Rais Magufuli ameshinda vita ya Madawa ya kulevya, Kwanini?

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Biashara ya Madawa ya kulevya ilikuwa tatizo kubwa sana Nchini na Viongozi wetu hili liliwashinda. Kwanini?

Vita ya Madawa ya kulevya ilikuwa ngumu kwasababu baadhi ya Viongozi wetu tuliowapa dhamana walikuwa wanahusika na hii biashara,Pia baadhi ya wabunge,baadhi viongozi wa madhehebu,watoto wa vigogo,viongozi wa vyama vya siasa,baadhi ya askari hasa wakubwa na wafanyabiashara.

Kwahiyo hii biashara ilishamiri kila uchao na vijana wakiharibika hasa nguvukazi ya Taifa na kingine kuaharibu Uchumi wa nchi maana hii biashara ni ya kutakatisha pesa.

Awamu hii ya tano ya Mh Rais Magufuli toka ameapishwa 2015 November aliaidi kupambana na ni hii vita kwa nguvu zake zote na hata kuhatarisha maisha yake

Na hatimaye leo vigogo wote wa hi biashara wapo Magerezani wakisubiri uchunguzi wa kesi zao

Tanzania sasa imekuwa sio tena kitovu cha hii biashara haramu kama huko nyuma

Kwahiyo Rais Magufuli ameiweza hii biashara sababu dhamira yake yake ni njema na hakuangalia mtu usoni kwani dhamana aliyopewa na Watanzania ni kubwa sana hasa akikumbuka kiapo chake.

Kongole Mh Rais Magufuli kwa kuiweza hii biashara ya madawa ya kulevya maana huko nyuma wenzio iliwashinda kabisa.

Tanzania bila Madawa ya kulevya inawezekana

#JPM KIOO TUELEKEACHO 2020

Alex Fredrick
Dar es salaam

IMG_20190409_194038_950.jpeg
FB_IMG_1553511303285.jpeg
tapatalk_1556551698962.jpeg
 
View attachment 1127977View attachment 1127978View attachment 1127979
Bila shaka ecology/ikolojia yako ni lumumba.

Umesahau kuweka namba ya simu.
 
Ukitaka kujua Unga bado upo na unapatikana fanya uchunguzi wako ujue kete 1 inauzwaje mtaani?

Ova
 
Mimi nitamsifu kwa kuyadhibiti majambazi tu, siku hizi matukio yamepungua kwa kiasi kikubwa sana ila mbadala wake tumeletewa watu wasiojulikana.
 
Biashara ya Madawa ya kulevya ilikuwa tatizo kubwa sana Nchini na Viongozi wetu hili liliwashinda. Kwanini?

Vita ya Madawa ya kulevya ilikuwa ngumu kwasababu baadhi ya Viongozi wetu tuliowapa dhamana walikuwa wanahusika na hii biashara,Pia baadhi ya wabunge,baadhi viongozi wa madhehebu,watoto wa vigogo,viongozi wa vyama vya siasa,baadhi ya askari hasa wakubwa na wafanyabiashara.

Kwahiyo hii biashara ilishamiri kila uchao na vijana wakiharibika hasa nguvukazi ya Taifa na kingine kuaharibu Uchumi wa nchi maana hii biashara ni ya kutakatisha pesa.

Awamu hii ya tano ya Mh Rais Magufuli toka ameapishwa 2015 November aliaidi kupambana na ni hii vita kwa nguvu zake zote na hata kuhatarisha maisha yake

Na hatimaye leo vigogo wote wa hi biashara wapo Magerezani wakisubiri uchunguzi wa kesi zao

Tanzania sasa imekuwa sio tena kitovu cha hii biashara haramu kama huko nyuma

Kwahiyo Rais Magufuli ameiweza hii biashara sababu dhamira yake yake ni njema na hakuangalia mtu usoni kwani dhamana aliyopewa na Watanzania ni kubwa sana hasa akikumbuka kiapo chake.

Kongole Mh Rais Magufuli kwa kuiweza hii biashara ya madawa ya kulevya maana huko nyuma wenzio iliwashinda kabisa.

Tanzania bila Madawa ya kulevya inawezekana

#JPM KIOO TUELEKEACHO 2020

Alex Fredrick
Dar es salaam

View attachment 1127977View attachment 1127978View attachment 1127979
Sababu ya kuleta na kuupa uzi wako kichwa cha habari kisicholingana iko wazi. Nia ni kumsifia rais wa JMT mhe JPM kwa kazi nzuri anayoifanya.

Mtu mjinga kwa maana ya kuwa hajui, anadhani watu wote wanamfanana. Ndiyo matokeo ya andiko kama hili. Nikufahamishe kuwa hata nchi za waarabu na China ambako sheria ni kali biashara ya madawa ya kulevya inafanyika.
Mbinu na viwango ndivyo vimebadilika hasa kwa sababu ya operesheni kali na wigo mpana za Marekani. Hilo ulijue.
Yapo matatizo makubwa zaidi ya watanzania wengi kuliko la madawa ya kulevya linalogusa watu wachache sana nchini ninyi mnajikita katika kujisifu na kusifia:
1. Ajira kwa vijana wetu,
2. Huduma ya afya isiyotosheleza,
3. Maji safi na salama,
4. Kuongezeka kwa umaskini wa kipato kwa wananchi kwa ujumla,
5. Ubaguzi na upendeleo wa kikanda,
6. Kutamalaki kwa ufisadi,
7. Kuminywa kwa uhuru wa kujieleza na kushiriki demokrasia kutakaopelekea, siku za baadaye watanzania kuchinjana. Ni sheria ya historia. Katika hili haponi mtu.
8. Kuporomoka kwa kiwango cha elimu, nk.
D day ikifika, mnaocheka sasa mtasaga meno. Mrudieni mungu.
 
Back
Top Bottom