johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,897
- 141,831
CCM ni chama Dola bwashee!Kwa nguvu ya dola. Bila dola nyie ni wepesi kama mabua
CCM ni chama Dola bwashee!Kwa nguvu ya dola. Bila dola nyie ni wepesi kama mabua
Kwa ile sauti ama nini mkuu?NA GRACE KINGALAME TBC ANAJIPENDEKEZA MNO, ANASAKA TEUZI KWA NGUVU.
Kule naenda Mimi!Kwa hiyo monduli ni kwa ACP balele.
Heshimu mamlaka iliyojuu/inayokuongoza, narudia tena heshimu mamlaka , unauhuru wa kuongea lakini sio kuongea upuuzi na matapishi foolKesho yesu wa Chato ataropoka balaa
May beKwa ile sauti ama nini mkuu?
Hebu toa upumbavu wako. Huyo bwana wako meko yeye anajiheshimu???Heshimu mamlaka iliyojuu/inayokuongoza, narudia tena heshimu mamlaka , unauhuru wa kuongea lakini sio kuongea upuuzi na matapishi fool
Jamani watu wasifanya kazi kwa weledi? eti akifanya kwa weledi anasaka uteuzi! WaTz tuache hizoNA GRACE KINGALAME TBC ANAJIPENDEKEZA MNO, ANASAKA TEUZI KWA NGUVU.
we ni mpuuzi tuuHebu toa upumbavu wako. Huyo bwana wako meko yeye anajiheshimu???
Fanya study utuletee majibuJiulize kuna viongozi wangapi walishafikisha umri wa kustaafu na bado wanaongoza mikoa/wilaya.
Unajisika raha sana kutetea UHARO mitandaoni???!! Unalipwa sh.ngapi?we ni mpuuzi tuu
Safi sana mzee baba aka Magu the Great. DJ Gambe na wapambe wake njooni mpinge
Unataka nikuhonge ya kvant kubwa auUnajisika raha sana kutetea UHARO mitandaoni???!! Unalipwa sh.ngapi?
Pascal Mayalla hawezi kupata labda abadili jina maana Mayalla ni njaa
Kautwaa sasa?Chonjo anaenda Rombo kuutwaa ubunge!
Huyu amezeekaNA GRACE KINGALAME TBC ANAJIPENDEKEZA MNO, ANASAKA TEUZI KWA NGUVU.