Rais Magufuli ana bahati au ngekewa nzuri tu?

juzi tu umelalamika kakampuni kako kupumulia mashine, huo uchumi wa kati utafikaje au serikali ndo inafika kwa niaba yako
Mkuu Mtukutu wa Nyaigela, acha utukutu, ile issue ya kakampuni kangu kupumulia mashine ni kweli, ile ni micro economics at individual level, hapa nazungumzia macro economics at national wide, country level.
P.
 
Naunga mkono hoja, huyu ni nabii wa Mungu aliyetumwa kuikomboa kiuchumi nchi ya Tanzania, kutoka Tanzania masikini wa kutupwa hadi Tanzania donor country , nchi ya uchumi wa kati, Tanzania ya viwanda.
P
Mayala unaongea Sirius au joke, maana sometimes aueleweki.
 
Rais Magufuli ni kama anafanya anachotaka bila ya bugudha yoyote ktk kwa Muzungu, kama kuna kitu ambacho sikutegemea Rais Magufuli kukifanya ni ujenzi wa Bwawa la Stiegler, hili nilijua shinikizo ktk kwa Muzungu lingekuwa kubwa kiasi kwamba isingewezekana, lkn Muzungu kimya nakumbuka Raisi wetu Kikwete alipojaribu kutaka barabara kukatiza Serengeti Muzungu alipiga kelele mpaka tuliahirisha.

Ukija kwenye Dhahabu tumempelekesha Muzungu mpaka Acacia kaachia, tulishika Makanikia bandarini mali ya Muzungu, lkn Muzungu kaufyata mpaka kaja mezani tukaongea, hili mwanzoni kuna watu waliogopa mpaka wengine wakaanza kusema sijui board members wa Barrick ni Dick Cheney na big names in US. Government hivyo tungefanyiziwa, wapi Muzungu kasarenda.

Upinzani na Tundu Lissu wanashinda kwa Muzungu kuchongea tuadhibiwe, mara vinachapishwa vibarua tunaletewa ktk Balozi za US, EU lkn vyote vinaishia kimyaa, na Rais Magufuli bado anapiga kazi hakuna kilichobadilika, uhusiano na International community siajabu haujawahi kuwa mzuri hivi pamoja na kutokijipendekeza.

Sasa ni kwa nini? Je, in bahati au Muzungu ana respect power labda, power respect power, who knows?
Mzungu akijihakikishia unachofanya kinaeleweka3, hana shida hizo tunazomsingizia. Shida tunazo sisi. Tunajiibia. Tunajidhulumu. Tunauana. Yeye ndio anapata tabu. Angependa wote tufe ili aje kuishi bila bugudha
 
Rais Magufuli ni kama anafanya anachotaka bila ya bugudha yoyote ktk kwa Muzungu, kama kuna kitu ambacho sikutegemea Rais Magufuli kukifanya ni ujenzi wa Bwawa la Stiegler, hili nilijua shinikizo ktk kwa Muzungu lingekuwa kubwa kiasi kwamba isingewezekana, lkn Muzungu kimya nakumbuka Raisi wetu Kikwete alipojaribu kutaka barabara kukatiza Serengeti Muzungu alipiga kelele mpaka tuliahirisha.

Ukija kwenye Dhahabu tumempelekesha Muzungu mpaka Acacia kaachia, tulishika Makanikia bandarini mali ya Muzungu, lkn Muzungu kaufyata mpaka kaja mezani tukaongea, hili mwanzoni kuna watu waliogopa mpaka wengine wakaanza kusema sijui board members wa Barrick ni Dick Cheney na big names in US. Government hivyo tungefanyiziwa, wapi Muzungu kasarenda.

Upinzani na Tundu Lissu wanashinda kwa Muzungu kuchongea tuadhibiwe, mara vinachapishwa vibarua tunaletewa ktk Balozi za US, EU lkn vyote vinaishia kimyaa, na Rais Magufuli bado anapiga kazi hakuna kilichobadilika, uhusiano na International community siajabu haujawahi kuwa mzuri hivi pamoja na kutokijipendekeza.

Sasa ni kwa nini? Je, in bahati au Muzungu ana respect power labda, power respect power, who knows?
Mkuu wazungu hawakurupuki hata siku moja when you go aganest them you will pay the price at appropriate time........get reference of Zimbabwe Hayati Mugabe aliwanyanyasa kuliko kiongozi yoyote wa Africa but who is paying the price now? JPM anafanya hayo yote out of ignorance of international public relation,....
 
Hivi wewe ukipambana na kichaa unakimbizana naye?
Ndio jibu la muzungu!
Kichaa anaonekana kwa wanasiasa hasa wapinzani wake. Trust me, hizi safari za upinzani kupeleka mashitaka zimegonga mwamba
 
Mkuu wazungu hawakurupuki hata siku moja when you go aganest them you will pay the price at appropriate time........get reference of Zimbabwe Hayati Mugabe aliwanyanyasa kuliko kiongozi yoyote wa Africa but who is paying the price now? JPM anafanya hayo yote out of ignorance of international public relation,....
Mugabe made a mistake. At first he shook their hands and agreed their terms. Then, when opposition under Tshangarai became a threat and he thought muzungu helped him, he turned against them. Look what they have done to Zimbabwe. It could be alot easier for Mugabe if he stopped them immediately after independence.
Nyerere did it during Arusha declaration and it worked
 
Mkuu Mtukutu wa Nyaigela, acha utukutu, ile issue ya kakampuni kangu kupumulia mashine ni kweli, ile ni micro economics at individual level, hapa nazungumzia macro economics at national wide, country level.
P.
Kama vikampuni vya individual level vinakufa, huo uchumi wa kati ni wa kazi gani, watoto wako ambao tuseme wanahitaji mno uchumi wako uwe imara ili uwaendeleze , ndio hivyo hiyo nafasi haipo huoni hakuna manufaa kwa indivividuals.
Unajinafikia mkuu
 
Uchumi wa sisi kina yakhe unakufa kwa sababu? Kuna wengine wanasonga mbele. Great depression ya Marekani 1932, iliua makampuni mengi sana. Ila yale yaliyoweza kuhimili vishindo, yakapaa mbali sana wakati wa vita ya pili ya dunia.
Times like these will come and go. But us as individuals, what do we do to make sure we survive, when push come to shovel?
 
Rais Magufuli ni kama anafanya anachotaka bila ya bugudha yoyote ktk kwa Muzungu, kama kuna kitu ambacho sikutegemea Rais Magufuli kukifanya ni ujenzi wa Bwawa la Stiegler, hili nilijua shinikizo ktk kwa Muzungu lingekuwa kubwa kiasi kwamba isingewezekana, lkn Muzungu kimya nakumbuka Raisi wetu Kikwete alipojaribu kutaka barabara kukatiza Serengeti Muzungu alipiga kelele mpaka tuliahirisha.

Ukija kwenye Dhahabu tumempelekesha Muzungu mpaka Acacia kaachia, tulishika Makanikia bandarini mali ya Muzungu, lkn Muzungu kaufyata mpaka kaja mezani tukaongea, hili mwanzoni kuna watu waliogopa mpaka wengine wakaanza kusema sijui board members wa Barrick ni Dick Cheney na big names in US. Government hivyo tungefanyiziwa, wapi Muzungu kasarenda.

Upinzani na Tundu Lissu wanashinda kwa Muzungu kuchongea tuadhibiwe, mara vinachapishwa vibarua tunaletewa ktk Balozi za US, EU lkn vyote vinaishia kimyaa, na Rais Magufuli bado anapiga kazi hakuna kilichobadilika, uhusiano na International community siajabu haujawahi kuwa mzuri hivi pamoja na kutokijipendekeza.

Sasa ni kwa nini? Je, in bahati au Muzungu ana respect power labda, power respect power, who knows?
Muzungu = Mzungu..
 
Mkuu wazungu hawakurupuki hata siku moja when you go aganest them you will pay the price at appropriate time........get reference of Zimbabwe Hayati Mugabe aliwanyanyasa kuliko kiongozi yoyote wa Africa but who is paying the price now? JPM anafanya hayo yote out of ignorance of international public relation,....

Sasa unalinganisha Zimbabwe na TZ, Mugabe na Raisi Magufuli? Isitoshe sielewi unachomaanisha, Muzungu alimpigia kelele sana Mugabe, waliiadhibu Zimbabwe kila kona, hata Mugabe alizuiwa kuingia EU/USA ndo maana alitibiwa Asia, hivyo sijaona ni jinsi gani unavyoweza kuliganisha TZ na Zimbabwe, kwani TZ hatujawahi kuwekewa sanctions kama Mugabe, TZ haijawahi kuwa news kwenye Muzungu mainstream media kama Zimbabwe, hivyo unalinganisha visivyofanana.
 
Rais Magufuli ni kama anafanya anachotaka bila ya bugudha yoyote ktk kwa Muzungu, kama kuna kitu ambacho sikutegemea Rais Magufuli kukifanya ni ujenzi wa Bwawa la Stiegler, hili nilijua shinikizo ktk kwa Muzungu lingekuwa kubwa kiasi kwamba isingewezekana, lkn Muzungu kimya nakumbuka Raisi wetu Kikwete alipojaribu kutaka barabara kukatiza Serengeti Muzungu alipiga kelele mpaka tuliahirisha.

Ukija kwenye Dhahabu tumempelekesha Muzungu mpaka Acacia kaachia, tulishika Makanikia bandarini mali ya Muzungu, lkn Muzungu kaufyata mpaka kaja mezani tukaongea, hili mwanzoni kuna watu waliogopa mpaka wengine wakaanza kusema sijui board members wa Barrick ni Dick Cheney na big names in US. Government hivyo tungefanyiziwa, wapi Muzungu kasarenda.

Upinzani na Tundu Lissu wanashinda kwa Muzungu kuchongea tuadhibiwe, mara vinachapishwa vibarua tunaletewa ktk Balozi za US, EU lkn vyote vinaishia kimyaa, na Rais Magufuli bado anapiga kazi hakuna kilichobadilika, uhusiano na International community siajabu haujawahi kuwa mzuri hivi pamoja na kutokijipendekeza.

Sasa ni kwa nini? Je, in bahati au Muzungu ana respect power labda, power respect power, who knows?
Mbumbumbu mkubwa na juha Kama wewe unajua nini zaidi ya kula, kulala na kwenda chooni?
Yaani Marekani ikuachie Tanzania maslahi yake?
Bado Marekani haijashikwa matako, siku ikishikwa ndo utajua Kama Baba yako JPM ana ngekewa au gundu.
 
Elewa watu walisali sana, watu walimuomba sana Mungu aikomboe hii nchi toka mikononi mwa matapeli na wezi. Mungu akasikia maombi, na kila anayeinuka kupinga kile ambacho Mungu karuhusu kifanyike wanapigwa mapigo matakatifu na nguvu ya Mungu. Hakuna aliyetarajia wale vigogo wote ma injinia wasingekuwepo leo hii, huwezi amini mzee Lowasa angerudi kundini na Mzee Kingunge (R.I.P) angatubu kabla ya umauti. Kwa ujumla kila anayempinga Dkt Magufuli anashindana na nguvu kubwa sana na mwisho ni aibu!
Huna unalojua wewe zaidi ya kuvuliwa chupi na kukojolewa, eti watu waliomba sana ,mshenz kweli wewe Unadhani Mungu ni CCM? Pumbavu mkubwa kabisa wewe
 
Naunga mkono hoja, huyu ni nabii wa Mungu aliyetumwa kuikomboa kiuchumi nchi ya Tanzania, kutoka Tanzania masikini wa kutupwa hadi Tanzania donor country , nchi ya uchumi wa kati, Tanzania ya viwanda.
P
Wewe si mzee wa nyuzi, makontena ya makinikia bado mali yako? Yapo au yamesonga? je, kinu cha uchenjuaji kimejengwa? Kama hakijajenjwa na kama mgodi uanendelea na uzalishaji maana yake nini, yanaruhusiwa kwenda ng'ambo? kama ndiyo, kuna makubaliano mapya kuhusu makinikia? Nini makubaliano hayo?
 
Sasa unalinganisha Zimbabwe na TZ, Mugabe na Raisi Magufuli? Isitoshe sielewi unachomaanisha, Muzungu alimpigia kelele sana Mugabe, waliiadhibu Zimbabwe kila kona, hata Mugabe alizuiwa kuingia EU/USA ndo maana alitibiwa Asia, hivyo sijaona ni jinsi gani unavyoweza kuliganisha TZ na Zimbabwe, kwani TZ hatujawahi kuwekewa sanctions kama Mugabe, TZ haijawahi kuwa news kwenye Muzungu mainstream media kama Zimbabwe, hivyo unalinganisha visivyofanana.
Saratani huwaza taratibu na Mugabe wa pambe ndowalianza kumpamba akafiko huku aliko fika.....na mpendwa wetu mmeanza kumsifia na mapambio atajisahau nakusahau 'rule of law' nakufanya vitu kama anavo taka ili apate sifa......but lita mcost badaye raia wakawaida ndowatalipa gharama hiyo
 
Mtapigwa kimya kimya bila kujielewa, muzungu anacheza na timing na techniques. Subiri muda si mrefu the time will tell.

Muzungu akitaka kupiga anapiga tu bila wasi wasi kwani unadhani hivyo vibunduki SAR wanavyobeba hao walinzi ndio vitamzuia?
 
Mbumbumbu mkubwa na juha Kama wewe unajua nini zaidi ya kula, kulala na kwenda chooni?
Yaani Marekani ikuachie Tanzania maslahi yake?
Bado Marekani haijashikwa matako, siku ikishikwa ndo utajua Kama Baba yako JPM ana ngekewa au gundu.

Na kwa nini Marekani ,,ishikwe matako“ ?
 
Saratani huwaza taratibu na Mugabe wa pambe ndowalianza kumpamba akafiko huku aliko fika.....na mpendwa wetu mmeanza kumsifia na mapambio atajisahau nakusahau 'rule of law' nakufanya vitu kama anavo taka ili apate sifa......but lita mcost badaye raia wakawaida ndowatalipa gharama hiyo

Siyo kweli, mambo ya Mugabe na Muzungu yana historia ndefu sana, hivyo kufananisha TZ yetu na Zimbabwe Kihistoria ni kutokuelewa labda unachokiongea.
 
Back
Top Bottom