Rais Magufuli aleta neema wilayani Kyela Msikiti wachangiwa mamilioni ya ujenzi, CCM yatoa sh 1 milioni Chadema hawana mchango

Wewe ndiye kichaa wa kwanza nchi hii.
Dodoma nimeishi,MAHINDI yalimwa nami nilisha Lima maeneo ya mmoja na songambe, mpwpw pia inatoa mahindi bahati na singida ni maeneo ninayoyafahamu vizuri. Unaongea ukiwa una kula kwa baba na mama yako
mimi ninafanya kazi na wakulima huko babati nakujua kote kuanzia endasak, dareda, galapo, mamire mpaka magugu hunidanganyi, singida yote nakujua mpaka kiomboi. mikoa inayolima mahindi kwa wingi ni songea na rukwa, huko kwingine wanalima kujifurahisha
 
Bwana mdogo hebu jitie akili kidogo.
Siongelei kulima kwa wingi, Bali kilimo cha chakula cha kulisha mwaka mzima,pia siongelei MAHINDI tu Kijana.
Mimea ya chakula ni pamoja na uwele,mtama Mpunga na jamii ya mikunde.
Magugu wanalima Mpunga,mwaka wakikosa kwa sababu ya ukame utasema hawatakuwa na upungufu kwa kuwa siyo seheme maarufu kwa kilimo cha mpunga kwakuwa sehemu inayolima kwa wingi ni shinyanga na kilombero?
Acha akili za usisimu
 
Mkuu kwakuwa nimegusa ugawaji hela kwenye msafara wa mwenyekiti wako,ukajisahaulisha kwa muda kuwa kuna maeneo mengi ya nchi yamekosa mvua na kuna hatari kubwa ya njaa.!!
Mche Mungu ili uone,kuuseme na kuuishi ukweli,ondokana na ushetani,upovu na uziwi unaosababishwa na siasa maslahi.
Dodoma, Manyara,tabora,shinyanga,morogoro,na mikoa yote ya pwani mimea ya mazao imeungua na jua,na mvua chache zinazoendelea sasa hazitafufua matumaini.
MUULIZE MWENYEKITI WAKO AMESHACHUKUA TAHADHARI KWA AJILI YA BAA HILO, AU SERIKALI HAINA SHAMBA AU HAISABABISHI UKAME KAMA YALIVYOKUWA MAJIBU YA TETEMEKO LA ARDHI KULE BUKOBA?
Nyie hata mwaka jana mlitaka proganda zilezile mlizozizoea toka enzi za JK mzilete hata kwa JPM kwamba nchi ina njaa! Kina ZITO na genge lake walijitahidi kuaminisha uma kwamba kuna balaa la njaa lkn wapi? Ndio kwanza unga ukawa unazidi kupungua bei.
 
Muda utaongea,
 
Tukio liko live TBC

Karibu!

Rais Magufuli amechangia 5m

Dr Mwakyembe 500,000

Dr Mwanjelwa 150,000

Mkurugenzi usalama. 1,000,000

CCM 1,000,000
Uvccm 1,000,000
RPC Mbeya 200,000
Mwakipesile 100,000
Dr Tulia..... 2,000,000
DC Kyela 200,000
Waziri Jaffo.....500,000
Kwaya ya uinjilisti Amani 30,000

Majina mengine sijayapata vizuri ila jumla ya michango iliyopatikana kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti ni sh 20,180,000

Mungu awabariki wote waliomtolea kwa moyo bila kujali tofauti za kiimani wakiwemo makanisa ya RC, Morovian, KKKT ,TAG na Anglican

Kyela ni home
Huo msikitini wa pale Bondeni ni ngome ya CDM chini ya diwani Mwangoloto!
CCM haipo Kyela iliisha futika siku mingi imebakia dola tu ndiyo inafanya siasa!
Mei mosi ya nne hii toka awe Rais hatusikii nyongeza
 
Tukio liko live TBC

Karibu!

Rais Magufuli amechangia 5m

Dr Mwakyembe 500,000

Dr Mwanjelwa 150,000

Mkurugenzi usalama. 1,000,000

CCM 1,000,000
Uvccm 1,000,000
RPC Mbeya 200,000
Mwakipesile 100,000
Dr Tulia..... 2,000,000
DC Kyela 200,000
Waziri Jaffo.....500,000
Kwaya ya uinjilisti Amani 30,000

Majina mengine sijayapata vizuri ila jumla ya michango iliyopatikana kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti ni sh 20,180,000

Mungu awabariki wote waliomtolea kwa moyo bila kujali tofauti za kiimani wakiwemo makanisa ya RC, Morovian, KKKT ,TAG na Anglican
Usiulize Bwakata unauliza Chadema.
 
Mchango unapotoka sababu ya publicity sio mchango tena bali ni kununua free publicity

kwa kufanya hivyo TV, Magazeti, na kila kona wataongea hence promotion na matangazo.., kutoa kwa kweli ni siri sio mpaka kila mtu ajue
 
Back
Top Bottom