simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Sisi ndio tutalipa deni hili , mijitu ya ajabu ajabu inasema ooh hamna haki ya kujadili . Siku siyo nyingi tunawachapa red card kwa njia yeyote ile.Unataka watu wafanyeje wasipojadili yanayotokea katika nchi yao?Akili zenu huwa mnaziazima wapi?
Elimu,Elimu,Elimu!