Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

Akili yako ndogo mno.
Yako ndogo zaidi , maana umetoa tuhuma bila ushahidi wala uthibitisho dhidi ya mtu unayesema akili yake ndogo.

Umeshindwa kuonesha akili ndogo udogo wake uko wapi.

Kwa hivyo akili yako ni ndogo zaidi.

Na hata hapo uliposema akili yangu ni ndogo, inabidi tupaangalie kama oamesemwa na mtu mwenye akili ndogo zaidi, na hivyo hapaaminiki.
 
Watu wamehustle Kwa jasho Lao nyie mnaleta porobo za kipuuzi , magufuli na serikali ya CCM kawasaidia nini hao wachimbaji ?
Upuuzi upi kushinda upuuzi wako mkuu?,

Kwani migodi hii imeanza Jana? Punguza jaziba mkuu, Jivunie kuwa na Rais mbunifu mlinda rasirimali zetu Kwa ajiri yako na wanao
 
Nilipokemea ukabila napo ni ujinga?

Ukikosea herufi kwenye password. Mtu kakwambia password ni "furaha01", wewe unaandika password "fulaha01", hapo hata kama ilikuwa ufanye muamala wa hela kubwa, utakuwa umeshindwa.

Na ukijaribu mara tatu unaweza kufanya account ifungwe.

Tatizo unafikiri kizamani na kishamba na ndiyo maana hatuwezi kuelewana.

Unanichosha aisee, nadhani umesomea ualimu na umetoka chuo si mda mrefu,
Hivyo kafundishe hayo mambo dalasani, achana na sisi baba zako tupambane na maisha.
 
Hii nchi masikini Sana , yaani faida ya bilioni 7 za madafu ndo inakuwa story nchi nzima , duh ! Hadi genge la CCM wanaitumia kwenye propaganda zao za majitaka
Ukiangalia GDP per capita ya Tanzania, ambayo ni average iliyopandishwa na matajiri wachache, utaelewa kwa nini bado tunalimbuka.

Hivi karibuni Tanzania kama nchi ilipata msamaha wa deni nafikiri ulifika dola milioni 14, katika hesabu za nchi that is peanuts.

Sasa sikilizia watu walivyoushabikia na kuupaza.

Sasa kama dola milioni 14 zinapigiwa kelele hivyo, katika hesabu za nchi, hizo sh bilioni 7, just over USD 3 million, kwa hesabu za biashara ya mtu mmoja, ni hela nyingi sana Tanzania.

Hususan ukiangalia kwamba GDP per capita ya Mtanzania ni USD 1050 kwa figures za 2018.

Sasa huyu mwamba kakunja USD 3 m, hapo kwa dili lake amepata kipato cha Watanzania wa kawaida 3,000.
 
Unanichosha aisee, nadhani umesomea ualimu na umetoka chuo si mda mrefu,
Hivyo kafundishe hayo mambo dalasani, achana na sisi baba zako tupambane na maisha.
Ni "darasani" si "dalasani" wewe ngumbaru limbukeni wa kuja mjini kwa behewa la kajamba nani.

Kabla hujajadiliana nami jifunze Kiswahili halafu kaoge utoke harufu ya ushamba kwanza.
 

Attachments

  • IMG-20200624-WA0009.jpg
    IMG-20200624-WA0009.jpg
    68.4 KB · Views: 1
Mkuu ni kweli hata Ile Tabia ya kutembea na maburungutu ni ushamba na ulimbukeni tupu . Na actually watanzania asilimia tisini ndivyo walivyo , utaona lijitu linachekelea na kufurahia huo ushamba
Na tutaendelea kulia umasikini sana kama tutaendelea kuchagua viongozi washamba kama hawa.
 
Kwani hapo nilipopaona hapako kwenye habari? Magufuli hakusema hayo maneno?

Unataka kunichagulia wapi pa kuchangia?

Rais anatakiwa kuwa na maelezo yaliyonyooka pote.

Yeye ni kiongozi wa nchi.

Akisema maneno 99 yaliyonyooka, halafu neno moja la kipumbavu linalochochea ukabila na ku patronize Watanzania kama watu ambao wakipata hela wanawaza kuongeza wake tu, nitaona hilo neno moja aliloharibu ndilo la kumulika.

Mimi niliamua mapema kwamba sitagombea nafasi ya kisiasa, sasa nitamuonea Magufuli wivu kwa lipi wakati yeye si mshindani wangu?


Nitamuonea wivu nini a country bumpkin?
Haiwezekani katika yote mazuri yaliyofanyika leo umetoka na hiyo kauli ya utani jamani punguzeni hasira na wivu haziwasaidii wala kubadilisha chochote....hayo mambo ya kusubiri kauli za mkuu na kuzijengea hoja as kichochezi hazitawafikisha popote...kilichoongelewa hapo ndio kitu kinachofanywa na wanaume dunia nzima wakipata pesa hakuna cha ajabu hapo
 
Haiwezekani katika yote mazuri yaliyofanyika leo umetoka na hiyo kauli ya utani jamani punguzeni hasira na wivu haziwasaidii wala kubadilisha chochote....hayo mambo ya kusubiri kauli za mkuu na kuzijengea hoja as kichochezi hazitawafikisha popote...kilichoongelewa hapo ndio kitu kinachofanywa na wanaume dunia nzima wakipata pesa hakuna cha ajabu hapo
Dunia nzima ya chato kwa yesu sio
 
Siku hizi huku Jf ni kawaida sana unakuta uzi una replies 200 ukija kuufungua unakuta una replies70. Upo uzi mmoja juzi ulivunja records kwa replies 300 kufutwa.

Mdogo mdogo naona huu unaenda na kurudi kama daladala maana na mimi niliweka kakomenti kangu pendwa hapa naona mods wamekanyakua fastaaa.
 
Magufuli ni mshamba ambaye hata kwenye kumpongeza mtu aliye strike Tanzanite, anaharibu kwa kuleta habari za ku patronize Watanzania kama watu ambao wakipata pesa wanaendekeza kuoa, tena anasema hayo kwa minajili ya ukabila na kupendelea kabila lake.
Mkuu we utakuwa na tatizo! Tena kubwa!.. magufuli kalisema hilo kama utani tu then imekuwa ndo mada!!!!!
Ingekuwa kamlazimisha hapo ndio tungesema kakosea lkn kwa hili kweli kazi ipo kuja kumuelewa huyu mtu dah!..
Punguzeni sana kuwa serious kwa kila kitu vitu vyengine ni utani tu wa kikabila.
 
Usanii ktk kiwango cha juu

Huwezi kukadiria jiwe la Tanzanite likiwa ktk mfumo ule la sivyo uuze kama kitu kinaitwa Gonga

Do or die.


Kuna watu watakuja kupigwa kodi kubwa sana hapo wakiaminishwa kuwa mawe hutoka namna hiyo na ya bei hiyo

Kuhudumia mgodi si kazi ya kitoto
 
Back
Top Bottom