jsenyinah
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 249
- 338
WanaJF, wakati mkitafakari weekend yetu inavyoyoyoma,embu tuwaangalie hawa viongozi wetu na fujo zao kwenye awamu hii ya tano.
Vikao,semina, ziara na mengineyo yaliyokuwa yakifanywa na waheshimiwa wetu huko duniani,naona sasa kila kitu hapahapa nchini.Kipindi kile mara oooh Dubai, China, Korea ya kusini, Afrika ya kusino, London na kwingineko. Saiv naona kila kitu Dodoma, makao makuu ya nchi na serikali.
Zamani ilikuwa huko mikoani unapishana na STK nyingiiii barabarani zenye mlingoti wa bendera.Sijui zilikokuwa zikienda.Halafu utakuta tu dereva yupo mwenyewe.
Kwa wale wakazi wa Dodoma walikuwa wanapata taabu sana na fujo za waheshimiwa hasa kipindi cha Bunge,sasaiv kupo shwari,heshima imerudi.
Wote tunaisoma namba.