Rais Magufuli amuapisha Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,534
naibu.jpg


Rais Magufuli amuapisha Gerson John Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

WhatsApp-Image-20160604.jpg
 
Hakuongea leo na kuropoka? Akimaliza alioandikiwa anaanza kuropoka off points! Asingeenda hizo shule za kukariri formula sijui ingekuwaje!!
 
Kuapisha viongozi pekee haitoshi. Watanzania wanataka akamfukuze kilaza wake pale UDOM.
 
Back
Top Bottom