Rais Magufuli amteua Robert Msalika Makungu aliyekuwa Naibu Mkurugenzi TISS kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora

Mi mwenyewe sijui, nipo huku kijijini wametuletea pembejeo za pamba wakati sisi zao kuu mihogo na mtama
Hahaaaaa! Kwani Mabwana shamba wanafanya gazi gani basi huko?
Duh.
Labda wanataka mjifunze ZAO JIPYA?
Ama vipi mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: cai
Hahaaaaa! Kwani Mabwana shamba wanafanya gazi gani basi huko?
Duh.
Labda wanataka mjifunze ZAO JIPYA?
Ama vipi mkuu?
We bwana wee!!! sisi huku tuneshazoea kila msimu wa kilimo lazima wazue kituko hawa wanapembejeo, kuna mwaka badala ya dawa ya kuua viwavi na dumuzi wakatuletea dawa ya kuua vimelea vya kichocho na rangi za makopo ya rangi yaliyoeksipaya, sasa sijui wakitaka hizo rangi tupake kwenye mazao? Wenzetu huko mjini mnafaidi sana
 
Prophesy:
Ikifika 2020 ccm watatuambia kuwa hizi teua,tengua,tumbua n.k walikuwa wanajipanga. Yuwape muda wa miaka mitano ndio wafanaye kazi ......wait a minute....26/4 lazima wachomoke
Mbona alivyoteuliwa hamkuhoji? Aliyemteua kwenye nafasi ya mwanzo ndiye aliyemuhamisha. Hayo ya tarehe ni mbwembwe tu.
 
We bwana wee!!! sisi huku tuneshazoea kila msimu wa kilimo lazima wazue kituko hawa wanapembejeo, kuna mwaka badala ya dawa ya kuua viwavi na dumuzi wakatuletea dawa ya kuua vimelea vya kichocho na rangi za makopo ya rangi yaliyoeksipaya, sasa sijui wakitaka hizo rangi tupake kwenye mazao? Wenzetu huko mjini mnafaidi sana
Uwii.Mkuu wa Wilaya ni lazima atumbuliwe ikiwa ni pmoja na Mkuu wa Kilimo waende.
Ahaa nisisahauMku wa mkoanaye pia
Hahaaaaaa!! Mbavu zinaniumma kwa kunichesha mkuu.
Uwiiii.Ni lazima mtu ATUMBULIWE!!
 
Siyo kwa nchi ya wanafki kama Tanganyika, Wazanzibar ndio wana uwezo wa kujitenga na unafiq na nilimuona aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar alikataa kuwasaliti Wazanzibar kwenye bunge la katiba Dodoma na akawa radhi kupoteza mkate wake.

Watu wasio wanafki kama huyo wapo wachache sana, mfano CAG wetu angekuwa anajiheshimu alipaswa kujiuzuru kuliko dharau anazofanyiwa na maccm yakiongozwa na jiwe lao.
Assad Wa unguja
 
ni kweli kabisa,watu walimpiga risasi imrani kombe,tena alikua ni DG kabisa wa TISS

kwa hiyo chochote kinawezekana
 
kwa mtazamo wangu DG wa tume ya madawa ya kulevya anafaa sana kua DG wa TISS baada ya dr modestus kustaafu
 
Unqpoizungumzia TISS usiifananishe na CIA, au MI6.
Kwa Nchi yetu JWTZ na Police ndizo mamlaka zinazo simamia ulinzi na usalama.

Mipaka ya Nchi hata huko baharini JWTZ hushinda huko.

Kwa Nchi za kiafrika Jeshi ndio kila kitu. Rais hana uwezo wa kumwondoa General wa JW kizembe.

TISS haiwezi kumfanya lolote Rais bila kupata ushirikiano wa General., Lkn General wa JW akiamua kesho magu aachie ikulu, anaachia na TISS wakaaa.

Angalia hapo Zimbabwe ndo ujifunze kuhusu Majeshi ya Nchi za kiafrika.


Mkuu si kitu rahisi rahisi kama unavyotaka kutuaminisha.
Kwa taarifa yako system ya nchi hii ipo juu sana CDF kila anachokifanya TISS wanakijua kabla na taarifa zina kwenda kunako husika.

Mwl alitengeneza mfumo madhubuti tatizo waliokabidhiwa mikoba wanaichezea.
 
kwa mtiririko wa habari na tabia sijaona aliyweka cv yake zaidi ya kujua cheo chake,
isije kuwa alipanda kwa fitna,majungu na ushirikina,halafu kakutana na mtaalamu wA namba JPM ambaye siku zote ana amini utafiti,data na ukweli haudanganyi.So kaonekana boya tu.
au cheo chake ilipaswa awe ni think tank kwa taifa na JPM badala yake anapenda kumsikiliza RC,So Mh kaona amuweke kwa hao RC anaowaPenda.
ni Mawazo yangu tu.
Itabidi na RC ahamishiwe hukohuko
 
“Balali “ anaongea kweli siku ile kabla hajaenda mazishi ya Kingunge ndio alikutana na maafisa na kuelezwaa haya , Huyu na chahali kila wanachosema ni 90% correct .
Yes the issue is ujeuri na ukabila wa deputy na insubordination na kumfanya DG Aonekane hana maana
Pia matukio mengi yanayofanywa kwa jina la taasisi lakini hayajawa sanctioned unakuta Huyu DDG anayajua
MTOTO wa mfalme alikuwa anaongea na kuranda kwenye corridor za eagle Kwa Baraka za DDG hadi sehemu ambazo ni restricted or confined wakati hakuna outsiders anatuhusiwa beyond certain point
Pia kuna kundi la wateule wa DDG wameajiriwa bila sifa na utaratibu na kupata special treatment wakati ni mwiko huku wengine wanapiga miayo

Kilio cha maslahi na vitendea kazi kiko kwenye vyombo vyote and ni serious lazima atafute pesa aboreshe hali na kureplenish used or outdated inventories and hardwares or upgrades pia kuna issue za high tech trainings zinashindikana kwakua mzigo anauchungulia na kuna pesa za kufanya kazi za spies kuanzia TISS, CID , MI,PCB hazitakiwi kuwa issue yaani

Hiili tukio ni reconciliation kuelekea “26/4 “ ( sio lazima kuwe na maandamano ila ni shake ya kutosha na ndio maana toka mwanzo nilisema Hii issue ya 26/4 ni nadharia tu yenye Baraka za watu wazito na italeta mabadiliko na akikaidi wanaweza fanya maamuzi maandamano ni geresha tu ) lazima asikilize wenye kazi zao Sasa , akibisha hili kundi lake watamfanya aanguke
hapa naona kama kuna madini
 
Toka naibu TISS mpaka katibu tawala mkoa, unaenda sehemu wanajua wewe ni shushushu.
Kunapokosekana na Shana ya Secret Service Luna nafasi kwenye State Apparatus ni Vema Mtu Akaenda mpaka mwisho.

Other wise angepewa uana diplomasia
 
Back
Top Bottom