Rais Magufuli amteua Robert Msalika Makungu aliyekuwa Naibu Mkurugenzi TISS kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora

huu ni mwanzo wa kusambaratisha All the soulless rogue elements within our esteemed org... Their acts are unTanzania
Inashangaza na kusikitisha hii roho chafu iliruhusiwa kujipenyeza vipi hata ikaanza kushika mizizi kwenye taasisi yetu ambayo haikuwahi kuwa na sifa chafu namna hii...!!
 
Kulikua na mtifuano mkali kati ya kijana wa Mzee Baba ( Msalika) na Mkurugenzi wa Kitengo, mtifuano huu ulifanya Mkurugenzi wa Kitengo kutaka kujiuzulu kutokana na kijana wa Mzee Baba kuwa na nguvu kwenye kitengo kuliko Mkurugenzi.
Hatimaye jana Mzee Baba akaamua kumchomoa kijana wake kwenye kitengo na kumpeleka kuwa Katibu Tawala.
Ni jambo jema kwa Mzee Baba kuendelea kupewa ushauri na wale wenye mapenzi ya dhati na hili taifa kuliko kukubali kupotoshwa na vijana wako wanaotamani uanguke. Bila ya kufanya maamuzi kama haya kitengo kingesambaratika kwa kukosekana uaminifu kati ya watiifu wako na wale watiifu wa taifa.
Nakutakia kazi njema kwenye nafasi mpya uliyopewa.

Mods naomba msiunganishe huu uzi na mwingine.
View attachment 751655
hao wanaandaa eneo jipya la kuyekea watu! ukiona mtu kapotea ujue kapelekwa tabora! misitu mingi kule! mie yangu macho
 
Hivi makatibu tawala huwa wanapewa ulinzi?,
Huyu jamaa,kutoka TISS mpaka ukatibu tawala,ameshushwa sana,ukitegemea anajua mengi nyeti ya nchi hii,majasusi wa nje wakiamua kumfanyia homework,tutasalimika kweli?
Na kama ameondoka kwa kinyongo,anaweza kutuunguza vzr,
Huyu mi nafikiri ameperekwa huko,ili yakamfike yakumfika,dunia ya Leo,ajari hutokea,Chacha Wangwe,Prof Mwaikyusa,Mtikira,Tundu lisu,Sokoine,
Ningekuwa Mimi sasa HV naitafuta Geneva kwa pipa,and never coming back!!!
kushushwa cheo, kufukuzwa, kuwa amefariki...wala usiingize kwenye ubongo wako. Hii ni IDARA,
 
Kasim ni kitengo kitengoni lakini anatengwa na wanakitengo sababu ya roho ya kiungwana, kuna mamluki ambayo haina weledi wowote nayo inataka iwe inapata taarifa nyeti na inaandaa operesheni na kuzilazimisha kitengo kitekeleza, anajivunia kumshika masikio fundi mkuu
Kwa kuwa mimi sijui mambo yao ya ndani ya Taasisi.
Hivyo wao wanajuana na vitengo vyao na sababu zao.

Sisi wengine huku vijijini wengi wetu hatuna ujuzi na undani wao..
Naona wewe una undani.
Wanaojua kama wewe watachangia kuhusu hilo.
Shukrani.
 
Kwa kuwa mimi sijui mambo yao ya ndani ya Taasisi.
Hivyo wao wanajuana na vitengo vyao na sababu zao.

Sisi wengine huku vijijini wengi wetu hatuna ujuzi na undani wao..
Naona wewe una undani.
Wanaojua kama wewe watachangia kuhusu hilo.
Shukrani.
Mi mwenyewe sijui, nipo huku kijijini wametuletea pembejeo za pamba wakati sisi zao kuu mihogo na mtama
 
DAB na DADDY urafiki wao ulianza since nyakati za nipeni kura zenu, katika mtoano wa makundi chamani DAB alikua anaachezea team nzi, alisoma upepo faster akaanza kumuunga mkono DADDY, alkua ni mmoja wa wapishi wa mambo ndani kwenye kundi muhimu la DADDY, i think DADDY alianza kumuamini huko.


kumbeeee....:(:(:(...
 
Upuuzi huu! Kutoka naibu Mkurugenzi hadi Katibu Tawala wa Mkoa? Kwanini asiombe kustaafu akalea wajukuu kuliko kudhalilishana namna hii?

Naona mheshimiwa anazidi kujitengenezea maadui.

Sio kila Jambo linalo onekana au kusikika linaweza kuwa na Tafsiri sahihi ,Mambo mengine by Mission..
 
If it is so, kaenda kubeba mkoa badala ya nchi akifanya kazi ya TISS, na RAS. Anyway kashuka kidogo ila hajatumbuliwa.
Kuna ishu lazima. Sipo tayari kuisema

Haaahaaaa...hawa jamaa wanafikiria bado wapo enzi zile za kutamba barabarani na kwenye bar kwa kutumia vitambulisho? Sio mchezo
 
Haya ni maneno ambayo kila mtu anaandika na kufanya guessing hakuna uhusiano binafsi huwa napinga hadi mwisho lile tukio la lisu sio TISS Bali ni wahuni wahuni tu waliojiita TISS

Kama lile tukio la Lissu lilifanywa na wahuni mbona mpaka sasa hawajakamatwa? Kila siku polisi wanajisifu kuwakamata majambazi lakini waliojaribu kumuua Tundu wanasema hawawaoni!!! Magufuli was behind the attempted assassination, that is the reason the people responsible for that heinous act are not apprehended.
 
Hivi makatibu tawala huwa wanapewa ulinzi?,
Huyu jamaa,kutoka TISS mpaka ukatibu tawala,ameshushwa sana,ukitegemea anajua mengi nyeti ya nchi hii,majasusi wa nje wakiamua kumfanyia homework,tutasalimika kweli?
Na kama ameondoka kwa kinyongo,anaweza kutuunguza vzr,
Huyu mi nafikiri ameperekwa huko,ili yakamfike yakumfika,dunia ya Leo,ajari hutokea,Chacha Wangwe,Prof Mwaikyusa,Mtikira,Tundu lisu,Sokoine,
Ningekuwa Mimi sasa HV naitafuta Geneva kwa pipa,and never coming back!!!
Hauchelewi kukuta kabla ya uteuzi wake walishampora passport na vitengo vyote vimeshamwekea pini hasitoke nje ya nchi
 
Ni kweli kabisa maliyamungu atakuwa mtu wa mwisho kutumbuliwa yaani kiufupi jamaa hatumbuliki kwa sababu ni mkono wa kuume wa father and he knows so many things about his father
Jaman kutumbuliwa kupo kwa aina nyingi kama akionekana akiachwa salama atasumbua unaweza kusikia chochote kimetokea na safari ikaishia hapo
 
Back
Top Bottom