Rais Magufuli amteua Prof Lipumba kuwa mshauri wake [TETESI]

Status
Not open for further replies.
Unachanganya mambo kwa kuwa tu alikuwa na hiyo nafasi wakati wa Mwinyi nchi ikawa bado masikini haimaanishi kwamba yeye hana uwezo bali kuna mambo mengi sana, unajuaje labda mapendekezo yake yalikuwa yanapuuziwa sasa kama hilo lilitokea yeye angefanya nini?

Raisi Magufuli ni mtu makini hawezi kuchemka kijinga jinga namna hiyo kama kamteua ni lazima kuna hazina ameiona kwa Lipumba ambayo anataka kuitumia kwa manufaa ya nchi!

Unalosema nakubaliana nawe kabisa. Hata yale masamaki ya Magufuli yaliyotucost baada ya kushindwa kesi tukamtupia lawama zote Magu..u never know pengine alikosa ushirikiano aliohitaji coz hata juzi alilizungumzia kwa hisia sana swala la meli za uvuvi.
 
Breaking News.....Magufuli amemtangaza lipumba kuwa mshauri WA rais mambo ya uchumi Tanzania.....
Source, IT

Nimeipenda hii👆👆

A big up JPM: raslimaliwatu tunao kwanini tusiwatumie?!
 
Bado Dr Slaa....

yaani wewe bado unawaza ujinga tu mpaka leo. watu wanataka upinzani only for development. watu wanapokuwa wako serious kuijenga nchi na wewe ukabaki na mawazo yako mgando tunakushangaa. watu wote waliopiga ufisadi kwa maana ya kumaamisha wakipewa nafasi furahia. au bado unajutia maamuzi ya cdm kumsajili FISADI? mpaka sasa hamjijui mtakuwa wazomeaji au mtafanyaje
 
Ni awamu yakupga kaz...watu wenye umuhm kwa maslahi ya wananch wapewe fursha....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom