Rais Magufuli amemteua Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

Mugo wa kibilo

Senior Member
Oct 13, 2012
175
72
Rais Magufuli amemteua ndg Valentino Mlowola kuwa NAIBU MKURUGENZI MKUU wa TAKUKURU hapo jana.

Kabla ya Uteuzi, Mlowola alikuwa Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi wa Intelijensia ya Makosa ya Jinai ktk Jeshi la Polisi.

Je, Mlowola atamrithi Hoseah?
============

Rais John P. Magufuli, amemteua Valentino Mlowola, kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, kuanzia Novemba 23, 2015.

Kabla ya Uteuzi Mlowola alikuwa, ni Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Intelijensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi.

Pia Huyu Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU kabla ya kuteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Itelejensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, alihamishwa kipindi kile cha harakati za Uchaguzi Mkuu 2015.

-Maamuzi hayo yamekuja baada ya Deputy Director wa awali Lilian Mashaka kuwa Judge, hivyo Mlowola amechukua nafasi yake.

attachment.php
 
Sioni umuhimu wao ishu zote za wizi mkubwa taharifa zinatoka Uk..ifutwe tuu wao wapo na rushwa za 10,000..
 
Magufuli anatakiwa kubadilisha safu Yote ya wakurugenzi Na watendaji wakuu, maana hawana mbinu mpya. Hata hivyo walishazoea kufanya kazi kwa mazoea. afumue wote hao
 
Rais John P. Magufuli, amemteua Valentino Mlowola, kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, kuanzia Novemba 23, 2015.

Kabla ya Uteuzi Mlowola alikuwa, ni Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Intelijensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi.

Pia Huyu Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU kamla ya kuteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Itelejensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, alihamishwa kipindi kile cha harakati za Uchaguzi Mkuu 2015.

attachment.php
 
Attachments

  • TAKUKURU.jpg
    TAKUKURU.jpg
    28.5 KB · Views: 16,093
Huyu Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU awali alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, alihamishwa kipindi kile cha harakati za Uchaguzi Mkuu 2015.
 
Rais Magufuli amemteua ndg Valentino Mlowola kuwa NAIBU MKURUGENZI MKUU wa TAKUKURU hapo jana.

Kabla ya Uteuzi, Mlowola alikuwa Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi wa Intelijensia ya Makosa ya Jinai ktk Jeshi la Polisi.

Je, Mlowola atamrithi Hoseah?

Ameteuliwa lini?
 
Ameteuliwa lini? Lete chanzo cha taarifa yako
 
WOOOOOOOW !!
UPANGA MWINGINE HUO ,
Hakuna aliyefikiria hilo japo kwa malio
 
Aifumue yote tu,chombo kipo kipo hakina kazi kama vile vya wenzetu km kenya na afrika kusini,hawana mbinu za kudili na ufisadi na rushwa,wamekuwa watu wa kupewa kazi na si kuzichimbua wao
 
Ahsante Mungu kuwa huyu mja wako aitwaye John Pombe Magufuli (PhD) alizaliwa Tanganyika, angezaliwa nje ya mipaka yetu tungekosa mkombozi wa taabu tulizopata kwa miaka 56
 
Back
Top Bottom