Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 752
- 3,087
Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio. Mwaka 2016, BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ilimsimamisha kazi Dr. Mataragio na Wakurugenzi wengine wanne ili kupisha uchunguzi wa matumizi mabaya ya ofisi.
Mkurugenzi mtendaji TPDC, Dkt. Mataragio asimamishwa kazi
Kuna tetesi nimezipata kwamba Wakurugenzi wanne TPDC akiwemo MD wamesimamishwa na body ya wakurugenzi kupisha Uchunguzi wa Ufisadi kwenye moja ya manunuzi. Hii imetokea kwenye kikao kilichofanyika jana jioni na leo wameamriwa by saa mbili asubuhi wawe wamekabidhi ofisi BODI ya Wakurugenzi ya...
www.jamiiforums.com
Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka
Viongozi 5 wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), wamefikishwa katika mahakama ya Kisutu, wakikabiliwa na shitaka la matumizi mabaya ya madaraka. Vigogo watano wa shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, James Mataragio, wamepandishwa...
www.jamiiforums.com