Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,466
- 113,548
Mkuu Mtukutu wa Nyaigela, acha utukutu, ile issue ya kakampuni kangu kupumulia mashine ni kweli, ile ni micro economics at individual level, hapa nazungumzia macro economics at national wide, country level.juzi tu umelalamika kakampuni kako kupumulia mashine, huo uchumi wa kati utafikaje au serikali ndo inafika kwa niaba yako
P.