Umeonywa hapo juu kuwa; acha kuropoka! Wewe uliyajuaje yote hayo kuhusu familia ya mtu? Au unamuigiza makonda a polepole kuropoka? Mbona waliyoonywa ndio yanayotokea na yamewazidi kimo Sasa? Chunga msamba wako usijrechanika na ukitaka kuyajua vyema maonyo haya kamtafute musiba akusimulie yanayomsibu! Kaachwa apambane na Hali yake kwani ccm Ina wenyewe na wewe ni kiboboru tu kwenye shamba la maharage kula uende zako pangoni!