King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,604
- 68,496
Thanks....Hongera kumbe umejitambua basi chapa kazi mkuu tunahitaji watz ambao ni creative siyo watoa mapovu tu!!
Thanks....Hongera kumbe umejitambua basi chapa kazi mkuu tunahitaji watz ambao ni creative siyo watoa mapovu tu!!
Mkuu mtaa gani huo unaosema wanampenda Magufuli? Mie naona mitaa yote hawamtaki
Mimi Napenda kutembea mida ya jioni kubadilishana mawazo na wananchi wenzangu ninapofika katika vijiwe stori zangu Mara nyingi zinakuwa hoja za kisiasa Kama unavyojua Mimi namkubali Sana Magufuli wakati mwingine naanzisha maada ili kusikia mitizamo ya wengine kuhusu uendeshwaji wa nchi.
Lakini Cha ajabu karibu watu wote wanaonyesha kumkubali Magufuli na staili yake ya uongozi.watu Wana kwambia waziwazi Magufuli ana nia njema ila anaangushwa na wachache fulani.
Kifupi mtaani kwetu kote na kazini sioni anayemnanga Magufuli jembe Ila Huku JF ndo Kuna watu wanajifanya wagumu kuelewa wameamua kukaza
Tanzania ni ya 9 kati ya nchi 10 ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi Duniani.Ya 4 kwa sub sahara na ya 1 Afrika mashariki kwa ukuaji wa uchumi.
Msemaji wa serikali
MyTake:Hizi takwimu ambazo sources zimehodhiwa na serikali kuna ukweli hapo?
Huu Mtindo Wa Kusukumana Ndani Ndio Unawafanya Raia Wasimponde Hadharani! Zimbabwe Waliojaribu Kumkosoa Mugabe Walikiona, Nchi Yote Ikawa Kimya Lakini Ilipofika Siku Alipopinduliwa, Raia Walijazana Barabarani Wakishangilia.