Rais Magufuli alalamikiwa kuivunja BRN bila kukaguliwa na CAG

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,721
2,000
John John Mnyika Naibu Katibu Mkuu Bara Mbunge wa Jimbo la Kibamba (CHADEMA) amelalamikia kitendo cha rais Magufuli kukivunja kitengo cha PDB kwa kinakabiliwa na Ufisadi mkunwa sana. CAG alitakiwa akague hiki kitengo waliokula hela washikiliwe halafu ndo akivunje. "Rais John Pombe Magufuli asingeishia kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB, na badala yake amwagize CAG afanye ukaguzi ufisadi Ofisi ya Rais PDB"* Rais Magufuli aizika rasmi BRN, wafanyakazi waamishiwa idara nyingine za Serikali

Rejea Miaka ya nyuma nlipotaka kutoa shilingi Bungeni juu ya ufisadi mkubwa Kwenye hiki kitengo.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,745
2,000
John John Mnyika Naibu Katibu Mkuu Bara Mbunge wa Jimbo la Kibamba
27/6/2017

*"Rais John Pombe Magufuli asingeishia kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB, na badala yake amwagize CAG afanye ukaguzi ufisadi Ofisi ya Rais PDB"*

Rejea Miaka ya nyuma akitaka kutoa shilingi Bungeni juu ya ufisadi mkubwa.
Alikwishasema wawaache maraisi wastaafu hata kama walifanya ufisadi
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,069
2,000
Ngoja kwanza apambane na machache aliyoyaanzisha atakuja tu hata huko kwenye vyama vyenu namna mnavyotafuna ruzuku kana kwamba sio pesa za watanzania....kwahio msiwe na haraka tuliza masaburi...
 
mgoloko

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
4,720
2,000
John John Mnyika Naibu Katibu Mkuu Bara Mbunge wa Jimbo la Kibamba (CHADEMA) amelalamikia kitendo cha rais Magufuli kukivunja kitengo cha PDB kwa kinakabiliwa na Ufisadi mkunwa sana. CAG alitakiwa akague hiki kitengo waliokula hela washikiliwe halafu ndo akivunje. "Rais John Pombe Magufuli asingeishia kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB, na badala yake amwagize CAG afanye ukaguzi ufisadi Ofisi ya Rais PDB"* Rais Magufuli aizika rasmi BRN, wafanyakazi waamishiwa idara nyingine za Serikali

Rejea Miaka ya nyuma nlipotaka kutoa shilingi Bungeni juu ya ufisadi mkubwa Kwenye hiki kitengo.
Inawezekana na yeye mwenyewe naye kapiga hela humo ndiyo maana kakimbilia kuivunja. Hata siku moja na haiingii akilini kufunga akaunti ya fedha za Taasisi fulani kabla ya kuifanyia ukaguzi
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
11,022
2,000
Kuna Bwana mmoja pale alikuwa kama Malaika....Omari Issa afadhali ivinjwe arudi akapumzike ale pesa walizopiga pale!! Alikuwa kama mfalme.....mpuuzi sanaa huyu baba....aende zake hukooo!!!!
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,209
2,000
Kuna Bwana mmoja pale alikuwa kama Malaika....Omari Issa afadhali ivinjwe arudi akapumzike ale pesa walizopiga pale!! Alikuwa kama mfalme.....mpuuzi sanaa huyu baba....aende zake hukooo!!!!

Funguka zaidi kiongozi. Maana huyu bwana aliteuliwa kwa mbwembwe nyingi na JK.
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,968
2,000
John John Mnyika Naibu Katibu Mkuu Bara Mbunge wa Jimbo la Kibamba (CHADEMA) amelalamikia kitendo cha rais Magufuli kukivunja kitengo cha PDB kwa kinakabiliwa na Ufisadi mkunwa sana. CAG alitakiwa akague hiki kitengo waliokula hela washikiliwe halafu ndo akivunje. "Rais John Pombe Magufuli asingeishia kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB, na badala yake amwagize CAG afanye ukaguzi ufisadi Ofisi ya Rais PDB"* Rais Magufuli aizika rasmi BRN, wafanyakazi waamishiwa idara nyingine za Serikali

Rejea Miaka ya nyuma nlipotaka kutoa shilingi Bungeni juu ya ufisadi mkubwa Kwenye hiki kitengo.

yaani akivunja tu, ana erase data zote, mahesabu yote, na wanahama nchi

chadema nani kawaroga?
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,968
2,000
Inawezekana na yeye mwenyewe naye kapiga hela humo ndiyo maana kakimbilia kuivunja. Hata siku moja na haiingii akilini kufunga akaunti ya fedha za Taasisi fulani kabla ya kuifanyia ukaguzi
amefunga account?? source yako ni nini??

ebu weka evidence hata ya maelezo, ukishindwa mkuu, itabidi uhame JF, nakuahidi
 
Magangad

JF-Expert Member
May 14, 2017
803
500
Mambo mengine anatafahamu,.Kuyafukua yanaweza kuleta shida, wajati mwungune busara inatumika tu! Si kila jambo kulishupalia hasa unapoona kuwa lina utata,mbele yake
 
Akasankara

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
3,083
2,000
Chama cha makanikia (ccm) kwa ufisadi ndiyo hekalu lake. Hao Ccm ni wezi sana na ndio watu wengi wanafundishwa na hao kuiba
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
38,799
2,000
nchi yetu ina vituko sana kila siku kitu kipya chatokea
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,188
2,000
Kwanini alinyamaza na kutokumbuka kuwa bado kipo leo hii!!! porojo zimezidi hawa upinzani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom