figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,491
- 54,884
John John Mnyika Naibu Katibu Mkuu Bara Mbunge wa Jimbo la Kibamba (CHADEMA) amelalamikia kitendo cha rais Magufuli kukivunja kitengo cha PDB kwa kinakabiliwa na Ufisadi mkunwa sana. CAG alitakiwa akague hiki kitengo waliokula hela washikiliwe halafu ndo akivunje. "Rais John Pombe Magufuli asingeishia kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB, na badala yake amwagize CAG afanye ukaguzi ufisadi Ofisi ya Rais PDB"* Rais Magufuli aizika rasmi BRN, wafanyakazi waamishiwa idara nyingine za Serikali
Rejea Miaka ya nyuma nlipotaka kutoa shilingi Bungeni juu ya ufisadi mkubwa Kwenye hiki kitengo.
Rejea Miaka ya nyuma nlipotaka kutoa shilingi Bungeni juu ya ufisadi mkubwa Kwenye hiki kitengo.