Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT, aliyekuwepo apelekwa Mgambo

Kama hujui kila mkoa una afisa jeshi kama mshauri wa Mgambo wa mkoa.
Kuna mkuu wa mgambo na mshauri wa mgambo ni vitu viwili tofauti! Wengi wa washauri wa mgambo ni wanajeshi wastaafu kama maColonel
 
Jiwe amevuruga sana seniority list ya jeshini. Ipo siku itatugharimu
Well said mkuu,Kule watu hawapandi pandi vyeo kiholela holela tu mtu umeamka unaamua kumpandisha cheo fulani

Culture,merit na seniority wanaifahamu vizuri watu wa kule au wastaafu wa kule sio mwanasiasa , mchakato wake huwa complex kidogo kabla ya kumpandisha

And Obvious kuna watu walirukwa yule jamaa alivyopata Ujenerali siku ile
 
Mkuu wa kaya hachagui mtu kwa kuangalia ametoka wapi, ni kabila gani,ni dini gani au ni wa kanda gani...anakupa cheo kwa kutegemea na uzalendo wako,na juhudi zako katika kuchapa kazi na nidhamu...HAPA KAZI TU
Unasemaje??!
 
Mgambo ni jina la Kikosi cha JKT, inaitwa KJ 835 - Mgambo JKT.

Msichanganye na hawa migambo wa mitaani.
Ni mgambo wa mtaani ndio anakuwa bosi wao au wewe hujui kuwa MGAMBO ni jeshi la akiba?vita ikitokea wanakwenda front.
 
Mkuu wa kaya hachagui mtu kwa kuangalia ametoka wapi, ni kabila gani,ni dini gani au ni wa kanda gani...anakupa cheo kwa kutegemea na uzalendo wako,na juhudi zako katika kuchapa kazi na nidhamu...HAPA KAZI TU
Hapa misifa tu.
 
Nafasi za uteuzi mkuu ni hatari sana inakufanya uwe mtumwa na unyenyekevu balaaa! Unaweza kuta alionyesha msimamo kidogo akaonekana hafai!! Au alifanya kosa kidogo tuu akaliwa kichwa
Kuto wasimamia waliojenga ukuta wa mereran kuajiri na kupewa ajira vijana wengine na waliojenga ukuta kuludishwa nyumbani.
 
Na ndani ya miezi mitano from Colonel to Head of National service (JKT) post ambayo itambidi apandishwe tena kuwa Major General ASAP.
Haya!
Kumbuka aliyekuwa Inspector General wa Police miaka 90 Mahundi aliteuliwa kuwa IGP kutoka RPC Arusha na cheo cha SSP wakati kulikuwa na makamishna wakubwa makao makuu ya jeshi hilo. Kuteuliwa kwa mtu ni kutokana na utendaji wake mzuri
 
Well said mkuu,Kule watu hawapandi pandi vyeo kiholela holela tu mtu umeamka unaamua kumpandisha cheo fulani

Culture,merit na seniority wanaifahamu vizuri watu wa kule au wastaafu wa kule sio mwanasiasa , mchakato wake huwa complex kidogo kabla ya kumpandisha

And Obvious kuna watu walirukwa yule jamaa alivyopata Ujenerali siku ile
Yaani nyie watu nikiwaita wapuuzi msilalamike. Mnatia kinyaa. Nyie mnaelewa haya mambo zaidi ya anavyoyaelewa amiri jeshi mkuu? Mnafahamu kama mkuu wa majeshi na jopo lake ndiyo wanapanga haya mambo na Rais anatumika kuthibitidha tu kwa sababu ndiye mkubwa wao? Acheni uzuzu.
 
Back
Top Bottom