Rais Magufuli amualika Ney wa Mitego Ikulu, kufanya Mazungumzo

Ni bora huyo msanii aukache huo mwaliko.

What is so special hadi Mkulu amwalike Ney wa Mitego Ikulu!?

Inabidi huyo msanii asiingie kichwa kichwa......

Kwa kuwa katika ule wimbo yapo madongo ambayo Mkulu amepigwa indirect na Mkulu ni mtu wa visasi.........
 
Anataka kuimbiwa wimbo au??Rais anapateje muda wa kusikiliza nyimbo wa Ney wa Mitego wakati nchi ina matatizo lukuki??Rais anaangalia shilawadu, jamani!!Nchi ya viwanda inajengwa kwa namna hii kwel??Labda sijui maana ya viwanda
Siyo labda! Hujui. Nyerere alipata wapi muda wa kutafsiri stori za Julius Caesar?unadhani uraisi ni kukusumbukia wewe tu!jamaa punguza roho mbaya dah!
House girl wako anaoga kweli wewe!
 
Sijui ataenda??? Chanzo?????
Screenshot_20170327-223739.png
 
"Ila Mh Rais hawezi, sidhani yaani amwite Ikulu afu iwe ni kwa lile lengo, mh siyo rahisi, kwanza hana tabia hiyo afu yeye hana Koleo mbona!!"
Nimejikuta nawaza
 
Serikali: Tumemshikilia Ney wa Mitego kwa sababu ya wimbo wake wenye maneno ya Kichochezi.

Vijana wa Lumumba: Safi sana!! Huu Utawala wa Magu, hakuna kucheka na mtu.

Serikali: Ney wa mitego aachiwe kwasababu wimbo wake hauna tatzo na auboreshe zaidi na upigwe radio na Tv zote.

Vijana wa Lumumba: Safi sana!! Rais wa wanyonge, anajali sana wananchi wake

.
 
Kwani ukiitwa na rais ni lazima uende!?!?

Kama sio lazma wala Sheria ney aupotezee huo mwaliko ili nayeye ajipime wapi hayuko Sawa!!
 
Namshauri asiende...hofu yangu atapigwa slow poisona mtu mzima ataondoka taraaatiiiiibu kwenye kadunia ketu....akienda asinywe maji wala kahawa akigusa tu chali akili zinachanganyikana....atakuwa kama mzee flani hivi
kwel
 
Back
Top Bottom