Rais Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Kabwe

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.

1602053244308.png
 
Amemuombea apone haraka

Siasa sio ugomvi
Siasa ni Upendo
Siasa ni Undugu

Hongera Sana Mwenyekiti wa CCM kwa Moyo wa huruma
 

Attachments

  • FB_IMG_16020533286104936.jpg
    FB_IMG_16020533286104936.jpg
    29.9 KB · Views: 1
Rais wetu mwenye roho ya utu mpenda amani na mzalendo amempigia simu na kumtakia apone haraka kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe.

Pia Mh Rais amewashukuru manesi na madaktari walimtibu zito

Maendeleo ya vitu haya

Chanzo .kurugenzi ya habari ikulu

USSR

IMG-20201007-WA0017.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom