Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
107,157
2,000
Wasomi wamemtaka Magufuli ataje kwa uwazi sababu zilizofanya amfurumushe Balazi Sefue ikulu tena wikend.Wasomi wamesisitiza watumishi wote wanaotumbuliwa wajibu sababu zinawekwa wazi kwa nini majibu ya Sefue yanafichwa?Balozi aliondolewa ukatibu mkuu kiongozi jana jumapili na atapangiwa kazi nyingine.
Rais anamteua mtu anaemtaka. Pia anaweza kumbadilishia kazi mtendaji wake .
 

dhk1

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
832
500
Na bado wengine tena anabahati kaambiwa atapangiwa kitengo kingine
 

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
2,000
Wasomi wetu hao, mbona wengine walipotumbuliwa hawakuhitaji sababu? Some kinds of double standards
 

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
2,000
Siyo ataje sababu, sema naye akauunganishwe na wale wengine wenye majipu.
Alisema hakuna mwizi atakayesalia kwenye nchi hii; apewe ushirikiano tu, nchi ilioza.
Kweli kabisa. Kama CS ametumbuliwa mimi ni nani mpaka nisitumbuliwe?
 

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
3,180
2,000
nikirejea kwenye sakata ka richmond kuna waziri alipiga simu ikulu walimwambia "mamlaka ya juu imeridhia " tia saini.
nina mashaka na uteyzi wa dr carina wangwe kwamba rais alidhia kumbe hakuiona kabisa.nahisi nahisi tu
 

kubwa_Lao

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
935
1,000
Hebu nawewe mleta uzi wataje hao wasomi!! Kama huwataji na maguguli nae yuko sahihi kutotaja hizo sababu!
 

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,902
2,000
duh kwahiyo leo sefuee haendi job anazuia home kucheza na wajukuu?
Duh mkuu nimecheka sana
IMG-20160307-WA0015.jpg
 

MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,306
2,000
Wasomi wamemtaka Magufuli ataje kwa uwazi sababu zilizofanya amfurumushe Balazi Sefue ikulu tena wikend.Wasomi wamesisitiza watumishi wote wanaotumbuliwa wajibu sababu zinawekwa wazi kwa nini majibu ya Sefue yanafichwa?Balozi aliondolewa ukatibu mkuu kiongozi jana jumapili na atapangiwa kazi nyingine.
mkulu alisema hii tabia ya mtu kuharibu hapa na kupelekwa kule akaharibu tena haikubali.. sasa ombeni ameshaharibu kwa kiwango chake inakuwaje tena amkulu atuzeveze kwa kutuambia kuwa atampangia kazi nyingine???
me nadhani kazi nyingine ni bora angeenda kufanya kazi SERO. huko ndio kwenye kunamfaa
 

Nsaji Mpoki

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
396
195

Before the appointment, Eng Kijazi was the Tanzania High Commissioner to India.

He previously served as Permanent Secretary in the then Ministry of Works when President Magufuli was a minister in the docket. Born on November 18, 1956, Eng Kijazi has a Bachelor of Science in Civil Engineering degree from the University of Dar es Salaam (UDSM) and Masters Degree in Highway Engineering from the Birmingham University in the United Kingdom.

Between 1982 and 1986, he was Assistant Engineer in the Ministry of Public Works, becoming Regional Engineer in the same ministry between 1986 and 1996. Eng. Kijazi worked as a Senior Road Maintenance Engineer between 1996 and 1999 from where he was promoted to Director of Regional Roads in the Ministry of Works between the year 1999 and 2002.

The civil servant continued to climb through the leadership ladder to become Permanent Secretary in the same ministry, the post he held between 2002 and 2005.

When President Jakaya Kikwete assumed office in 2005, he changed the ministry’s name to Ministry of Infrastructure Development to which Eng Kijazi continued serving as PS from January to December 2006.

From the ministry where he started his career, Eng Kijazi was transferred to the then Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation where he was assigned special duties before being appointed High Commissioner to India in 2007. For his part, Ambassador Sefue was born on August 26, 1954 and previously served as Ambassador to the United States since 2007.

Before that, he served as High Commissioner to Canada from October 2005 to June, 2007. A career diplomat, Ambassador Sefue left the Foreign Service in 1993 to work for over two years as speechwriter and personal assistant to President Ali Hassan Mwinyi.

He was Tanzania’s Permanent Secretary to the United Nations between 2010; and in 2011, he was appointed Chief Secretary by President Jakaya Kikwete, taking over from Mr Philemon Luhanjo who had retired from public service.
 

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,344
2,000
Wasomi wamemtaka Magufuli ataje kwa uwazi sababu zilizofanya amfurumushe Balazi Sefue ikulu tena wikend.Wasomi wamesisitiza watumishi wote wanaotumbuliwa wajibu sababu zinawekwa wazi kwa nini majibu ya Sefue yanafichwa?Balozi aliondolewa ukatibu mkuu kiongozi jana jumapili na atapangiwa kazi nyingine.
Wasomi gani hao?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom