johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,447
Rais Magufuli leo amemtembelea mbunge wa Misungwi mh Kitwanga aliyelazwa katika hospitali ya taifa Muhimbili.
Madaktari wamemueleza Rais Magufuli kuwa mh Kitwanga alilazwa hospitalini hapo tarehe 31/1/2019 na kwamba kwa sasa hali yake inaendelea vizuri.
Rais Magufuli alishiriki sala fupi ya kumuombea mh Kitwanga hapo hapo hospitali
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!