Rais Magufuli amteua Prof. Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu UDOM, Prof. Idris Suleiman Kikula kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini

> Wakati huo huo Rais amewateua Makamishna 8 wa Tume ya Madini

ddws.jpg
 
Back
Top Bottom