Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

Umekimbilia conclusion kama mtoto

1.mpaka sasa hela ya kikwete haijafikiwa
2.tatizo sio value ni interest na conditions

Mikataba ya wachina dunia nzima ni mibaya

Umeangalia issues hizo?

Maana kwa shallow argument kama hizi, hautakuja kumuelewa JPM
Umeanduka nini? Leta hoja ili watu wajadili.
 
Ujinga bado janga la taifa,hata waliopata elimu wapo wapo tu kama wewe hawajui wajibu wao hasa pale wanapokuwa wanakula keki ya taifa!
Kamanda kelele zote hizi bado hupati keki?
RUZUKU zote hizi tunazopata kila mwezi bado unalalamika?
Kweli ELIMU ELIMU ELIMU inahitajika kwa makamanda.
 
Bado niko pale pale. Variations kwenye contract ndio ilifanya Magufuli a-scrap hii contract na China na kuja na alternative iliyopo? Was that the best solution kwake?
Definately not. What was taken as a solution is another mess. Worse than where we were.
 
Unapolinganisha kuna vitu muhimu ni vizuri ukavichambua pia.
1. Thamani ya Pesa ya Wakati ule na sasa ipo sawa? Usilinganishe tu figure bila kuzama ndani
2. Umekokotoa urefu na miundombinu ambayo inajengwa katika mradi wa sasa kama ni sawa na mkataba wa awali?
3. Mikataba hua inaambatana na Masharti mbalimbali hivyo ungechambua vizuri ili uwe haki ya kutoa lawama zako
Wakati mwingine make kimya tu sio kukutetea kila kitu
 
Eeenh, umejikunja kwelikweli kwa uandishi huu.

Nina mawili. Moja nikujibu kwa staha upuuzi ulioweka hapa.

Au, nikupuuze tu kwa sababu hakuna lolote la maana la kupoteza mda nalo.

Ngoja nikuache kwa sasa.

We.mtoto ungejibuje kwa mfano

Jiulize mara mbili kabla ya kupambana na mimi humu!!

Babu yako mimi
 
Acheni ujinga baadhi yenu wa Tz! Unajua ungeuziwa train gani??? Kwanza?

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Hizi ndizo hoja za kijinga. Wewe unajua tungeuziwa train gani? Kama tatizo lilikuwa ni aina ya train, kwani zilikuwa tayari zimetengenezwa na kuletwa nchini? Kwa nini lisingeshughuliiwa tatizo la train badala ya kuvunja mkataba ambao ungewezesha kupatikana huduma ya reli mapema zaidi na kwa gharama nafuu?
 
Unapolinganisha kuna vitu muhimu ni vizuri ukavichambua pia.
1. Thamani ya Pesa ya Wakati ule na sasa ipo sawa? Usilinganishe tu figure bila kuzama ndani
2. Umekokotoa urefu na miundombinu ambayo inajengwa katika mradi wa sasa kama ni sawa na mkataba wa awali?
3. Mikataba hua inaambatana na Masharti mbalimbali hivyo ungechambua vizuri ili uwe haki ya kutoa lawama zako

Alitamani tu aonekane kuwa anaweza kukosoa

Akasahau kuweka hizi aspects kujenga hoja yake

N.y.u.m.b.u wamerukia
 
Haujaelewa!!!!!!!

Ukitaka kujenga hoja ya kumuangusha aliyeko madarakani, weka hoja ya nguvu

Hajafanya homework yake na dawa yenu ni KUWAPUUZA

Umeniuliza swali ambalo nimemuuliza yeye!!! What a man, umejipambanua mahaba yako na side yako mchana kweupe

Nimemuuliza kuwa aweke hoja za what was conditions na interest za wachina, wewe mburura unataka mimi ndio ni take trouble ya kujibu hayo! Kwani mimi ndio nimeanzisha thread? Umepeleka wapi akili ya kujua thread was so shallow for him to jump into those conclusions

Sasa kwa akili yako ya kutelekezwa jalalani unataka mimi ndio kama niwe nimeanzisha thread

Nimekujibu kuwa kazi inafanyika, maamuzi yaliishatolewa, mimi sijaumia kuanzisha thread... Infact hata ukifuta hii post ujibu, usijibu nani anaumia?

Ila naamini kabisa kuwa, muanzisha thread akiweka point zake kama msomi, sio kama wewe mwenye slow processor kama mashine ya NIDA. Itabaki kuwa ni hoja, itaishi, itafunza wengine... Lakini sio kituko alichoweka hapa eboo!
Unafanya biashara soko la Tandale. Maana kwa maneno haya inaonekana umezoea sana lugha za vijembe ambazo ni maarufu sana maeneo kama yale.
 
Kamanda kelele zote hizi bado hupati keki?
RUZUKU zote hizi tunazopata kila mwezi bado unalalamika?
Kweli ELIMU ELIMU ELIMU inahitajika kwa makamanda.

Mnapoona mtu anakosoa basi akili zenu zinawatuma mjue kuwa ni CDM,ndio hapo nasisitiza suala la elimu!
 
Shida kubwa ni kua mnapenda sana deviation; jirani akipigwa haimanishi na sisi tunapigwa. Swali ni kua pesa inakwenda kutumika nyingi kuliko kama ingekopwa China na waChina walitenda kujenga kwa pesa kidogo. Shida nyingine ni serikali kuficha kiasi halisia ya miradi.
Sio jirani tu

Huo ni nimekutolea mfano mmoja ila kuna nchi nyingi zimepigwa na zinalia saa hizi.

Kasome kuhusu Magampura port.
 
Uko tayari kumsikiliza mtu wa tandale?
Hoja haichagui mtoa hoja ni wa wapi. Lakini mfanyabiashara wa soko la Tandale akiamua kutoleta hoja na badala yake akataka kuonesha umahiri wake wa vijembe, sitaweza maana sina utaalam na uzoefu wa vijembe.
 
Bado niko pale pale. Variations kwenye contract ndio ilifanya Magufuli a-scrap hii contract na China na kuja na alternative iliyopo? Was that the best solution kwake?

Kwani JPM amezidi kiasi gani kwenye original contract? Kwenye original contract conditions zake zilikuwaje? Zina tofauti gani na hizi zinazosainiwa sasa. Vinginevyo tutakuwa tunapiga porojo tu. Wachina sio watu wema kama anavyosema hapa kwenye kutupa mikopo yao
 
Hoja haichagui mtoa hoja ni wa wapi. Lakini mfanyabiashara wa soko la Tandale akiamua kutoleta hoja na badala yake akataka kuonesha umahiri wake wa vijembe, sitaweza maana sina utaalam na uzoefu wa vijembe.
Una hamu navyo?
 
We.mtoto ungejibuje kwa mfano

Jiulize mara mbili kabla ya kupambana na mimi humu!!

Babu yako mimi
Eeenh, wewe chukulia tu ulofa ulio nao wa kukubali mtu kuja nyumbani kwako na kumchukua mkeo na chochote atakacho nawe hata hufanyi kitu chochote, eti kwa vile ni 'mbabe'!

Hilo linakuondolea sifa zote za kuendelea kujibizana nami.
 
Magoli unatikisa na kuhamisha tu

Sijui umeongea nini hapo?
 
Kabla ya kuandika ungeenda kufanya tafiti kwa majirani zetu kuhusu Chinese regime, wamewafanya nini ila kama pinga pinga kila kitu kwenda mbele utakuwa UPO SAHIHI KWA BANDIKO LAKO.

Mbona hao waturuki asilimia kubwa tu ya kazi ya wamewapa sub wachina? Wakenya kama wamepigwa ni wao na mkataba wao ... Ila duniani inajulikaana technology nzuri za SGR ziko China na Germany
 
Back
Top Bottom