Rais Magufuli amlipia Tsh milioni 5 mama aliyefiwa na mama mzazi Hospitali ya Muhimbili

Jambo la msingi ni kuangalia gharama za utoaji maiti zishushwe watu wawazike wapendwa wao maana gharama zipo juu mpk wengine wasioweza kuafford wanawatelekeza marehemu wao

Mtu kamlipia mtu akiwa mgonjwa mmeshindwa kumtibu mpk amefariki bado kuchukua mwili ni gharama tena

Msaada alioutoa ni mzuri ila sasa hataweza kuwalipia wote wanaoshindwa ila akishusha gharama kwa kushirikiana na mamlaka husika atawafaidisha wengi
 
Kweli kabisa, mimi binafsi huwa najiuliza sana hivi unawezaje kumchaji maiti au unataka kuongeza maumivu na majonzi kwa wafiwa? Hili lazima liangaliwe upya na sio maiti tu hata gharama za matibabu zishushwe kabisa mahospitalini maana watu wengi wanafia mahospitalini kwa sababu ya gharama kubwa za matibabu. Serikali ambayo ina dhamana juu ya wananchi wake na inasifika kwa usikivu iliangalie upya hili badala ya kuongeza nguvu katika ujenzi wa miundombinu na vitu vingine nguvu kubwa iwekwe kwenye afya za wananchi na chakula pia na sekta ya elimu.
 
Hauko sawa kichwani, mgonjwa kupona au kufa ni mapenzi ya Mungu, siyo ya daktari au binadamu yeyote
 
Jambo la msingi ni kuangalia gharama za utoaji maiti zishushwe watu wawazike wapendwa wao maana gharama zipo juu mpk wengine wasioweza kuafford wanawatelekeza marehemu wao

Mtu kamlipia mtu akiwa mgonjwa mmeshindwa kumtibu mpk amefariki bado kuchukua mwili ni gharama tena

Msaada alioutoa ni mzuri ila sasa hataweza kuwalipia wote wanaoshindwa ila akishusha gharama kwa kushirikiana na mamlaka husika atawafaidisha wengi
Usilolijua kaa kimyaa
 
sasa gharama zitashuka vipi wakati serikali inachota hela za kwenye bajeti ya afya inaenda kununulia bombardiers hospitals zinaachwa tupu, hivyo inazilazimu kukamuwa wagojwa na ndugu zao ili angarau ziendelea kuwa wazi.
 
Jambo la msingi ni kuangalia gharama za utoaji maiti zishushwe watu wawazike wapendwa wao maana gharama zipo juu mpk wengine wasioweza kuafford wanawatelekeza marehemu wao

Mtu kamlipia mtu akiwa mgonjwa mmeshindwa kumtibu mpk amefariki bado kuchukua mwili ni gharama tena

Msaada alioutoa ni mzuri ila sasa hataweza kuwalipia wote wanaoshindwa ila akishusha gharama kwa kushirikiana na mamlaka husika atawafaidisha wengi
msisitizo uwe kwenye bima ya afya kwa kila mtu...
 
Hali ni mbaya na ngumu sana kila sehemu, hakuna cha kujivunia hapo.
Nilimlipia mgonjwa milion 2. Ambaye hana uwezo hata wa elfu 10 tu. anatokea kijijini kwetu.
Walibaki na mgonjwa kama mfungwa hapo mpaka wapate hela walioitaja. Nilimhurumia sana.
Nchi imekua ya hovyo sana hii kwa sasa.
 
Teh ndio huyu wakili msomi wao akaja na kihoja hiki ?

Huku kujipendekeza sijui kunawasaidia nini

Yaani unapeleka feni baharini ?
Screenshot_20190811-230952_1.jpeg
 
mm jpm siwez kumbez hata kidogo waelewa tunajua sana hasa tuliotoka maisha ya chini tunajua.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom