Rais Magufuli ana dhamira njema baadhi ya watendaji wanamuangusha

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Habari wanajopo wote!
Tangu Mh Rais Magufuli tumempa ridhaa ya kutuongoza mwaka 2015 kwa kweli ukimuangalia Rais wetu kwa jicho la Tai unaona dhamira yake njema katika kuwatumikia Watanzania na zaidi sana kuhakikisha Nchi inasonga mbele kwenye medani zote.Kikwazo kikubwa nachokiona ni baadhi ya watendaji wanadhamira ovu ya kukwamisha juhudi za Rais,Rai yangu kwa Mh Rais Magufuli asiwe na simire na kiongozi yoyote ambaye anazuia jitahada zako ambazo watanzania wote wenye nia njema tunakuunga mkono. JPM KIOO TUELEKEACHO
0758 308494

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada umetuachia na contact yako ya simu

Usiwe na shaka, kwa kuwa hutaendelea kusahaulika na Jiwe katika uteuzi wa nafasi za uDC!
 
Unamuungaje mkono?
Habari wanajopo wote!
Tangu Mh Rais Magufuli tumempa ridhaa ya kutuongoza mwaka 2015 kwa kweli ukimuangalia Rais wetu kwa jicho la Tai unaona dhamira yake njema katika kuwatumikia Watanzania na zaidi sana kuhakikisha Nchi inasonga mbele kwenye medani zote.Kikwazo kikubwa nachokiona ni baadhi ya watendaji wanadhamira ovu ya kukwamisha juhudi za Rais,Rai yangu kwa Mh Rais Magufuli asiwe na simire na kiongozi yoyote ambaye anazuia jitahada zako ambazo watanzania wote wenye nia njema tunakuunga mkono. JPM KIOO TUELEKEACHO
0758 308494

Sent using Jamii Forums mobile app

Loyalty To country Always,To government When it deserves
 
20,000 zinazokusanywa kutoka vitambulisho vya wamachinga zinaingia mfuko gani? na ni nani anahakiki matumizi yake?
 
Habari wanajopo wote!
Tangu Mh Rais Magufuli tumempa ridhaa ya kutuongoza mwaka 2015 kwa kweli ukimuangalia Rais wetu kwa jicho la Tai unaona dhamira yake njema katika kuwatumikia Watanzania na zaidi sana kuhakikisha Nchi inasonga mbele kwenye medani zote.Kikwazo kikubwa nachokiona ni baadhi ya watendaji wanadhamira ovu ya kukwamisha juhudi za Rais,Rai yangu kwa Mh Rais Magufuli asiwe na simire na kiongozi yoyote ambaye anazuia jitahada zako ambazo watanzania wote wenye nia njema tunakuunga mkono. JPM KIOO TUELEKEACHO
0758 308494

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha..Mkuu naona umeweka namba ya simu ufikiriwe...duh..nchi ngumu hii. watu mnashindwa kula kwa jasho mnataka vyeo vya mezani kwa kusifia watawala.....kazi mnayo aiseee...
 
Mie na company yangu nafanya kazi na nalipa kodi ..sio nyie mnawekewa bando mje kutukana huku number nimeweka kwa ushauri na maoni na waandishi wengi wanafanya hivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watu hawajaelewa kinaendelea nchini yaani Tunaishi na kufanya kile Magufuli anachosema na anachotaka

"So anajiangusha kama presidential declare inafail"
 
wa kwanza wanaomuaangusha ni takukuru wanafanya kazi kwa unafiki wanaacha wala rushhwa na wakepa kodi wakitanua hapo pia wako TRA na TCRA
 
Kuua wakosoaji wa jiwe na wengine kuwaachia vilema.

Uchumi hoi.

Ajira hoi.

Kilimo hoi.

Elimu hoi.

Huyu baba yenu sijui ni wapi tu mnapomtukuza sifa hizo?
 
wa kwanza wanaomuaangusha ni takukuru wanafanya kazi kwa unafiki wanaacha wala rushhwa na wakepa kodi wakitanua hapo pia wako TRA na TCRA
Mkuu mbona Povu jingi!!,hizo Taarifa ziwasilishwe kwa Namba 01 mwenyewe kama umekosa Imani na TAKUKURU ili kesho Povu lako liwe na maana!!!!
 
Habari wanajopo wote!
Tangu Mh Rais Magufuli tumempa ridhaa ya kutuongoza mwaka 2015 kwa kweli ukimuangalia Rais wetu kwa jicho la Tai unaona dhamira yake njema katika kuwatumikia Watanzania na zaidi sana kuhakikisha Nchi inasonga mbele kwenye medani zote.Kikwazo kikubwa nachokiona ni baadhi ya watendaji wanadhamira ovu ya kukwamisha juhudi za Rais,Rai yangu kwa Mh Rais Magufuli asiwe na simire na kiongozi yoyote ambaye anazuia jitahada zako ambazo watanzania wote wenye nia njema tunakuunga mkono. JPM KIOO TUELEKEACHO
0758 308494

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambieni watumishi hawana furaha kwa sababu hawalipi stahiki zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom