figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,486
Yan Magu ni koroga koroga tu...si ajabu wametokea Koromije...kazi kukoroga koroga tu!Mmm kutoka kaimu mkurugenzi mtendaji wa TIC kwenda kuwa RAS na kutoka uDC kuwa mkurugenzi mtendaji wa TIC??
Ulijenga Kiwanda Ukazuiliwa!!Ndio kazi iliyobaki kupanga na kupangua!
Halafu viwanda hakuna
sawaAnaleta mambo ya SUKITA...hivi kila siku anateua wanasiasa kuwa Chief Executives wa Mashirika na Taasisi zingine za Umma??? Magu wala hajui atendalo yupo yupo tu
Mpe nafasi kwenye saburi lako ajenge humu kiwandaUlijenga Kiwanda Ukazuiliwa!!
Ni Mchumi mkuucv pleaseeee...je ni mwanasheria au ni mchumi?
Huyu jamaa haijawahi Kupitia TBC kweli?Ni mchumi