mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 483
Kamuulize Lissu anaijua sana "miropoko".Na bado mtakoma tu, Mujinga ni wewe yego! mimi siyo mujinga bhana! hilo li magu renu tena litakimbia ritaacha kiti. mimi sina Hasira, wewe ndiyo umejaa hasira unasema mambo yasiyo eleweka sasa!
kwani miropoko ni nini? nieleze!! hata kwenye Dictionary halimo! usiongee kilugha hapa! umesoma kweli wewe mkaruka? acha jazba utakuwa huzai sababu ya avatar usiyoijua!! Muraa nirete hoja au oja? sema moja nikuelewe!! au ongea kidhungu kabisa si mko kenya?
hili neno lako mura halipo kwenye Dictionary ya kiswahili, anza upyaa! ila usipasue computer yako sijui simu!!!