The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,861
- 82,487
Nani aliyekwambia ukikubali ukweli utageuka jinsia?Kufunga au kutokufunga kulipaswa kutokane na ushauri wa kisayansi, sio kwa kujichokea kisa umaskini. Tunazo 3rd world countries zinateswa kinyama na huu ugonjwa, hivyo tulikua sahihi na tuko sahihi hadi leo maana hamna toleo lolote la kisayansi linaonyesha kwanini hatufi kama nzi, hivyo tunatembelea bahati, sasa kwa ulimwengu wa sayansi hamna kitu kinaitwa "bahati".
Kwa Tanzania hamna cha kuiga pale, wao waligoma kufunga kisa umaskini wao, halafu wakaficha data, hiyo sio namna kabisa ya kushughulika na janga kama hili.