Kweli kabisa, mimi binafsi huwa najiuliza sana hivi unawezaje kumchaji maiti au unataka kuongeza maumivu na majonzi kwa wafiwa? Hili lazima liangaliwe upya na sio maiti tu hata gharama za matibabu zishushwe kabisa mahospitalini maana watu wengi wanafia mahospitalini kwa sababu ya gharama kubwa za matibabu. Serikali ambayo ina dhamana juu ya wananchi wake na inasifika kwa usikivu iliangalie upya hili badala ya kuongeza nguvu katika ujenzi wa miundombinu na vitu vingine nguvu kubwa iwekwe kwenye afya za wananchi na chakula pia na sekta ya elimu.Jambo la msingi ni kuangalia gharama za utoaji maiti zishushwe watu wawazike wapendwa wao maana gharama zipo juu mpk wengine wasioweza kuafford wanawatelekeza marehemu wao
Mtu kamlipia mtu akiwa mgonjwa mmeshindwa kumtibu mpk amefariki bado kuchukua mwili ni gharama tena
Hauko sawa kichwani, mgonjwa kupona au kufa ni mapenzi ya Mungu, siyo ya daktari au binadamu yeyoteJambo la msingi ni kuangalia gharama za utoaji maiti zishushwe watu wawazike wapendwa wao maana gharama zipo juu mpk wengine wasioweza kuafford wanawatelekeza marehemu wao
Mtu kamlipia mtu akiwa mgonjwa mmeshindwa kumtibu mpk amefariki bado kuchukua mwili ni gharama tena
Msaada alioutoa ni mzuri ila sasa hataweza kuwalipia wote wanaoshindwa ila akishusha gharama kwa kushirikiana na mamlaka husika atawafaidisha wengi
Usilolijua kaa kimyaaJambo la msingi ni kuangalia gharama za utoaji maiti zishushwe watu wawazike wapendwa wao maana gharama zipo juu mpk wengine wasioweza kuafford wanawatelekeza marehemu wao
Mtu kamlipia mtu akiwa mgonjwa mmeshindwa kumtibu mpk amefariki bado kuchukua mwili ni gharama tena
Msaada alioutoa ni mzuri ila sasa hataweza kuwalipia wote wanaoshindwa ila akishusha gharama kwa kushirikiana na mamlaka husika atawafaidisha wengi
Usilolijua kaa kimyaaKweli kabisa, mimi binafsi huwa najiuliza sana hivi unawezaje kumchaji maiti au unataka kuongeza maumivu na majonzi kwa wafiwa? Hili lazima liangaliwe upya na sio maiti tu hata gharama za matibabu zishushwe kabisa mahospitalini maana watu wengi wanafia mahospitalini kwa sababu ya gharama kubwa za matibabu. Serikali ambayo ina dhamana juu ya wananchi wake na inasifika kwa usikivu iliangalie upya hili badala ya kuongeza nguvu katika ujenzi wa miundombinu na vitu vingine nguvu kubwa iwekwe kwenye afya za wananchi na chakula pia na sekta ya elimu.
sasa gharama zitashuka vipi wakati serikali inachota hela za kwenye bajeti ya afya inaenda kununulia bombardiers hospitals zinaachwa tupu, hivyo inazilazimu kukamuwa wagojwa na ndugu zao ili angarau ziendelea kuwa wazi.Kweli kabisa, mimi binafsi huwa najiuliza sana hivi unawezaje kumchaji maiti au unataka kuongeza maumivu na majonzi kwa wafiwa? Hili lazima liangaliwe upya na sio maiti tu hata gharama za matibabu zishushwe kabisa mahospitalini maana watu wengi wanafia mahospitalini kwa sababu ya gharama kubwa za matibabu. Serikali ambayo ina dhamana juu ya wananchi wake na inasifika kwa usikivu iliangalie upya hili badala ya kuongeza nguvu katika ujenzi wa miundombinu na vitu vingine nguvu kubwa iwekwe kwenye afya za wananchi na chakula pia na sekta ya elimu.
msisitizo uwe kwenye bima ya afya kwa kila mtu...Jambo la msingi ni kuangalia gharama za utoaji maiti zishushwe watu wawazike wapendwa wao maana gharama zipo juu mpk wengine wasioweza kuafford wanawatelekeza marehemu wao
Mtu kamlipia mtu akiwa mgonjwa mmeshindwa kumtibu mpk amefariki bado kuchukua mwili ni gharama tena
Msaada alioutoa ni mzuri ila sasa hataweza kuwalipia wote wanaoshindwa ila akishusha gharama kwa kushirikiana na mamlaka husika atawafaidisha wengi
Mithali 26:4Hauko sawa kichwani, mgonjwa kupona au kufa ni mapenzi ya Mungu, siyo ya daktari au binadamu yeyote
Tukio limetengenezwaNaombeni muangalie hiyo clip kwa nguvu zenu zote halafu mtafakari then mje na majibu nini meelewa hapo