Rais Magufuli amefuta mauaji ya Albino nyakati za uchaguzi

na yatu wenye vipara nani aliyafuta!?! ni zama tu ndiyo zinafuta mambo ya kijinga hayo.
Sio issue ya zama....mauaji ya wenye vipara hayakuhusiana au kutokea nyakati za uchaguzi.
yale yalihusiana na copper mining huko Zambia.
 
Sio issue ya zama....mauaji ya wenye vipara hayakuhusiana au kutokea nyakati za uchaguzi.
yale yalihusiana na copper mining huko Zambia.
kumbe jibu unalo zuri,copper inachangiwa na vitu vingi, kikubwa ni bei labda bei imeanguka. but why watz ndio walikuwa victim wakubwa kwa bidhaa inayozalishwa zambia kwanini sio wazambia wenyewe ndiyo wangecheza mziki wao!!!
 
Jibu la kwa nini vipara ndio hilo hapo...mimi niliongelea Albino wewe ukataka kunibishia eti sio juhudi za Magufuli na blah blah uliyotaka kuileta na kuifananisha mauaji ya albino na mauaji ya wenye vipara.

By the way hata mauaji ya wenye vipara hayakushamiri kama ilivyokuwa kwa albino...rejea historia vizuri.
 
Ukweli lazima usemwe na utasimama.

Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino.

Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au hata vikongwe yakiongezeka nyakati za uchaguzi.

Ikiaminika kuwa biashara ya viungo vya binadamu ilikuwa inalipa nyakati hizi za uchaguzi.

Ziliundwa NGOs kuanza kuwatunza albino mithili ya wanyama lakini toka Rais Magufuli aingie madarakani nadhani nimesikia kifo kimoja tu mwanzoni mwa awamu yake.

Hakika Mungu ni Mwema kwa kutuletea kiongozi Bora.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Hali za maisha ya watu zimekuwa ngumu watu wanashindwa kujipatia hata mahitaji madogo madogo kuna haja ya kuachana na jiwe.
 
Hali za maisha ya watu zimekuwa ngumu watu wanashindwa kujipatia hata mahitaji madogo madogo kuna haja ya kuachana na jiwe.
Mahitaji madogo madogo ndio yepi hayo?
Tanzania imeingia kwenye nchi ya kipato cha kati wakati dunia ikpambana na Covid 19.
Acheni sera za uongo na kweli
 
Jibu la kwa nini vipara ndio hilo hapo...mimi niliongelea Albino wewe ukataka kunibishia eti sio juhudi za Magufuli na blah blah uliyotaka kuileta na kuifananisha mauaji ya albino na mauaji ya wenye vipara.

By the way hata mauaji ya wenye vipara hayakushamiri kama ilivyokuwa kwa albino...rejea historia vizuri.
ninachokisema sio JUHUDI ZA MTU YEYOTE YULE NI FASHION TU IMEPITWA NA WAKATI
 
Back
Top Bottom