz wake waliacha hali hii huku wakijua kuwa huyu Mkuu wa nchi..kama walimshaur akatibiwe akakataa kwa nini hawakutumia utaratibu unaofaa kumfanya akatibiwe?..mana watu baki tulikiwa tunaona kabisa mzee hayuko sawa..lakini pia kingine yeye mwenyewe kwa nini hakujali afya yake wakat hali halisi ilikiwa inajionyesha?..aliweka nchi mbele kuliko afya yake..ona sasa kabla hajafika chato kuzikwa tayari kiti kilikuwa kimeshapata mtu wa kukali!!!...je walikiwa wanamuogopa kumwambia ukweli..hawakujua shida iliyokuwa mbele yake?...shida ya moyo kwa zaidi ya miaka kumi bila checkup!

2..Magufuli alikiwa anaongoza watu amabo yeye akiwaangaloa machoni anawaona kama ni watu watiifu sana wenye kutii kila asemacho..lakini ukweli ni kwamba waliokiwa karibu nae na wengi waliokuwa wakiimba mapambio ya kumsifu na kumuabudu wengi walikuwa wameshamuasi kifikra..wengi walikuwa upande wake kulinda maslah yao na hili linaonekana wazi hasa wiki mbili hiI baada ya kuzikwa...wengi hawakupenda sera zake na namna anavyoongoza nchi bila kujali kujali katiba
Mzee wangu mmoja alinipa lift kwenye gari yake akaniambia jambo ambalo nimelitafakari baada ya kifo chake..mzee alisema magufuli ni kiongozi anayejenga nchi na sio taifa..iko tofauti kubwa kato ya nchi na taifa akaemdelea kusema ..hii itampa kazi sana katika kujenga nchi hii na akumbuke kuwa nchi hii hakuikuta ikiwa jangwa kwamba yeye ndie anaanza kuijenga kana kwamba wenzake waliotangulia hawakufanya kitu..nikamuuliza kwa vipi baba..mzee akasema kwa sasa huwez kujua ila utajua baadae ila nachokwambia anachokijenga hakitamfikisha popote..mzee akaishia hapo
Lakini pia magufuli hakuwa anazijua beacon za nchi hii..wapo wanaojua beacon za nchi hii yawezekana wako ndan au nje ya nchi..aproach nyingi za magufuli hazikiwavutia wengi kwenye inner cycle...maneno mengi ya kunanga watanguliz wake ,lugha za kibabe na kibaguzi(mfano mkichagua wa chama kile sileti maji..sikuleta maana hapa mlichagua wa chama kile nk)..waliompandisha kufika hapo wengi aliwakanyaga na kuwatupa nje..lakin pia wasaidizi wake wa karibu walikuwa nakaz ya ziada...njoo kwenye hili la corona alitumia ligha za hovyo wakat mwingine na kukatisha tamaa..watu nyeti sana wamepukutika..huko jeshin na ndan ya Tiss wazee kibao wamekifa na corona lakin yeye kama mkuu wa nchi hakutaka kutoa kauli yenye uelekeo..jana samia kachukua point tatu muhim..ubabe ubabe wake haukuwa na tija..
Siku ile mwaka jana amekufa mkapa kuna kitu nilijiuliza sana...maana nadhan fomula iliyotumika ni kumpiga mchungaji na kondooo watanyike ili tuwapate kirahisi.sasa angalia trend tangu amekufa mkapa..lakini pia vifo vya hawa wasaidizi wake waliotangulia kufa kwa kufatana sana na mwisho akafa yeye..binafsi nimekataa kuwa ni corona iliwaondoa wale kwa haraka haraka au corona ilitumika kama cover...vile vifo vya wasaidizi,wake na jamaa zake vilimpa wakat mgumu sana..sijui kama kuna mwingine aliyekuwa karibu nae atakufa baada ya kufa yeye akitokea hapo ikulu...deep state wanajua namaanisha nini..ila sisi wengine tunaoishi kwenye hii dunia ya chai na sukar hatuwez kujua lolote..so huenda akawa fixed maana sasa unaweza kuona kwa haraka kabla ya 40 sera zake zikibadilishwa..watu wakionyesha wazi waz alivyokuwa hayuko fair katika kaz zake..full ubabe..kuna kauli ameitoa Mh.Rais wa sasa jana iliyoonyesha huko ndan wakat wa hayati akiwa kwenye kiti mambo hayakuwa shwari..huwez kuendesha nchi kwa misingi ya kidikteta wakat umeshika madaraka toka kwenye sanduku la kura..ingekuwa kashika madaraka kwa mtutu kidogo ingesaidia..he was not safe...
Mienendo yake ya uongoz haikuashiria mwisho mzuri na ndio maana hata humu jf kuna thread ziliwekwa mwaka 2017,2018,2019 zote kutabiri kiwa huyu mwamba asingetoboa miaka 10 ya uongoz..

3..mataifa ya nje ushirika wao sidhan kama upo sana japo wengi hawakupenda sera zake...na kama upo basi wamewatumia watu wake wa karibu walioasi kifikra ili kumpata ila binfsi naona uhusika mkubwa wa humu ndan na yeye mwenyewe kutokisoma alama za nyakati na kutokujali afya yake..huwez kuwa na maradhi ya moyo halafu unakuwa mtu wa dizaini ile halafu uaeme utaishi maisha marefu yenye fanaka...
Ninarudi pale pale kwa yule mzee wangu..huwez kujikita kujenga nchi badala ya kujenga taifa halafu ukawa salama..taifa hili lina misingi yake..
Hii nondo naenda kui-print na kuiwekea lamination.
 
Back
Top Bottom