Sasa mkuu wewe hata mambo ya kifamilia unapinga? kweli wabongo noma unataka asisaidie ndugu zake.?
Kuna watu wanapenda kuwa Center of attraction kwenye matukio
Ni kweli kabisa ila anayeongoza kwa unafiki nchi hii ni huyo aliyetoa hizo 38m...binafsi sioni kama kuna tatizo kwa Joni kumtolea Rev.Msigwa hiyo faini.....tangu mwanzo dada Mange alisema hii michango haina "uchama"!!!yeye Joni kama kaguswa na harakati za raia wema tunaowachangia ndugu zetu sioni ubaya wowote......unafiki wa wa baadhi ya wanaCCM ndio tatizo.
Humu ndani raia mnajitoa ufahamu.😂😂😂ni kujibaraguza huko, nafikiri dhamira inamsuta. Inabidi Rais atueleze hizo fedha zimetoka wapi? Mapenzi hayo ya 'udugu' yametokea wapi? Angeonyesha wema kwa kuwalipia wote bila kubagua...au hata angechangia tu kama wananchi wa kawaida wanavyofanya bila kujali nani atatoka na nani atabaki alimradi nia ikiwa kuwatoa wote. Rejesheni hizo fedha serikalini.
Ni kapuuzi hako NakajuaNilikuwaga najilazimisha kukudharau ila asaivi official nmekudharu na nimekuweka kwenye List ya kina James delicious
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefrai sana kulipiwa jembe letu liludi, jera sio kuzuri by Uncle shivoUpendo ulioje? JPM amlipia Msigwa mil 38 kati ya mil 40.
Taarifa zaidi inakuja
====
Rais wa Tanzania, John Magufuli amemlipia Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa faini ya Sh38 milioni kati ya Tsh 40 milioni anazotakiwa kulipa mbunge huyo ili atoke jela.
Baada ya ndugu kuchangishana na kupata Milioni 2, ikabidi wamfuata rais Magufuli kama mwanafamilia naye achangie. Mtoto wa Dada yake Msigwa(Mpwa wa Msigwa) amemuoa Mtoto wa Rais Magufuli.
Msemaji wa Ikulu Gerson Msigwa amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya ndugu kuchanga na kupata milioni mbili tu na hivyo kumtafuta Magufuli kupata msaada.
Ambao bado wapo katika gereza la Segerea ni Mbowe(Mbunge wa Hai), John Heche (Tarime Vijijini), John Mnyika (Kibamba), naibu katibu mkuu wa chama hicho-Zanzibar, Salum Mwalimu na Mchungaji Msigwa.
Wakati huo huo, CHADEMA wanadai wameshamlipia faini Mchungaji Msigwa Milioni Arobaini.
"Sisi kama chama tumelipa Sh100 milioni ya watu watatu ambao ni Peter Msigwa, John Mnyika na Salum Mwalimu na tumewalipia kupitia benki tawi la Azikiwe.
Tumeshapeleka malipo mahakamani, tunasubiri risiti za mahakama. Kama kuna mwingine amemlipia Mchungaji Msigwa hatuna ushahidi na uhakika nao, kama chama mahakama haijaturejeshea fedha za Msigwa kwamba kalipiwa mara mbili.” Amesema John Mrema.
View attachment 1385706
View attachment 1385707
View attachment 1385840View attachment 1385841
View attachment 1385694
Pia soma:
1). Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea
2). Rais Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakati akitoka kutoa heshima za mwisho kwa Dada wa Mch. Peter Msigwa
Mwoga?Mh.Mbowe hakukosea kusema Jiwe ni mwoga na mwepesi kama KARATASI..
Ameona upepo unaovuma kajisalimisha fastaa, Mtu mzima hovyo!
Haya ndio yale matumizi ya dola aliyosema Bashiru au hamkumuelewa....Upendo ulioje? JPM amlipia Msigwa mil 38 kati ya mil 40.
Taarifa zaidi inakuja
====
Rais wa Tanzania, John Magufuli amemlipia Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa faini ya Sh38 milioni kati ya Tsh 40 milioni anazotakiwa kulipa mbunge huyo ili atoke jela.
Baada ya ndugu kuchangishana na kupata Milioni 2, ikabidi wamfuata rais Magufuli kama mwanafamilia naye achangie. Mtoto wa Dada yake Msigwa(Mpwa wa Msigwa) amemuoa Mtoto wa Rais Magufuli.
Msemaji wa Ikulu Gerson Msigwa amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya ndugu kuchanga na kupata milioni mbili tu na hivyo kumtafuta Magufuli kupata msaada.
Ambao bado wapo katika gereza la Segerea ni Mbowe(Mbunge wa Hai), John Heche (Tarime Vijijini), John Mnyika (Kibamba), naibu katibu mkuu wa chama hicho-Zanzibar, Salum Mwalimu na Mchungaji Msigwa.
Wakati huo huo, CHADEMA wanadai wameshamlipia faini Mchungaji Msigwa Milioni Arobaini.
"Sisi kama chama tumelipa Sh100 milioni ya watu watatu ambao ni Peter Msigwa, John Mnyika na Salum Mwalimu na tumewalipia kupitia benki tawi la Azikiwe.
Tumeshapeleka malipo mahakamani, tunasubiri risiti za mahakama. Kama kuna mwingine amemlipia Mchungaji Msigwa hatuna ushahidi na uhakika nao, kama chama mahakama haijaturejeshea fedha za Msigwa kwamba kalipiwa mara mbili.” Amesema John Mrema.
View attachment 1385706
View attachment 1385707
View attachment 1385840View attachment 1385841
View attachment 1385694
Pia soma:
1). Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea
2). Rais Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakati akitoka kutoa heshima za mwisho kwa Dada wa Mch. Peter Msigwa
Mkuu, walioanza Ni chadema.Rais kalipa online, Na walitumwa watu Wa ikulu wakiwa Na msemaji wa ikulu mahakamani kuchukua removal order, nani mwenye ubavu Wa kukataa agizo LA rais pale kisutu?Chadema payment time 14hr Magufuli payment time 3hr. Ni wazi Chadema wamechelewa kulipia . waliposikia Pesa imetolewa wakakkurupuka kwenda bank.