Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.

Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.

Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Magu kila muda unavyosonga Mzee wangu anazidi kupoteza Nidhamu za kiutendaji,2020 inamchanganya sana.
 
Serikali haina dini sasa baba magufuli anamfukuzaje mtu kwa kutumia mamlaka ya kuwa mkuu wa serikali???

Wanazingua huyu mzee!,kuna mtu alimtia makofi Mzee mwinyi ila alimsamehe na maisha yakaendelea huyu Mzee sasa naona Atatupeleka Pabaya naanza kuionea huruma kadi yangu ya ccm.
 
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.

Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.

Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli mtu wa kutumbua watu jukwaani kwa kelele za "nitumbueee, nisitumbueee?"

Halafu wananchi wanamjibu.

"Tumbuaaaa"

Anatumbua hapo hapo.

Huyo ni mtu wa kusubiri hatua za due process na za kinidhamu?
 
Biblia kuchana ni kama unachana gazeti has no impact ,it is a fake book
Ila na hawa ndugu zetu wanadeka sana.

Hapa tumeogopa mengi.

Unaweza kukuta kichaa huyo akasababisha watu wakavaa mabomu au kuchoma makanisa.

Mpumbavu ni mpumbavu anaweza kuwa huku au kule ni kuwadhibiti mapema.

Lakini ninajiuliza kwa nini kila siku iwe kitabu hiki tu cha waislamu ndiyo mara kinachanwa mara kinachoma moto, kwa nini lakini?

mbona biblia inachanwa na hata kuchomwa moto . watu hawana shida kwa maana wanamuachia Mungu.

Ila kwa nini hikikitabu tu kiteswa mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mimi nikiwa sio timamu na mapombe yangu ni halili kuja kubaka nyumbani kwenu?
si pombe sio mimi
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.

Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.

Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo Ulitaka wakae kimya tu....nchi iingie kwenye machafuko kwaajili ya ujinga wa mtu 1
Zanzibar padri aliuawa nchi haikuingia kwenye machafuko, Dar na Kagera makanisa yalichomwa moto nchi haikuingia kwenye matatizo, mtindo huu unaotumiwa na viongozi ndiyo unaofanya waislamu wakitendewa wanaanzisha vurugu.
 
serikali haikuwachukulia wahusika hatua..?..mbona hata kule kusini waislam walivamiwa msikitini na wakapigwa,mapanga na nchi haikuingia katika machafuko.......

nchi inaweza isiingie kwenye machafuko lakini Taifa likaingia kwenye dhambi ya kuwa na watu ambao wana matabaka yanayo sababishwa na udini....kitu,ambacho sio kizuri
 
pia usitoe zawadi/ahadi ukiwa na furaha kupindukia.

rejea mfalme herode kumtuza bintiye herodia.

binti alichagua kichwa cha yohana mbatizaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia tujifunze vitu vya kuomba!😂😂😂 ...yani katika yote aliyokuwa nayo Mtukufu Mfalme Herode, Herodia bintie aliona Kichwa cha Yohana ndicho cha muhimu?(tafadhali nisiambiwe eti hapa alishauriwa na *****)😂
 
Huko wenzako walishanikimbia
Fungua uzi nitakuja huko tuelimishane kwa hoja

Huu uzi acha tumpongeze kipenzi Magufuli
Jinsi anavyowasomesha namba islamophobes

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina muda wa kufungua uzi.
Nipe link ya huo uzi ulipowashinda Wakristo wenzangu nikuonyeshe how deep i am in Christianity
 
Back
Top Bottom