Rais Magufuli amteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Januari, 2018 amemteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

Kabla ya uteuzi huu Dkt. Titus Mwinuka alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

56a5a287700f21413f1658913104291f.jpg
 
Hivi sheria inasemaje kuhusu appointment ya Mkurugenzi wa TANESCO.

Je, anateuliwa na Rais au Waziri?
 
hivi huwa ni taarifa kwa vyombo vya habari au taarifa kwa umma ???? nitoeni gongo tongo
Taarifa ni kwa umma ila lazima ipitie kwa vyombo vya habari ambao ndio distributor. TBL wanapozalis bia wanazalisha kwa ajili ya mnywaji, lakini ili ile bia imfikie mlaji lazima kwanza iwe 'addressed' kwa distributor ndipo distributor naye aipeleka bar, bar nao ndio wamuuzie mnywaji. Upo hapo?
 
Back
Top Bottom