Leo ni siku niliyokuwa naisubilia kwa hamu ili nijue Rais wetu Dr J P Magufuli atasema kima cha chini ni bei gani.
Nilimuamini kwa kuwa amekuwa akiyabinya majipu NA chunusi KWA praise na yanasambaa japo mengine hayaivi hiyo kuyatumbua imekuwa ngumu.
Kushusha PAYE bila kutaja kima cha chini kimepanda kwa kiasi gani imenisikitisha sana.
Walimu wenzangu japo Ujumbe mmetoa KWA Rais lakini hakutilia maanani kivile. Cha kufanya ni kwamba mwezi wa saba mshahara ukitoka angalia PESA iliyo omgezeka kisha tekeleza majukumu kulingana na ongezeko hilo, kama itakuwa 50000 ongeza 2% ya juhudi za awali. Kama 200000 ongeza 50%,ya jitihada, hudhuria SHULE kila siku,fundisha, jaza log books, saini class journals, n.k
Walimu tumesha dharauliwa ifike hatua tuchukue maamuzi, mwalimu mwenye degree anae anza kazi anazidiwa NA askari polisi alieishia Form Four mshahara kisha wakaajiriwa wote mwaka mmoja.