Rais Magufuli amefanya kosa gani la kikatiba/kisheria hadi alaumiwe kuhusu misamaha ya wahujumu uchumi na mafisadi?

Nchi nyingi wanaita ''Plea bargain'' sasa hili ni kosa la JPM kuwaambia waombe msamaha na kurudisha pesa walizokwapua imekuwa shida na nongwa. Mlitaka JPM atumia jina la king'eng'e, Watanzania kwa mazingaombwe hamjambo. Grow up and move on!
 
Hivi mtuhumiwa aliekuwa mtumishi wa umma akakili na kurudisha kiasi cha pesa alizoandikiwa kwenye mashitaka yake Je atarudi mtaani bila kazi au anatudishwa kibaruani? SIJAELEWA HUU MSAMAHA UNAISHIA WAPI?
 
wanasheria wakitanzania wanatokana na zao la D nne(4) unakuwa na sifa za kusomea sheria!!!! Sishangai hata wewe kuandika Haya.
Sikh moja jamaa yangu mmoja alishitakiwa mahakamà ya mwanzo akapata dhamana, tarehe ya kesi hakuisikia vizuri hakutoke, Sikh aliyokuja akawekwa ndani akafutiwa dhamana na kupelekwa segerea.

Mimi siyo mwanasheria nilipokwenda mahakamani ili nimdhamini kishoka tu mmoja akanishauri niombe chamber application, yaani niombe mahakama ya wilaya waliite like file wao wana mamlaka ya kutowa dhamana, basi huwezi kuamini hizi chamber application zinaandikwa na mawakili lakini nilipowada mawakili watatu tofauti hakuna anayejuwa hiki kitu kinachoitwa chamber application, kwahiyo Mimi simshangai mleta mada kujiita wakili kwani wajinga wapo kwenye fani zote.

Finally nilikwenda ofisini kwa Twaha Taslima ndio akaniandikia ile chamber application ingawa gharama zake kubwa kidogo lakini nilikwenda nayo mahakama ya wilaya na hakimu alitowa court order papo hapo nikapewa askari tukaenda kumchukuwa mtuhumiwa segerea na kuja naye mahakamani na kusaini bond nikaondoka na jamaa yangu, na uzuri mahakama ya mwanzo kariakoo na mahakama ya wilaya ya ilala zote zilikuwa sehemu moja mtaa wa Lumumba opposite na ofisi za Intarahamwe.

Ndio maana usishangae huyu kijiwe chake ni JF, siyo practice lawyer Bali ni walewale janja janja limited.
 
Hivi mtuhumiwa aliekuwa mtumishi wa umma akakili na kurudisha kiasi cha pesa alizoandikiwa kwenye mashitaka yake Je atarudi mtaani bila kazi au anatudishwa kibaruani? SIJAELEWA HUU MSAMAHA UNAISHIA WAPI?

Akafanye kazi nyingine, au atafute shughuli nyingine. Kukiri kosa hakumuondolei mwajiri kumfukuza kazi.
 
Sikh moja jamaa yangu mmoja alishitakiwa mahakamà ya mwanzo akapata dhamana, tarehe ya kesi hakuisikia vizuri hakutoke, Sikh aliyokuja akawekwa ndani akafutiwa dhamana na kupelekwa segerea.

Mimi siyo mwanasheria nilipokwenda mahakamani ili nimdhamini kishoka tu mmoja akanishauri niombe chamber application, yaani niombe mahakama ya wilaya waliite like file wao wana mamlaka ya kutowa dhamana, basi huwezi kuamini hizi chamber application zinaandikwa na mawakili lakini nilipowada mawakili watatu tofauti hakuna anayejuwa hiki kitu kinachoitwa chamber application, kwahiyo Mimi simshangai mleta mada kujiita wakili kwani wajinga wapo kwenye fani zote.

Finally nilikwenda ofisini kwa Twaha Taslima ndio akaniandikia ile chamber application ingawa gharama zake kubwa kidogo lakini nilikwenda nayo mahakama ya wilaya na hakimu alitowa court order papo hapo nikapewa askari tukaenda kumchukuwa mtuhumiwa segerea na kuja naye mahakamani na kusaini bond nikaondoka na jamaa yangu, na uzuri mahakama ya mwanzo kariakoo na mahakama ya wilaya ya ilala zote zilikuwa sehemu moja mtaa wa Lumumba opposite na ofisi za Intarahamwe.

Ndio maana usishangae huyu kijiwe chake ni JF, siyo practice lawyer Bali ni walewale janja janja limited.

Wengi humu wanaganga njaa tu na kutumiwa na vikuwadi kama Zito na Chadema. Absolutely pathetic! Wanafikiri maendeleo yanakuja kwa lelemama.
 
Jibu hilo swali la mada. Kunitusi hakutakusaidia kujenga hoja yako

Sitak niingie kwenye mkumbo wa kukutukana, ila nikuule kidogo na nitafurah kama uko online!

Hiyo sheria mpya iliyosainiwa juz mwez wa 9 tar 19 unaijua ambayo unasema DPP NA RAIS ndio huitumia?

Kwa kawaida najua mwanasheria hatok hadharan bila kujiridhisha.

Unajua ni wakati gani inatakiwa wafanye makubaliano ya kurudisha kilichoibwa,

Ni wapi sheria inaweka ukomo wa mtuhumiwa kukaa naye mezanikuyamaliza kama ni sheria inampa haki hiyo??

Iweje rais aseme ambaye hatajitokeza sasa huyo komaa naye hadi mwisho??

Kuna meng ya kukuuliza ila nimalizie kwa kusema watu wabaya ni wale wanaojua ukweli na hawausemi
 
Sikh moja jamaa yangu mmoja alishitakiwa mahakamà ya mwanzo akapata dhamana, tarehe ya kesi hakuisikia vizuri hakutoke, Sikh aliyokuja akawekwa ndani akafutiwa dhamana na kupelekwa segerea.

Mimi siyo mwanasheria nilipokwenda mahakamani ili nimdhamini kishoka tu mmoja akanishauri niombe chamber application, yaani niombe mahakama ya wilaya waliite like file wao wana mamlaka ya kutowa dhamana, basi huwezi kuamini hizi chamber application zinaandikwa na mawakili lakini nilipowada mawakili watatu tofauti hakuna anayejuwa hiki kitu kinachoitwa chamber application, kwahiyo Mimi simshangai mleta mada kujiita wakili kwani wajinga wapo kwenye fani zote.

Finally nilikwenda ofisini kwa Twaha Taslima ndio akaniandikia ile chamber application ingawa gharama zake kubwa kidogo lakini nilikwenda nayo mahakama ya wilaya na hakimu alitowa court order papo hapo nikapewa askari tukaenda kumchukuwa mtuhumiwa segerea na kuja naye mahakamani na kusaini bond nikaondoka na jamaa yangu, na uzuri mahakama ya mwanzo kariakoo na mahakama ya wilaya ya ilala zote zilikuwa sehemu moja mtaa wa Lumumba opposite na ofisi za Intarahamwe.

Ndio maana usishangae huyu kijiwe chake ni JF, siyo practice lawyer Bali ni walewale janja janja limited.
Mkuu, nakuona unavyojaribu kujifanya wanijua. Hao uliokwenda kwao walikuwa vishoka wenzako. Hawakuwa Mawakili, acha kutudhalilisha. Eti Wakili asijue Chamber Application!? Punguza comedy mkuu
 
Kwahiyo wewe unataka kusema rais hakosei? Yeye sio binadamu? Mbona anakosea sana kwenye mambo mengi tu tukianza kuorodhesha huu uzi unajaa pomoni, ila wewe ni mwanasheria uchwara yaani rais awaambie watu waombe msamaha wakati ushahidi haujakamilika na hawajakutwa na hatia kama sheria zetu zinavyotaka, mtuhumiwa hana kosa mpaka mahakama itapothibitisha. Leo unauliza Jiwe kakosea wapi hupaoni mwanasheria uchwara?
 
Naona upo online japo hujanijibu basi nakushauri pitia hapa rais akipokea ripoti uone mgongano wa kile kinachoitwa msamaha na sheria ilivyo! Wale amabao watakamatwa kuanzia leo huu msamaha hauwahusu!!!!!!! Hii ni sheria au ni amri anaitoa wasamehewe???
 
Mkuu, nakuona unavyojaribu kujifanya wanijua. Hao uliokwenda kwao walikuwa vishoka wenzako. Hawakuwa Mawakili, acha kutudhalilisha. Eti Wakili asijue Chamber Application!? Punguza comedy mkuu

Pitia hapa pls uone mkanganyiko wa hicho unachokiita ni sheria mpya na ushauri na amri inayotolewa! Rais anasema kuanzia sasa watakaokamatwa huu msamaha hauwahusu! Sasa hii ni sheria au maamuz yake yeye rais?? Kama ni sheria kwann isiendelee ili mtu aomba makubaliano yafanyike muda wowote?????

  • Thanks
Reactions: Cyb
Tangu alipotoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mshtaka nchini kuhusu misamaha ya watuhumiwa/washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi, Mhe. Rais amekuwa akikosolewa mitandaoni kama anayeingilia utawala wa kisheria.

Wakosoaji wa Mhe. Rais Magufuli wanadai kuwa kuwasamehe washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi ni kuingilia uhuru wa Mahakama na hivyo kuipoka Mahakama kazi yake ya msingi ya kutenda haki.

Wakosoaji wa Mhe. Rais wanajisahaulisha mambo matano muhimu. Mosi, Mhe. Rais alitoa ushauri kama mkuu wa serikali na nchi kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini ambaye kikatiba na kisheria ndiye mwenye mamlaka juu ya mambo ya mashtaka. Tena, Mhe. Rais aliweka wazi kuwa 'kama sheria inaruhusu'.

Pili, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini ambaye kitaaluma ni Mwanasheria na ndiye mhusika mkuu wa mashtaka, amejiridhisha kuwa ipo Sheria inayoratibu suala hilo. Ndiyo maana mchakato wa kuhusu ushauri huo ulifanyika na taarifa kutolewa kwa Rais. Kimsingi, sheria inaruhusu suala hilo.

Tatu, Mahakama haipokwi mamlaka yake wala haitengwi kwenye jambo hilo. Mahakama inahusishwa na lazima ibariki makubaliano hayo kati ya Mshtaki/Jamhuri na Mshtakiwa/Washtakiwa. Mahakama lazima itoe Amri juu ya makubaliano hayo na Amri hiyo itasajiliwa kimahakama. Mambo yote hayo yanafanyika kisheria chini ya uangalizi wa mahakama.

Nne, kwakuwa ushauri unafuata sheria na unafanyika kimahakama, hakuna baya linalofanyika.

Tano, sheria husika inayoratibu makubaliano hayo haimlazimishi mshtakiwa kuingia kwenye majadiliano na baadaye makubaliano na Mshtaki. Washtakiwa wanayo haki kikatiba kusubiri kusikilizwa na kumalizwa kwa mashauri yao kimahakama na kutojihusisha kabisa na jambo la makubaliano. Hakuna kulazimishwa katika jambo hilo.

Katika jambo hilo, kuanzia ushauri hadi utekelezaji wake, Mhe. Rais Magufuli amekosea wapi hadi akosolewe? Kuna nyakati, ukweli usipindishwe kwa sababu za kisiasa. Rais alikuwa sahihi katika hili.
Hivi Petro wewe ukiwa Mwanasheria na Wakili unaona hao walikamatwa kwa kutenda makosa tajwa????
 
Kwani ni awamu hii pekee ndio watuhumiwa wamepata nafasi yakurudisha pesa walizokwapua? Pesa za EPA ilikuwaje? Msipende kulialia. Wakikaa mahabusu unapata faida gani? Km wanakili kosa na wanaweza kulipa acha walipe. Na sio lazima Ni hiari.
Walikua tayari wameshashtakiwa??? Kwa kumbukumbu yangu walipewa muda kurudisha ili wasishtakiwe. Hata hawa wangefanyiwa hvyo ingeleta mantiki
 
Atasema ana ucngiz wacha apambane apate anachokitafuta

Pitia hapa pls uone mkanganyiko wa hicho unachokiita ni sheria mpya na ushauri na amri inayotolewa! Rais anasema kuanzia sasa watakaokamatwa huu msamaha hauwahusu! Sasa hii ni sheria au maamuz yake yeye rais?? Kama ni sheria kwann isiendelee ili mtu aomba makubaliano yafanyike muda wowote?????

Huo ulikua ushauri ambao umesababisha hela zimerejeshwa nyingi sana na zitafaidi taifa pakubwa.
 
Tangu alipotoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mshtaka nchini kuhusu misamaha ya watuhumiwa/washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi, Mhe. Rais amekuwa akikosolewa mitandaoni kama anayeingilia utawala wa kisheria.

Wakosoaji wa Mhe. Rais Magufuli wanadai kuwa kuwasamehe washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi ni kuingilia uhuru wa Mahakama na hivyo kuipoka Mahakama kazi yake ya msingi ya kutenda haki.

Wakosoaji wa Mhe. Rais wanajisahaulisha mambo matano muhimu. Mosi, Mhe. Rais alitoa ushauri kama mkuu wa serikali na nchi kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini ambaye kikatiba na kisheria ndiye mwenye mamlaka juu ya mambo ya mashtaka. Tena, Mhe. Rais aliweka wazi kuwa 'kama sheria inaruhusu'.

Pili, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini ambaye kitaaluma ni Mwanasheria na ndiye mhusika mkuu wa mashtaka, amejiridhisha kuwa ipo Sheria inayoratibu suala hilo. Ndiyo maana mchakato wa kuhusu ushauri huo ulifanyika na taarifa kutolewa kwa Rais. Kimsingi, sheria inaruhusu suala hilo.

Tatu, Mahakama haipokwi mamlaka yake wala haitengwi kwenye jambo hilo. Mahakama inahusishwa na lazima ibariki makubaliano hayo kati ya Mshtaki/Jamhuri na Mshtakiwa/Washtakiwa. Mahakama lazima itoe Amri juu ya makubaliano hayo na Amri hiyo itasajiliwa kimahakama. Mambo yote hayo yanafanyika kisheria chini ya uangalizi wa mahakama.

Nne, kwakuwa ushauri unafuata sheria na unafanyika kimahakama, hakuna baya linalofanyika.

Tano, sheria husika inayoratibu makubaliano hayo haimlazimishi mshtakiwa kuingia kwenye majadiliano na baadaye makubaliano na Mshtaki. Washtakiwa wanayo haki kikatiba kusubiri kusikilizwa na kumalizwa kwa mashauri yao kimahakama na kutojihusisha kabisa na jambo la makubaliano. Hakuna kulazimishwa katika jambo hilo.

Katika jambo hilo, kuanzia ushauri hadi utekelezaji wake, Mhe. Rais Magufuli amekosea wapi hadi akosolewe? Kuna nyakati, ukweli usipindishwe kwa sababu za kisiasa. Rais alikuwa sahihi katika hili.
Magufuli kakosea sana katika jukumu lake la kulinda katiba ya Tanzania. Alichotakiwa ni kuacha mahakama itoe hukumu yake, halafu kama anaka kuwasamehe basi atumie mamlaka yake ya kusamehe wafungwa aliyonayo kikatiba. Hapa alichofanya ni kutoa amri kuwa DPP awe anachagua makosa ya kufikisha mahakamani, na hivyo basi kufanya baadhi ya raia wanaoweza kufanya makosa fulani ya kitajiri (uhujumu uchumi) wasifikishwe mbele ya sheria; yaani sheria inakuwa ni selective
 
Kwahiyo wewe unataka kusema rais hakosei? Yeye sio binadamu? Mbona anakosea sana kwenye mambo mengi tu tukianza kuorodhesha huu uzi unajaa pomoni, ila wewe ni mwanasheria uchwara yaani rais awaambie watu waombe msamaha wakati ushahidi haujakamilika na hawajakutwa na hatia kama sheria zetu zinavyotaka, mtuhumiwa hana kosa mpaka mahakama itapothibitisha. Leo unauliza Jiwe kakosea wapi hupaoni mwanasheria uchwara?
Kweli AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA ushauri Mirembe watusaidie kuona tatizo lipo wapi
 
Magufuli kakosea sana katika jukumu lake la kulinda katiba ya Tanzania. Alichotakiwa ni kuacha mahakama itoe hukumu yake, halafu kama anaka kuwasamehe basi atumie mamlaka yake ya kusamehe wafungwa aliyonayo kikatiba. Hapa alichofanya ni kutoa amri kuwa DPP awe anachagua makosa ya kufikisha mahakamani, na hivyo kufanya baadhi ya raia wanaoweza kufanya makosa fulani ya kitajiri (uhujumu uhchumi) basi wasifikishwe mbele ya sheria. yaani sheria inakuwa ni selective
Bahati mbaya ni Tanzania. Ingekuwa Marekani wangemtuhumu kuwa amelenga kuwasamehe marafiki zake kwahiyo IMPEACHMENT ingemhusu.

Lakini maskini Tanzania impeachment ni neno lililoandikwa kwa bahati mbaya kwenye katiba.

Yanayoendelea yatafumuka tu siku si nyingi.
 
Katika jambo hilo, kuanzia ushauri hadi utekelezaji wake, Mhe. Rais Magufuli amekosea wapi hadi akosolewe? Kuna nyakati, ukweli usipindishwe kwa sababu za kisiasa. Rais alikuwa sahihi katika hili.
Kuna watu walishaamua,chochote atakachofanya Magufuli ni kibaya
 
Back
Top Bottom