Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na kufika Kaliua. Ilikua iende na Mwanza nadhani, kwa mkopo wa $7.6 Bilioni kupitia benki ya China ya EXIM na Kampuni ya Ujenzi ya Reli za serikali ya China. Magufuli aliitupia hii dili nje kwa madai kuwa ilikuwa na harufu ya ufisadi na kwamba tutajenga SGR kwa fedha zetu za ndani.

Sasa leo hii, zaidi ya fedha ambazo tayari tumezamisha kwenye SGR kipande cha Dar hadi Dodoma tu, tumekopa tena $ 1.46 Bilioni ili kukamilisha ujenzi wa SGR toka Dar hadi Makutopola. Hili linafanyika wakati TRC wanasema hadi sasa kipande kilichojengwa kimeshakula $1.3 Bilioni. Hii inamaanisha kwamba tunakopa $ 1.46 Bilioni kukamilisha sehemu ambayo tayari imekula $1.2 Bilioni. Kwa hiyo basi, hadi sasa kuanzia Dar hadi Makutopola gharama inaweza kufikia zaidi ya $3 Bilioni, ambayo ni karibu nusu (50%) ya mkataba ambao Kikwete na Wachina walikuwa watie sahihi kama gharama ya kujenga SGR yote, na Raisi Magufuli akatuaminisha Watanzania kwamba ule mkataba ulikuwa na harufu ya ufisadi.

Sasa wana JF mie nilishasema kuna mambo huwa simuelewi Magufuli. Kama kuna anaelewa juu ya hili basi naomba anifafanulie.

Usikute Kikwete na Wachina kwa sasa hivi wanacheka kweli kweli, na wanamcheka nani hilo halihitaji PhD kwa wewe kuelewa.

According to the Tanzania Railways Corporation’s latest reports on expenditure the project has so far spent an estimated $1.2 billion for two phases.The corporation’s project manager Machibya Kadogosa confirmed to The EastAfrican in an exclusive interview that, the two phases are currently being constructed by a Turkish firm Yapi Merkezi, in partnership with Portuguese firm Mota-Engil Africa.

======

Standard Gauge Railway: Why Tanzania is handing hers to Turkey, while Uganda and Kenya give theirs to China

27 February 2017 - 0
Uganda’s President Yoweri Museveni arrived in Tanzania for a 2-day state visit on Saturday Feb. 25th, 2017. Key on the agenda in meetings with his host, Tanzanian President John Pombe Magufuli, was infrastructure and harnessing business.

“I have arrived in Dar es Salaam, Tanzania for a two-day state visit on invitation of His Excellency (John Magufuli),” the President said on his presidential Twitter account. In another tweet the President said, “We resolved to consult more on EPA (Economic Partnership Agreement), start work on the E(ast) A(African) Pipeline project, explore joint electricity projects & improve transport linkages.”

It is clear that the crude oil pipeline from Hoima in western Uganda to Tanga on the Tanzania coast was on the agenda. What was probably discussed by the two presidents within the context of regional infrastructure- but perhaps off-record- is the standard gauge railway (SGR) projects.

A month ago, President Magufuli announced during the state visit by the Turkish President Recep Tayipp Erdogan who was in Tanzania between 21-23 January, 2017, that his Government was sourcing funding from the Turkish Government, for 400 kilometres (of the 1300 Km) SGR line from the capital Dar-es Salaam to its northern town of Mwanza, on the shores of Lake Victoria.

"I have appealed to the government of Turkey through their EXIM Bank to provide funds for construction of a section of the standard gauge railway to which President Erdoğan has agreed...he has directed his finance minister to work on it," Magufuli said in a joint press conference with the Turkish leader.

Observers of the SGR business in Tanzania say, this statement from the President meant two things; first, that the Tanzania SGR (at least the initial part of it) will be funded and executed by Turkey. And secondly, that it will not be done by the Chinese.

It will be remembered that the Tanzanian SGR project became available again for a new round of “financial sourcing” after President Magufuli’s government cancelled the initial award of the same project that had been given to a Chinese company, China Railways Materials (CRM) in June 2015. The reason given for the cancellation at the time was “irregularities” in procurement.

The contract had been awarded under the previous government of President Jakaya Kikwete. Then Minister of Transport, Samuel Sitta, had even told Tanzanian Parliament on June 1st, 2015, that his government had awarded the contract to CRM at a cost of US$7.6 billion (about TShs15 trillion). In fact an MoU between the government of Tanzania and the Exim Bank of China, and CRM was signed in Beijing in late 2015.

When President Magufuli took over the reins in Dar es Salaam in November 2015, his first 100 days were devoted to combating corruption. It will be recalled that Magufuli irately swung the proverbial axe on underperforming and corrupt government officials, dismissing many on the spot, and causing investigations on number of institutions. The SGR contract was one of those that were cancelled for alleged corruption in the management of the procurement of the contractor.

The procurement was managed by Reli Assets Holdings Company (RAHCO), Tanzania’s registered public company to oversee the railway transport sector on behalf of the government.

Following the debacle, RAHCHO managing director, Benhardad Tito and his corporation secretary, Emmanuel Massawe, were summarily interdicted. As we write, they are currently battling court cases brought against them by the Tanzania Anti-corruption court on charges of “abuse of office”, “breeching procurement regulations”, and related charges, connected to the procurement of CRM.

Under Magufuli’s close watch, the contract with CRM was cancelled, and along with it the EXIM Bank of China’s committed funding. The project was subsequently re-advertised by the Tanzania Government. It is understood that for the last few months the Chinese and Turkish government have been jostling for the contract. In January 2017, Chinese Foreign minister, Wang Yi, visited Dar, and it is thought that key on the agenda of his mission was attempt to salvage the SGR contract from going the Turkish way.

At the time, Tanzanian media reported that the Tanzanian officials “gave no guarantees” to Wang Yi on the SGR.

It is not clear why Magufuli’s government has decided to dangle only 400kms of the SGR on Turkey’s face. Some pundits think some sections of the Tanzania SGR might be considered for the Chinese, given China’s huge influence in the region, and its deep pockets for African governments. But it is also clear that Turkey is still interested in all, or at least some more of the sections.

At the January joint press conference with Magufili, Erdogan described the 400 Km request for funding put to him by the Tanzanians as “too small for me”- probably meaning he (Turkey) could do with some more –or all- sections of the SGR project.

Under the new financing arrangements from the “East”, it is becoming a rule of the thumb that he who provides the funds, also provides the contractor (unlike World Bank projects for example, that any eligible contractor from a member country can bid for works- which itself has seen Chinese contractors win many World Bank projects). It is therefore expected that if Turkey funds the project, it will go without saying that the contract to execute the works with be a Turkish company. Ditto China.

What is clear however in Tanzania’s behaviour in this is that the choice for Turkey was more a choice against China. Tanzania’s (or at least Magufuli’s) lack of appetite for corruption drives these decisions.

Chinese funded contracts in many African countries have been dogged with lack of transparency, which allegedly breeds corruption, inflated costs of works, compromised quality of works, among others. Chinese funded and executed construction projects have also been faulted for lack of consideration for environmental, social and human rights considerations.

In January 2015, the World Bank suspended funding to road projects on Fort Portal-Kamwenge road, in western Uganda executed by Chinese companies amidst accusation of sexual abuse of underage girls, rape of women employees by Chinese workers, environmental degradation and generally bad working conditions for local Ugandan workers. See our story on this.

A research report published by AidData, a project in the University of William & Mary in Virginia in the US, aimed at tracking aid and making development finance more transparent, accountable and effective found that levels of corruption were higher in areas where Chinese funded and executed projects are.

In their paper entitled, “The Dragon’s Curse? China, the World Bank and perceptions of corruption in Tanzania,” Gina Kelly, Samuel Brazys amd Johan Elkink suggest that corruption, inflation of prices is rife on Chinese funded and executed projects.

Another study done by AidData on the impacts of Chinese projects on environment in Tanzania and Cambodia, shows that where there are strong local laws and good governance in place, Chinese projects had no impacts on environment. However, where local laws were weak and local governance ineffective, the impact on environment was adverse.

These misdemeanors continue to dog China’s funding and projects, and are especially unpalatable for leadership that want to be seen to be fighting corruption in the region- like Tanzania.

While on a 2 day visit to Uganda in early February, Christine Lagarde, the IMF managing director, carried the same message; that for large infrastructure borrowed money to make positive impact to the country, it was important that the government of Uganda ensures that the borrowed finances are well governed, value for money is pursued and environmental, social and human considerations are kept in sight. Otherwise the borrowing will generate more problems for the borrowing countries, let alone accumulate unsustainable debt.

Although Kenya has made substantial progress on its SGR from Mombasa to Nairobi, it has not been without controversy. The Kenya SGR has been dogged with allegations of grand corruption, inflated costs, mismanagement of procurement of consultants and contractors, influence peddling, and so on. The Kenyan SGR has been a subject of Parliamentary investigations, court injunctions and rulings and reports of anti-corruption by NGOs. The bottom line seems to be that like the initial Tanzania SGR, politicians and technocrats in the Kenyan government could have cause to review their contract with the Chinese on the SGR, but for one of other reason they have opted to continue to work with them on their SGR.

In an article published in Newsweek in March 2016, John Githongo, the former Anti-Corrptuon senior official in the Kenyan government, decries level of corruption in Kenya government projects, including the SGR that he describes as “marred by scandal.’ He concludes his article by saying, “Kenyatta can borrow a leaf from his neighbor, President John Magafuli of Tanzania, who was recently elected and hit the ground running against corruption. His efforts have captured the imagination of the continent and, ironically, Kenyans most of all.”

The Ugandan section of SGR hasn’t been without its own woes. In 2014, in what was seen as a fight between influence peddlers, who were said insiders in Government, in a-corridors-of-power struglle led to the cancellation of a contract that had been earlier issued to China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC). The contract was then issued to another Chinese company- China Harbour Engineering Company Ltd. The CCECC took the government to court, but it’s not clear how the case ended. It was alleged that government has discovered that CCECC neither had the capacity, nor the experience to undertake the works.

The procurement of the Uganda SGR contractor also became an issue of interest to the 9th Parliament leading to the constitution of a select committee of Parliament chaired by Nakifuma Member of Parliament Kafeero Ssekitoleko, to investigate the procurement and contractual process of the SGR. At the time, many Ugandans perceived that the process had been marred with corruption.

Halafu Meko ana jisifu kwamba ana jenga reli kumbe ana endeleza miradi ya mtangulizi wake
Ila sasa yeye matumizi yake yamekuwa ya wizi na hasara kwa Taifa.
Huyu ana takiwa siku zikifika apandishwe. Mahakamani kwa matumizi mabaya ya rasilimali za Watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta maada unakubaliana na conditions zifuatazo kwenye huo mradi wenu wa JK?

1. Kwamba feasibility study lazima ifanywe na kampuni kutoka China.

2. Kwamba project designer lazima awe Mchina.

3. Kwamba consultant lazima awe kampuni toka China.

4. Kwamba reli ingekuwa diesel run na mradi (Dar - Mwanza) ungegharimu $7.5 bln. Kwa sasa (Dar - Makutopora inagharimu $3.1bln.

5. Na kwamba Exim bank wangetoa mkopo ambao ikiwa ungeshindwa kurejeshwa Dar es Salaam port ingekuwa chini ya Beijing mpaka mkopo utaporejeshwa.

Mara nyingine huwa najiuliza ikiwa sababu ya kupinga kila kitu ni;

1. Knowledge gap (uvivu wa kutafuta taarifa/maarifa),

2. Chuki iliyopitiliza kwa CCM na hivyo kuipinga kwa gharama yoyote ile (hata ikiwa ni kwa kujitoa ufahamu),

3. Au ndiyo ile bendera fuata upepo ( nyumbu hufuata kokote kule anakoelekea kiongozi wake).

All in all: Ni taahira na mwendawazimu pekee angekubali zile FISHY DEALS 17 tuliingia na Beijing mwaka 2013 alipokuja Xi Jiping. Zilizobahatika kutekelezwa ni zile tu ambazo zilifanyika kabla bro Magu hajashika usukani (bomba la gesi @$1.2bn). Zilizofuata kama vile SGRTz, Bwagamoyo, Liganga & Mchuchuma, Tazara zitatekeleza kama vile wahusika ni watu wenye akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umechukua conditions za SGR ya Kenya halafu unasema ndio zilikuwa za Tanzania - acha hizo.

Licha ya hivyo, Magufuli aichopaswa kufanywa ni kuwaambia njooni tena mezani hatukubaliani na hizo conditions. Mbona Acasia tuliweza? Sasa yeye akaupiga chini na kuja na option yenye gharama zaidi!
 
Inawezekana ulikua mkataba unaofanana na ule wa Bandari kavu ndio maana JPM aligoma,ni bora utumie pesa nyingi ila usiwe mkataba wa kinyonyaji. Ungesoma kwanza mkataba ambao JK aliingia na Wachina labda ungekuja kuandika kitu kingine boss.

macson
Ausome aupate wapi?
 
Mleta maada unakubaliana na conditions zifuatazo kwenye huo mradi wenu wa JK?

1. Kwamba feasibility study lazima ifanywe na kampuni kutoka China.

2. Kwamba project designer lazima awe Mchina.

3. Kwamba consultant lazima awe kampuni toka China.

4. Kwamba reli ingekuwa diesel run na mradi (Dar - Mwanza) ungegharimu $7.5 bln. Kwa sasa (Dar - Makutopora inagharimu $3.1bln.

5. Na kwamba Exim bank wangetoa mkopo ambao ikiwa ungeshindwa kurejeshwa Dar es Salaam port ingekuwa chini ya Beijing mpaka mkopo utaporejeshwa.

Mara nyingine huwa najiuliza ikiwa sababu ya kupinga kila kitu ni;

1. Knowledge gap (uvivu wa kutafuta taarifa/maarifa),

2. Chuki iliyopitiliza kwa CCM na hivyo kuipinga kwa gharama yoyote ile (hata ikiwa ni kwa kujitoa ufahamu),

3. Au ndiyo ile bendera fuata upepo ( nyumbu hufuata kokote kule anakoelekea kiongozi wake).

All in all: Ni taahira na mwendawazimu pekee angekubali zile FISHY DEALS 17 tuliingia na Beijing mwaka 2013 alipokuja Xi Jiping. Zilizobahatika kutekelezwa ni zile tu ambazo zilifanyika kabla bro Magu hajashika usukani (bomba la gesi @$1.2bn). Zilizofuata kama vile SGRTz, Bwagamoyo, Liganga & Mchuchuma, Tazara zitatekeleza kama vile wahusika ni watu wenye akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaaani unadhani kikwete alikua ccm na Magufuli kaingia Kwa ticket ya chadema maaana Kila mkataba wa Kikwete watu wengine wanaupoda...Mikataba na China ilikua na tabu Gani ... acheni propaganda .... covert umeme to gas ni kazi rahisi Sana
 
Ile safari yake ya kwanza ya kushitukiza Hazina sasa watanzania mmeanza kujua alikuwa anamaanisha nini!
 
..awamu iliyopita walitaka logistic hub iwe Burundi.

..awamu hii imeamua kupeleka reli Rwanda, kabla ya Kigoma, na kabla ya Burundi.

Mkuu JokaKuu mbona kuna tetezi kwamba Congo DRC na Tanzania wanataka logistic hub iwe Burundi na sio Rwanda.
 
Mkuu JokaKuu mbona kuna tetezi kwamba Congo DRC na Tanzania wanataka logistic hub iwe Burundi na sio Rwanda.

..kwenye taarifa inayohusu Wachina kukosa contract ndiyo wanasema logistic hub ilipangwa iwe Burundi.

..sasa sina uhakika kama kwenye mkataba na Waturuki logistic hub itakuwa wapi kati ya Burundi, Rwanda, na Tanzania.

..Lakini so far inaelekea njia ya kwenda Rwanda itajengwa kabla ya njia ya kwenda Kigoma na Burundi na ndiyo maana tulimsikia Zitto akilalamika bungeni.
 
Wewe umechukua conditions za SGR ya Kenya halafu unasema ndio zilikuwa za Tanzania - acha hizo.

Licha ya hivyo, Magufuli aichopaswa kufanywa ni kuwaambia njooni tena mezani hatukubaliani na hizo conditions. Mbona Acasia tuliweza? Sasa yeye akaupiga chini na kuja na option yenye gharama zaidi!

..Tazara ilijengwa from 1970 to 1975.

..na ukumbuke kipindi hicho teknolojia haikuwa ya juu kama wakati huu.

..sasa hawa Waturuki wanaweza kujenga reli yenye urefu [ 1860 km ] unaolingana na Tazara ndani ya miaka 5?
 
Jamani kwani akitokea mtu na mihela yake akasema Serikali nikabidhi nijenge SGR kutoka Dar to mwanza kwa garama zangu pia niweke train na Serikali itakuwa mwangalizi uku ikikusanya Kodi Kwenye mapato yatakayotokana na mradi huu.
Labda kwa kipindi cha miaka kadhaa, vipi ili jambo silingesaidia ayo matrilion ya serikali yakaelekezwa Kwenye huduma zingine za jamii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uko Tanzania do your home work. Utashangaa sana. Miradi mingi ilikuwa na variations za kufa mtu.
Kwani mambo mengine ya rushwa ambayo yamewahi kutendeka hayakuwa na contracts? Contract is one thing...and managing the execution of the contract well is completely another.
Tujiongeze kidogo. We have been fooled long enough now

Umenikumbusha bomba la gesi la bilioni 670 tukajengewa kwa 1.3 trillion na kila kitu kutoka china , hawa ndo akinza zitto anawapigia debe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unatumia nguvu mno kwa jitihada za kuzima hoja zilizopo.

Wewe eleza 'deep argument' unayoifahamu ku'counter' hiyo unayoiita 'shallow'.

Haitoshi kusema tu "Mikataba ya wachina dunia nzima ni mibaya", kwani hawafanyi kazi tena huko duniani?

Kwa ujenzi huu wa mikopo ya kibiashara, pasi shaka yoyote baada ya ujenzi kukamilika, kama kweli utakamilika, hiyo bilioni saba ya Kikwete itakuwa chini sana.

Kama billion saba haikuwa ya umeme engekuwa ya umeme si wangetaja 12 bilion


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Treni hazikuwa kwenye mkataba wa kujenga SGR. Na ni SGR kwa pia unaweza kununua treni popote pale tofauti na Tazara ilivyojengwa ikatufunga kununua mabehewa na locomotives toka China

Kwa hiyo tungenunua treni tunazotaka toka tunakotaka kwa sababu ni SGR. Tofauti na Kenya ni kwamba uendeshaji wa SGR ulikuwa sehemu ya ulipwaji wa mkopo na kila mtu anafikiri na sisi ilikuwa hivyo

Uongo mkubwa sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
SGR ya Kikwete ni tofauti na ya Magu .ya Magu ni kwamba imeboreshwa kwani ya kikwete ilikuwa ya mafuta yeye kaja na ya uneme so kuna miundombinu zaidi ya unavyojua
 
Kwani hiyo SGR waliyotaka kujenga wachina inafanana na hii ya Waturuki..au walitaka kujenga saresare Kama ya Jirani..Tuanzie hapo

Kama ya tazara hata kikwete alisema hawakuwa na mpamgo wa kuweka umeme ila awamu ya tano imeboresha zaidi wakaweka ya uMeme kwa hiyo hiyo 7bil ilikuwa ni ya kawaida kama ya kenya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani JPM amezidi kiasi gani kwenye original contract? Kwenye original contract conditions zake zilikuwaje? Zina tofauti gani na hizi zinazosainiwa sasa. Vinginevyo tutakuwa tunapiga porojo tu. Wachina sio watu wema kama anavyosema hapa kwenye kutupa mikopo yao

Wanakupa mkopo halafu hela yote imarudi kwao . Si usinge huo mifano tunayo mengi sana disigma awe mchina subcontractor wote china,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
IKo hivi Mkuu. Chukulia hesabu ya ujumla, km 300 za kwanza Dar hadi Morogoro zimejengwa kwa $2 bilioni, bila miundo mbinu ya umeme kama ambavyo ilikuwa Wachina wajenge SGR.

Sasa ikiwa km 300 zimejengwa kwa karibu $2 bilioni, tunategemea SGR yote ya 1457km kujengwa kwa $9.7bilioni. Hapo ni wastani wa chini kwa kuwa kadiri unavyoenda mbali na Dar es Salaam gharama ya kujenga SGR kwa kila kilometa inaongezeka. Hivyo kwa wastani Magufuli alikataa gharama ya Wachina ya $7.6 bilioni akidai ina ufisadi ili kuingia gharama ya $9.7 bilioni.

Ukiingiza gharama za miundombinu ya umeme, labda ongezea hapo $3 bilioni na SGR yoye ya Magufuli itagharimu 3 + 9.7 = $12.7 bilioni.

Kama tungejadiliana na Wachina na kuwaambia waongezee umeme, tukichukulia gharama ile ile ya miundombinu ya umeme tungejenga kwa 7.6 + 3 = $10.6 bilioni badala ya $12.7 bilioni. Hivyo uamuzi wa Magufuli kwa wastani unatutia hasara ya $2.1 bilioni
Watanzania katika ubora wetu.ukiangalia design ya mradi gharama haiendani na urefu kwa km gharama za mradi zinategemea design ya mradi.unaweza kujenga dar moro kwa dola bil 2 na ukajenga moro dom kwa bil 1 ni mfano tu inategemea hiko kipande kina complication zip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IKo hivi Mkuu. Chukulia hesabu ya ujumla, km 300 za kwanza Dar hadi Morogoro zimejengwa kwa $2 bilioni, bila miundo mbinu ya umeme kama ambavyo ilikuwa Wachina wajenge SGR.

Sasa ikiwa km 300 zimejengwa kwa karibu $2 bilioni, tunategemea SGR yote ya 1457km kujengwa kwa $9.7bilioni. Hapo ni wastani wa chini kwa kuwa kadiri unavyoenda mbali na Dar es Salaam gharama ya kujenga SGR kwa kila kilometa inaongezeka. Hivyo kwa wastani Magufuli alikataa gharama ya Wachina ya $7.6 bilioni akidai ina ufisadi ili kuingia gharama ya $9.7 bilioni.

Ukiingiza gharama za miundombinu ya umeme, labda ongezea hapo $3 bilioni na SGR yoye ya Magufuli itagharimu 3 + 9.7 = $12.7 bilioni.

Kama tungejadiliana na Wachina na kuwaambia waongezee umeme, tukichukulia gharama ile ile ya miundombinu ya umeme tungejenga kwa 7.6 + 3 = $10.6 bilioni badala ya $12.7 bilioni. Hivyo uamuzi wa Magufuli kwa wastani unatutia hasara ya $2.1 bilioni
Unakosea sana design ya mradi ndo inatengeneza bei sio kujumlisha na kutoa km

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom