Rais Magufuli amlilia Mzee Majuto

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
*"King Majuto alikuwa kielelezo cha safari ndefu ya sanaa kwa nchi yetu, kwa muda wote amedhihirisha kipaji, ujuzi na uwezo wa hali ya juu katika uigizaji na uchekeshaji na hivyo kuwa kipenzi cha Watanzania na wasanii wenzake, hatutasahau ucheshi wake, upendo na uzalendo kwa nchi yake wakati wote wa uhai wake"*

- Mhe. *Dkt. John Magufuli*, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

km5.jpg


DkGkwb8WwAADS76.jpg
 
Back
Top Bottom