Rais Magufuli aleta neema wilayani Kyela Msikiti wachangiwa mamilioni ya ujenzi, CCM yatoa sh 1 milioni Chadema hawana mchango

Amejiandaa la baa la njaa linakokuja mbele,au serikali haina shamba au jiko!?

Mnagawa hela kwenye nsafara wakati maeneo mengi yamekosa mvua mimea ya chakula imeungua na jua.
Je mmejiandaa kuwahami watakaoathirika na njaa?
 
Amejiandaa la baa la njaa linakokuja mbele,au serikali haina shamba au jiko!?
Mnagawa hela kwenye nsafara wakati maeneo mengi yamekosa mvua mimea ya chakula imeungua na jua.
Je mmejiandaa kuwahami watakaoathirika na njaa?
Wapi huko hakuna mvua mkuu!
 
Mbona hutwambii vyama vingine vimechanga kiasi gani? Una shida na Chadema?
 
Mbona hutwambii vyama vingine vimechanga kiasi gani? Una shida na Chadema?
Chadema wana madiwani 11 pale Kyela mjini mkutano ulikofanyikia na wengine ni wa CCM na wote walikuwepo.

Labda unitajie hicho chama kingine!
 
Hao ni watendaji wa wananchi , Chama hakikuwa na ratiba ya kumsikiliza mtu anayepambana kuuwa Demokrasia na hasa kuuwa Chadema
Hahahaa....... RC Chalamila amesema madiwani wote wa chadema Kyela wameomba kujiunga CCM, je hili nalo unalizungumziaje?!
 
Heli hizo hela zimwezeshe mnyonge apande kiuchumi ili alipe kodi ya maana au nizile ahadi ya milioni 50 kila anapoenda mpaka akamilishe mpaka 2020
 
Hahahaa........ Huku Mbeya tunaenjoy tu!
Mkuu kwakuwa nimegusa ugawaji hela kwenye msafara wa mwenyekiti wako,ukajisahaulisha kwa muda kuwa kuna maeneo mengi ya nchi yamekosa mvua na kuna hatari kubwa ya njaa.!!

Mche Mungu ili uone,kuuseme na kuuishi ukweli,ondokana na ushetani,upovu na uziwi unaosababishwa na siasa maslahi.
Dodoma, Manyara,tabora,shinyanga,morogoro,na mikoa yote ya pwani mimea ya mazao imeungua na jua,na mvua chache zinazoendelea sasa hazitafufua matumaini.

Muulize mwenyekiti wako ameshachukua tahadhari kwa ajili ya baa hilo, au serikali haina shamba au haisababishi ukame kama yalivyokuwa majibu ya tetemeko la ardhi kule Bukoba?
 
Back
Top Bottom