Rais Magufuli alianzia pale...

Cherenganya

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
2,309
1,775
Wasalaam watu wa Mungu

Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.

Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Mtu huyu si wakumbeza yeye wala kizazi chake kwani ni mtu mwenye kuifahamu serikali na chama kindaki ndaki.

Alipomtumbua "mwana" Mh. Charles Kitwanga, kwanini nasema mwana, taarifa zilizopo mtaani ni kwamba Mh. Kitwanga na Mh. Rais ni marafiki wakubwa sana si wa kukutana baa bali wa kuja njumbani na kukaribishwa sebuleni akakabidhiwa rimoti na kubadilisha chaneli.

Alipo kamatwa Mke wa Waziri mmoja na trafiki akajibu shit alafu Mh. Rais akasema hata mke wangu akizingua kamata, mmh hili lilikua fikirishi hasa kwa wenye fikra.

Alipowaambia waandishi wa Habari NOT TO THAT EXTENT, tukalalama tukaingiwa na hofu tasnia pendwa imevamiwa, sisi tunajinasibu kuwa Mhimili wa nne usio rasmi.

TISS hii ni taasisi nyeti kuliko unyeti unaoyamkinika, kiongozi wake si tu kwamba anaongoza watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, bali wenye mafunzo mahsusi juu ya nyanja mbali mbali za kubashiri yajayo na utambuzi wa viashiria kabla kutendeka kwa tukio.

Hivyo kusikia Mkurugenzi wake kuondolewa chomboni, sio jambo lakufikirisha tu, bali limegongelea msumari wa mwisho kwenye jeneza kwamba kigezo pekee ni UCHAPA KAZI NA WELEDI KATIKA KAZI na si unajua mimi ni nani.

Ni muda muafaka Sasa yeyote mwenye dhamana ya uongozi katika serikali hii kujua kwamba kitu pekee kitakacho linda kibarua chako ni weledi uliotukuka katika nafasi uliyopo na sio vinginevyo.

Nawasilisha
 
Write your reply...Huyu anaechukua nafasi ya kipilimba, ni askari polisi aliezoea kupokea amri bila reasoning, tutegemee kushuhudia madudu mengine zaidi kwenye idara hii nyeti.

huyu aliyechukua nafasi ni TISS nguli ambae alikuwa polisi na sasa yuko nyumbani

Msidhania kamwe Rais ni mjinga

polisi TISS wako wengi tu

Hata madaktari TISS mpaka wachungaji, mashekhe, mapadre

Unless TISS haujui wako wapi

Wapo kila mahali, kila professional

Hata mkeo aweza kuwa ni usalawa wa taifa

Go get TISS 101 beginner course
 
Wasalaam watu wa Mungu

Miezi 6 tu baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa isiyokua bahati ilimshukia Mama Anne Kilango Malecela. Watu wengi walijua huyu buana anatafuta publicity.

Walichosahau tu ni Kwamba huyu ni mke wa Waziri mkuu wa Tanzania 1990-1994 aidha Makamu mwenyekiti CCM 1995-2007 na mjumbe wa kamati kuu ya CCM. Mtu huyu si wakumbeza yeye wala kizazi chake kwani ni mtu mwenye kuifahamu serikali na chama kindaki ndaki.

Nchi ya Tanzania sio ya genge la viongozi na watoto wao na wake zao alichofanya raisi ni sahihi hata january makamba kapata shule hili ni Taifa la watanzania wote kuwa mke wa wazir au raisi sio tiketi ya kuchekewa Taifa kwanza

Raisi John Pombe Magufuli alikuwa sahihi kumfyeka

Udhaifu huo umelifanya Taifa liwe mikononi mwa watu wachache kwa sasa kila mmoja atakwenda ukilete mazoea

Bado nasubir katiba mpya.
 
Kp. kafyekwa baada ya Nape kueleza mipango mingi inayofanywa dhidi ya mkulu na serikali na inafanywa na kina nani kama waratibu.
Habari hizo zilikuwa ngeni kwa mkulu na akashangaa mkuu wa Tissue hajawahi kumfahamisha hivyo eitha anaziunga mkono au hajui. Fyeka.
 
Ukweli unabaki ya kuwa watu wengi hamna taarifa za ndani kwa ndani juu ya utumbuzi wa Kapilimbi mnabaki kutoa porojo lisilo na mwisho
 
Kumchukua askari polisi aliyejengewa misingi ya kufokewa na kupokea amri toka kwa wanasiasa ili kulinda maslai yao sababu ya mfumo wa kazi zao ni za kutii amri kuliko kuhoji amri na kumpa idara inayohitaji matumizi zaidi ya weledi,akili na mafunzo.Sijui wanataka ipeleka wapi idara.
 
Acha uongo, Diwani athumani msuya ni TISS na kachero mbobezi tangu zamani labda umemjua leo wewe, kama humjui nyamaza, Amekuewepo ndani ya jeshi la polisi kama agent wa TISS bila wao hata kujua.

Tiss wapo mahakamanumi, wapo ambao ni makarani, mahakimu, majaji,

Tiss wapo misikitini, ni.maimamu, waadhini, masheikh.

Tiss wapo kanisani, wapo maaskofu, mapadre, masister, mashemasi etc.

Tiss wapo bungeni kama wabunge, madereva wa wabunge , makatibu wa wabunge n.k

Usishangae kuona Diwani athumani ukasema tu ni askari polisi, note. Hata boss wako ni TISS kama hujui!!

Write your reply...Huyu anaechukua nafasi ya kipilimba, ni askari polisi aliezoea kupokea amri bila reasoning, tutegemee kushuhudia madudu mengine zaidi kwenye idara hii nyeti.
 
Nchi ya Tanzania sio ya genge la viongozi na watoto wao na wake zao alichofanya raisi ni sahihi hata january makamba kapata shule hili ni Taifa la watanzania wote kuwa mke wa wazir au raisi sio tiketi ya kuchekewa Taifa kwanza

Raisi John Pombe Magufuli alikuwa sahihi kumfyeka

Udhaifu huo umelifanya Taifa liwe mikononi mwa watu wachache kwa sasa kila mmoja atakwenda ukilete mazoea

Bado nasubir katiba mpya.
Kilichofanyika ni kuondoa kizazi cha wengine na kuweka chake na Jamaa zake tofauti ni ipi sasa?
 
Acha uongo, Diwani athumani msuya ni TISS na kachero mbobezi tangu zamani labda umemjua leo wewe, kama humjui nyamaza, Amekuewepo ndani ya jeshi la polisi kama agent wa TISS bila wao hata kujua.

Tiss wapo mahakamanumi, wapo ambao ni makarani, mahakimu, majaji,

Tiss wapo misikitini, ni.maimamu, waadhini, masheikh.

Tiss wapo kanisani, wapo maaskofu, mapadre, masister, mashemasi etc.

Tiss wapo bungeni kama wabunge, madereva wa wabunge , makatibu wa wabunge n.k

Usishangae kuona Diwani athumani ukasema tu ni askari polisi, note. Hata boss wako ni TISS kama hujui!!
Baada ya rais kumtaja hadharani ndo unasema alikuwepo tangu zamani as if unamjua au ulishafanya nae kazi.
Asingemtaja,ungekuja na comment tofaut kabisa na hii
 
Kumchukua askari polisi aliyejengewa misingi ya kufokewa na kupokea amri toka kwa wanasiasa ili kulinda maslai yao sababu ya mfumo wa kazi zao ni za kutii amri kuliko kuhoji amri na kumpa idara inayohitaji matumizi zaidi ya weledi,akili na mafunzo.Sijui wanataka ipeleka wapi idara.
Rais aliwah sema huyu ni tiss na alienda polis kama under cover tu sema binafs Sipendi sana kuongelea hii taasisi
 
Sio kuchapa kazi tu bali kuchapa kazi INAYOAMBATANA NA MAELEKEZO YAKE HATA KAMA YA KUTUPELEKA CHAKA KAMA TAIFA kinyume na hapo humfai.

Back
Top Bottom