Rais Magufuli amteua William Sianga, kuwa Kamishna mkuu wa kupambana na kuzuia Madawa ya Kulevya

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
7ee14357-7b01-477c-9a80-776ce6933ef0.jpg
 
sasa ivi tuna imani nao, ila wakiwekwa kwenye orodha ya kulipwa na wauzaji tutakataa ufanyaji kazi wao "kama wamepigwa ganzi"

naomba niwakatae mapema tu hawatakuwa na jipya kama watangulizi wao.
 
Kwanini asingempa Makonda hiki kitengo?
Dogo kajaribu japo hii nshu ni kubwa sana kwake kama RC, angekuwa ndo kamishina mkuu huenda ata huyo alokaidi wito wake asingeli thubutu kuleta fyoko fyoko.
 
Hongera sana Bwn. Sianga. Ninaamini sasa kitengo kitawajibika vyema.
 
Back
Top Bottom