Rais Magufuli aleta neema wilayani Kyela Msikiti wachangiwa mamilioni ya ujenzi, CCM yatoa sh 1 milioni Chadema hawana mchango

Kwani CHADEMA wamefanya ziara huko?
Kwani CHADEMA wamepata mgao wa 1.5 t?

CHADEMA wamepora fedha za maduka ya kubadili fedha ili wagawe nchi nzima?

CHADEMA wamepora viwanja vya wazi na viwanja vya mpira vilivyojengwa na nguvu kazi za wananchi wote ili wagawe kwa wananchi?
 
Tafuteni masoko mazuri ya mazao na bidhaa zinazo patikana huko ili watu wawe na hela za kujijengea nyumba za ibada. This is too minor kujivunia kufanywa na chama tawala.
 
Kwani CHADEMA wamefanya ziara huko?
Kwani CHADEMA wamepata mgao wa 1.5 t?

CHADEMA wamepora fedha za maduka ya kubadili fedha ili wagawe nchi nzima?

CHADEMA wamepora viwanja vya wazi na viwanja vya mpira vilivyojengwa na nguvu kazi za wananchi wote ili wagawe kwa wananchi?
 
Tanzania raha sana yaani mchango wa msikiti ila hadi kwaya inachanga sijawai ona popote asee safi sana watanzania
Hapo ndipo utambue kwamba watanzania ni wamoja ila magu ndiyo anatugombanisha! Alizuia hadi mwanaccm yeyote asiende kumsalimia mbunge wa chadema gerezani,akawanyima wabunge wa ccm wasiwape muda wa kuzungumza wabunge wa upinzani,akatoa agizo nyumba za kimara zibomolewe ila za mwanza zisibomolewe kwa kuwa wamempa kura,akampa ndugai pesa nyingi za kujitibu India huku akimnyima Lissu aliyekuwa hoi kwa majeraha ya risasi aliyoyapata akiwa kazini,akagawa mikopo kwa wana ccm huku wasio wana ccm wakifanyiwa hiyana hata kufunga biashara zao na kuwaweka ndani! Nk
 
kwani CHADEMA wamefanya ziara huko?
Kwani CHADEMA wamepata mgao wa 1.5 t?

CHADEMA wamepora fedha za maduka ya kubadili fedha ili wagawe nchi nzima?

CHADEMA wamepora viwanja vya wazi na viwanja vya mpira vilivyojengwa na nguvu kazi za wananchi wote ili wagawe kwa wananchi?
Wataalam wa kukadiria, hebu fanyeni makadirio ya gharama za msafara wote pamoja na hela zinazomwagwa kama mtama mbele ya njiwa,maana naona kama siyo serikali yote IPO huko basi NUSU yake.
 
Wataalam wa kukadiria, hebu fanyeni makadirio ya gharama za msafara wote pamoja na hela zinazomwagwa kama mtama mbele ya njiwa,maana naona kama siyo serikali yote IPO huko basi NUSU yake.
Hata Mbunge wa Chadema Suzan Kiwanga yuko kwenye msafara!
 
Tukio liko live TBC

Karibu!

Rais Magufuli amechangia 5m

Dr Mwakyembe 500,000

Dr Mwanjelwa 150,000

Mkurugenzi usalama. 1,000,000

CCM 1,000,000
Uvccm 1,000,000
RPC Mbeya 200,000
Mwakipesile 100,000
Dr Tulia..... 2,000,000
DC Kyela 200,000
Waziri Jaffo.....500,000
Kwaya ya uinjilisti Amani 30,000

Majina mengine sijayapata vizuri ila jumla ya michango iliyopatikana kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti ni sh 20,180,000

Mungu awabariki wote waliomtolea kwa moyo bila kujali tofauti za kiimani wakiwemo makanisa ya RC, Morovian, KKKT ,TAG na Anglican
Wabarikiwe sana
 
Amejiandaa la baa la njaa linakokuja mbele,au serikali haina shamba au jiko!?
Mnagawa hela kwenye nsafara wakati maeneo mengi yamekosa mvua mimea ya chakula imeungua na jua.
Je mmejiandaa kuwahami watakaoathirika na njaa?
taja sehemu ambako hakuna mvua acha porojo, niko arusha mvua zinanyesha mpaka mafuriko, sema wapi hakuna mvua tukuumbue
 
taja sehemu ambako hakuna mvua acha porojo, niko arusha mvua zinanyesha mpaka mafuriko, sema wapi hakuna mvua tukuumbue
Mvua zinanyesha wakati MAHINDI yameshakauka pumbavu zako.
Nenda kaseme maneno hayo babati manyara dodoma kiteto kama wasipokugawana viungo vya mwili wako!!
 
Mvua zinanyesha wakati MAHINDI yameshakauka pumbavu zako.
Nenda kaseme maneno hayo babati manyara dodoma kiteto kama wasipokugawana viungo vya mwili wako!!
acha porojo dodoma singida tabora manyara ni mikoa yenye ukame miaka yote ndio maana wanalima mazao ya kustahimili ukame kama alizeti, zabibu, ufuta, anaelima mahindi babati atakuwa kichaa. mahindi yanalimwa kwa wingi songea rukwa. hiyo mikoa miwili ndio inalisha tanzania nzima na mvua ziko za kutosha
 
Wewe ndiye kichaa wa kwanza nchi hii.
Dodoma nimeishi,MAHINDI yalimwa nami nilisha Lima maeneo ya mmoja na songambe, mpwpw pia inatoa mahindi bahati na singida ni maeneo ninayoyafahamu vizuri. Unaongea ukiwa una kula kwa baba na mama yako
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom